dp world

DP World is an Emirati multinational logistics company based in Dubai, United Arab Emirates. It specialises in cargo logistics, port terminal operations, maritime services and free trade zones. Formed in 2005 by the merger of Dubai Ports Authority and Dubai Ports International, DP World handles 70 million containers that are brought in by around 70,000 vessels annually. This equates to roughly 10% of global container traffic accounted for by their 82 marine and inland terminals present in over 40 countries. Until 2016, DP World was primarily a global port operator, and since then, it has acquired other companies up and down the value chain.

View More On Wikipedia.org
  1. Leak

    JamiiForums Tanzania Kwanini DP World wamewakimbia watangazaji? Mpemba huyu ni msemaji wa DP? Hawa waandishi warudishe hela za watu?

    Maulid Kitenge na wenzie walitamba mitandaoni kuwa wanakwenda kufanya mahojiano na DP world na kuleta majibu juu ya maswali ya watanzania! Maswali makubwa mawili yakikuwa! 1. Mkataba ni wa muda gani? 2. DP world wamewekeza kiasi gani kwenye mradi huu? Lakini cha kushangaza wamekwenda kumuhoji...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

    Azimio la Bunge kuhusu Pendekezo la Kuridhiwa Mkataba baina ya Serikali ya Jamhuri ya Mungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai kwa lengo la kuanzisha Ushirikiano wa Kiuchumi na Kijamii katika Uendelezaji wa Maeneo ya Bandari Nchini leo Juni 10, 2023. ====== Leo Juni 10, 2023, Bunge la...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa Bandari: Ni kweli Rais wa hajui alichosaini au ni mpango mkakati uliojificha?

    UTANGULIZI: Kwa taaluma yangu kama mwanasheria nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kweli kuwa ule ndio ushauri wa kisheria (legal opinion, or legal memorandum) uliotolewa na watalaamu wetu wa kisheria kumshauri Rais wa JMT kuridhia kuingia kwenye mkataba wa kipuuzi na kipumbavu namna ile. Ni...
  4. Satoh Hirosh

    JamiiForums Tanzania Hii nguvu si mchezo: Kitenge, Zembwela na Hando wapewa escort ya ving'ora Dubai

    Nani amefatilia Wasafi media leo asubuhi? Hawa watangazaji watatu tangu juzi wapo Dubai na wanajinasibu Kama ni wageni rasmi wa DP world kutoka Tanzania. Na wanapata escort ya ving'ora Kama wageni wa heshima. Leo walikuwa wanawahoji watanzania ambao wanafanya kazi hapo bandari ya Dubai...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Bandari imepewa DP-World kwa kuwa utendaji wa TICTS ni mdogo

    Akielezea suala linaloendelea kuhusu mkataba wa DP-World na Tanzania ametoa sababu kuwa ni utendaji kazi mdogo wa TICTS ambao umesababisha meli nyingi ziwe zinashushia mizigo Lamu, Mombasa au Afrika kusini hali ambayo imepunguza wateja wa Bandari ya Dar es salaam. Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa...
  6. C

    JamiiForums Tanzania EPA, ESCROW na RICHMOND nazo zilitetewa kama inavyotetewa DP World

    Wakuu, Kwenye hizo kashfa za epa, escrow, richmond, kagoda, meremeta, na kashfa kibao nazo zilipata waliozitetea kwa nguvu kubwa sana. Na baadhi ya vyombo vya habari vilijitoa kutetea na baadhi ya waandishi waliandika kutetea sana hizo kashfa lakini mwisho waliishia kuaibika tu. Hivo...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Huu ni Mkataba mkubwa mbovu kuwahi kusainiwa na Rais tangu tupate Uhuru

    Tumewahi kuona mikataba mikubwa ya kuuza au kubinafsisha raslimali zetu ikisainiwa kati ya Tanzania na mataifa mbalimbali lkn huu wa kuuza bandari zetu unaoneka kuwa utavunja rekodi ya kuwa mkataba mbovu kuwahi kusainiwa na rais aliye madarakani na utamwachia legacy mbaya Rais Samia. Tukiondoa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kishindo cha DP WORLD: Tozo na Kodi mbalimbali kufutwa au kupunguzwa mwaka wa fedha 2023/2024. Tutarajie mazuri zaidi miaka ijayo ya fedha

    Kwenye mapendekezo ya bajeti Kwa mwaka wa fedha 2023/2024 baadhi ya tozo kama ile tozo ya kwenye miamala ambayo ni kilio Cha wanyonge wengi na Ile Kodi ya 'store' iliyopelekea mgomo Kariakoo zitaondolewa kabisa. Ukiachana na hizo Kodi, tozo na ushuru mbalimbali wa bidhaa zitapungua kabisa...
  9. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Wabongo wengi wanapenda sana kudandia vitu visivyokuwa na maana. Rejea Wanafunzi wapya wa MNH

