Kwanini Tanzania tunawahitaji DP World?

Getrude Mollel

JF-Expert Member
Apr 26, 2022
259
353
Ukisoma andiko la 'Opening the Gates: How the Port of Dar es Salaam Can Transform Tanzania?'

Author: Jacques Morisset

Anasema kwamba, "Meli zinazolenda mizigo Tanzania huchukua wastani wa siku 10 kwenye foleni hadi kufika kwenye gati, na siku wastani wa siku 10 nyingine kupakua mzigo wote hadi kuondoka"

Anasema, "Tangu mwaka 2012, Bandari ya Mombasa ilikuwa inatumia chini ya siku moja kwenye foleni hadi kufika kwenye gati ya kupakua mizigo, na hapo itatumia siku 3 tu kupakua mizigo, ambayo imezidi siku moja tu ukilinganisha na viwango vya kimataifa. Viwango vya kimataifa vinataka meli ikae siku 2 bandari ikipakua mzigo, Tanzania tunafika hadi 10 muda mwingine.

Tofauti na bandari ya Dar es Salaam, Bandari ya Mombasa gharama zake za ushuru kwenye mizigo ni "flat rates", yaani anayeleta IST na anayeleta V8 wanalipa ushuru sawa, ila kwa Bandari ya Dar es Salaam, kila mzigo unalipwa kulingana na thamani yake, ambapo mwandishi anasema hali hii inatoa mianya ya rushwa na udanganyifu.

Kutokana na bandari ya Dar es Salaam kutumia muda mrefu kwenye kupakua mizigo, kampuni za usafirishaji na wateja kwa ujumla hupata hasara ya $252 milioni kwa mwaka.

Kutoka na huduma mbovu kwenye bandari ya Dar es Salaam, serikali ya Tanzania kwa mwaka hupoteza $1.7bn/- kwa mwaka, zaidi ya TZS Trilioni 2 kwa mwaka.

Kutoka na huduma mbovu katika bandari ya Dar es Salaam, nchi jirani ambazo Uganda, Burundi, DR Congo, Rwanda, Zambia na Malawi, hupoteza $830 milioni.

Mtunzi anamalizia kwa kusema kwamba, ni lazima Bandari ya Dar es Salaam iwekeze kwenye teknolojia ya kisasa ili kuongeza tija kwenye bandari. Matumizi ya Teknolojia yataondoa mianya ya rushwa na kuongeza ufanisi katika bandari ya Dar es Salaam.

Ndugu zangu Watanzania, huu ni wakati ambao tunawahitaji zaidi DP World kwani wana teknolojia ya kisasa zaidi ambayo itatusaidia kukuza uchumi wetu kwa haraka zaidi. Rai yangu ni Bunge letu tukufu liridhie uwekezaji huu na hatimaye tusaini mkataba huu kwa maslahi mapana ya Taifa letu. Nina imani na Serikali ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu.
 
Naona umetumwa wewe
 
Porojo tupu, wachumia tumbo kwa kutetea % zenu hamjambo.
 
Inashangaza watu mmeambiwa hao jamaa ni watata linapokuja suala la kuvunja mikataba yao lakini ninyi hamuelewi,wanazo case lukuki huko mahakama ya kimataifa ya baishara but na nyie kama mang'ombe mnaendelea kumng'ang'ania.

Kwani ni lazima hiyo bandari apewe muarabu?pana ushawishi gani hapa au ana nini cha ziada huyo mwarabu cha kuwazidi wengine wote kama ilitangazwa zabuni?si wapewe wengine wenye mikataba nafuu?
 
Ukisoma andiko la 'Opening the Gates: How the Port of Dar es Salaam Can Transform Tanzania?'

Author: Jacques Morisset

Anasema kwamba, "Meli zinazolenda mizigo Tanzania huchukua wastani wa siku 10 kwenye foleni hadi kufika kwenye gati, na siku wastani wa siku 10 nyingine kupakua mzigo wote hadi kuondoka"

Anasema, "Tangu mwaka 2012, Bandari ya Mombasa ilikuwa inatumia chini ya siku moja kwenye foleni hadi kufika kwenye gati ya kupakua mizigo, na hapo itatumia siku 3 tu kupakua mizigo, ambayo imezidi siku moja tu ukilinganisha na viwango vya kimataifa. Viwango vya kimataifa vinataka meli ikae siku 2 bandari ikipakua mzigo, Tanzania tunafika hadi 10 muda mwingine.

Tofauti na bandari ya Dar es Salaam, Bandari ya Mombasa gharama zake za ushuru kwenye mizigo ni "flat rates", yaani anayeleta IST na anayeleta V8 wanalipa ushuru sawa, ila kwa Bandari ya Dar es Salaam, kila mzigo unalipwa kulingana na thamani yake, ambapo mwandishi anasema hali hii inatoa mianya ya rushwa na udanganyifu.

Kutokana na bandari ya Dar es Salaam kutumia muda mrefu kwenye kupakua mizigo, kampuni za usafirishaji na wateja kwa ujumla hupata hasara ya $252 milioni kwa mwaka.

Kutoka na huduma mbovu kwenye bandari ya Dar es Salaam, serikali ya Tanzania kwa mwaka hupoteza $1.7bn/- kwa mwaka, zaidi ya TZS Trilioni 2 kwa mwaka.

Kutoka na huduma mbovu katika bandari ya Dar es Salaam, nchi jirani ambazo Uganda, Burundi, DR Congo, Rwanda, Zambia na Malawi, hupoteza $830 milioni.

Mtunzi anamalizia kwa kusema kwamba, ni lazima Bandari ya Dar es Salaam iwekeze kwenye teknolojia ya kisasa ili kuongeza tija kwenye bandari. Matumizi ya Teknolojia yataondoa mianya ya rushwa na kuongeza ufanisi katika bandari ya Dar es Salaam.

Ndugu zangu Watanzania, huu ni wakati ambao tunawahitaji zaidi DP World kwani wana teknolojia ya kisasa zaidi ambayo itatusaidia kukuza uchumi wetu kwa haraka zaidi. Rai yangu ni Bunge letu tukufu liridhie uwekezaji huu na hatimaye tusaini mkataba huu kwa maslahi mapana ya Taifa letu. Nina imani na Serikali ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu.
Safi somo zuri kwa ile mijinga inayopinga!
 
Umeshalamba asali, unakuja sasa kuleta porojo. Rudisheni bandari yetu.
 
Ila watu wa nchi hii wanafikiria kwa kutumia nini kwani??
Binafsi sipingi hao wawekezaji kabisa, ninachopata mashaka nacho ni hivyo vipengele vya mkataba vinashangaza.

wapewe hata miaka 500 sawa tu ila vipengele vya kwamba hakuna kuvunja huo mkataba regardless kitu chochote ni ukichaa ambao hata ambae hajaenda darasa hata moja hawezi kubali.
 
Ukisoma andiko la 'Opening the Gates: How the Port of Dar es Salaam Can Transform Tanzania?'

Author: Jacques Morisset

Anasema kwamba, "Meli zinazolenda mizigo Tanzania huchukua wastani wa siku 10 kwenye foleni hadi kufika kwenye gati, na siku wastani wa siku 10 nyingine kupakua mzigo wote hadi kuondoka"

Anasema, "Tangu mwaka 2012, Bandari ya Mombasa ilikuwa inatumia chini ya siku moja kwenye foleni hadi kufika kwenye gati ya kupakua mizigo, na hapo itatumia siku 3 tu kupakua mizigo, ambayo imezidi siku moja tu ukilinganisha na viwango vya kimataifa. Viwango vya kimataifa vinataka meli ikae siku 2 bandari ikipakua mzigo, Tanzania tunafika hadi 10 muda mwingine.

Tofauti na bandari ya Dar es Salaam, Bandari ya Mombasa gharama zake za ushuru kwenye mizigo ni "flat rates", yaani anayeleta IST na anayeleta V8 wanalipa ushuru sawa, ila kwa Bandari ya Dar es Salaam, kila mzigo unalipwa kulingana na thamani yake, ambapo mwandishi anasema hali hii inatoa mianya ya rushwa na udanganyifu.

Kutokana na bandari ya Dar es Salaam kutumia muda mrefu kwenye kupakua mizigo, kampuni za usafirishaji na wateja kwa ujumla hupata hasara ya $252 milioni kwa mwaka.

Kutoka na huduma mbovu kwenye bandari ya Dar es Salaam, serikali ya Tanzania kwa mwaka hupoteza $1.7bn/- kwa mwaka, zaidi ya TZS Trilioni 2 kwa mwaka.

Kutoka na huduma mbovu katika bandari ya Dar es Salaam, nchi jirani ambazo Uganda, Burundi, DR Congo, Rwanda, Zambia na Malawi, hupoteza $830 milioni.

Mtunzi anamalizia kwa kusema kwamba, ni lazima Bandari ya Dar es Salaam iwekeze kwenye teknolojia ya kisasa ili kuongeza tija kwenye bandari. Matumizi ya Teknolojia yataondoa mianya ya rushwa na kuongeza ufanisi katika bandari ya Dar es Salaam.

Ndugu zangu Watanzania, huu ni wakati ambao tunawahitaji zaidi DP World kwani wana teknolojia ya kisasa zaidi ambayo itatusaidia kukuza uchumi wetu kwa haraka zaidi. Rai yangu ni Bunge letu tukufu liridhie uwekezaji huu na hatimaye tusaini mkataba huu kwa maslahi mapana ya Taifa letu. Nina imani na Serikali ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu.
umetumwa eeh?

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Hayo maboresho tufanye wenyewe,SIO lazima tubinafsishe!!

Tuonyeshe ufanisi WETU!
Hatujiwezi, hizo cranes tutanunua kwa bei mara ishirini ya bei halisia halafu tutaleta cranes mitumba ambazo zitakuwa zinabreakdown kila siku na mafundi watakuwa wanalipwa mamilioni kila mwezi kuzitengeza.
 
Back
Top Bottom