    Hizi siku mbili tatu, nikiingia status za whatsap, fb ...watu wapo busy na wanafunzi wapya waliohamishiwa MNH kutoka sudan Chaajabu hadi watu maarufu nao wapo busy na huo uzuzu. Hivi ina maana hamjawahi/hawajawahi kuona wadada warembo? They are acting like they were in boarding schools for 10...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rugemeleza Nshala: Tutafungua Kesi kupinga Mkataba wa DP World na Tanzania

    Mwanasheria mkongwe nchini, Dkt. Rugemeleza Nshalla amesema anakusudia kwenda mahakamani pamoja na wadau wengine kupinga dhamira ya Serikali kusaini mkataba kati ya serikali na kampuni ya DP World unaolenga kuboresha Bandari ya Dar es Salaam ambao amedai kuwa umekiuka katiba na sheria mbalimbali...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Turufu yetu ya mwisho kujitoa mkataba wa DP World ni kuwakata waliohusika kujadili na kusaini kwa tuhuma za rushwa

    Kama mkataba ni mbaya na ni wa milele, Turufu yetu ya kwanza kujitoa ilikuwa kupingwa na bunge ingekuwa wazi kwamba mchakato wa kisheria haukamiliki kwa mtu mmoja kutia saini. Hiyo wabunge wetu wanajigamba kuwa magwiji wa sheria hawakuona. Sasa ni kuunda timu ya kuchunguza ambayo itaibuka na...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Hamza Johari anahusiakaje na Mkataba wa Bandari?

    KUNA mwanasheia mmoja anaitwa HAMZA JOHARI ndiye anayetolea ufafanuzi vipengele vya Mkataba wa Bandari kunaopigiwa kelele na watanzania kila siku kwenye vyombo vya habari. JE YEYE NDIYE MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI? Au ni Nani sijaelewa Hamza Johari UPDATE (Agosti 14, 2024) - Hamza Johari...
  13. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la Mbunge kwenda Dubai bila kujua dhumuni la safari, Spika anatakiwa kujiuzulu!

    Kama analolisema huyu Mbunge ni kweli basi Spika wa Bunge jiuzulu tafadhali. Soma >> Mkataba wa Bandari: Mbunge Aida Khenani akiri kupelekwa Dubai, lakini mpaka wanarudi hakujua walikwenda kufanya nini Mbunge anasema alisafiri mpaka Dubai hajui anaenda kufanyaje? Kweli Kodi zetu mnazitumia...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Mbadala wa Mkataba wa Bandari na DP World huu hapa

    Tuunde kampuni ya bandari, Tuandae mpango wa kuunganisha nchi za "east and central africa" na bandari yetu. Hapa tutazungumza na nchi kama zambia, kongo, burundi, uganda, afrika ya kati. Halafu tutengeneze master plan itakayojumuisha upanuzi wa bandari, ujenzi wa njia za kusafirisha mizigo...
  15. Bams

    JamiiForums Tanzania Makuwadi wanahangaika kuhalalisha mkataba mbaya wa DP World lakini kila mahali wanaangukia pua

    Tangu kashfa mbaya kabisa ya maafisa wa Serikali kubainika wamesaini mikataba ya hovyo unaotarajia kuzipora bandari zote za Tanganyika, wahusika wamekuwa wanahangaika kuutetea uovu wao wakitoa hoja nyingi ambazo nazo haichukui muda kudhihirika ni uwongo. 1) Kwanza walisema eti kilichopelekwa...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa Bandari: Mbunge Aida Khenani akiri kupelekwa Dubai, lakini mpaka wanarudi hakujua walikwenda kufanya nini

    Hakika shetani ana trick za ajabu sana anapotaka kutenda au anapotenda uovu wake kwa kuwatumia watu waovu hususani viongozi wenye dhamana kubwa za kuongoza nchi na wananchi wa nchi yetu.. Hebu twende pamoja, soma na sikiliza hii👇👇👇 Mkataba wa DP WORLD ni zaidi ya mkataba tu! • Kumbe kulikuwa...
  17. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania DP World inatisha 2: Tazama bandari inazozihudumia Uingereza

    DP World wameunda biashara iliyounganishwa kwa ubora wa hali juu - bandari mbili za kina kirefu zenye vituo vya reli ya mizigo huko London Gateway na Southampton, kituo cha vifaa (logistics park) inayopanuka kwa kasi na biashara ya juu ya programu za software zinazotoa viunganisho vya mtandaoni...
  18. Chabrosy

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu kuhusu Sakata la DP World kama mtu niliyewahi kufanya kazi kwenye Bandari ya Dar es Salaam

    Kumekuwa na mzozo mkubwa kuhusu hii bandari ya Dar es salaam na DP World. Sio vibaya kuwa na wawekezaji katika nchi lakini tuangalie na mikataba tunayoingia nao, twende mbele turudi nyuma ufanisi wa Bandari ya ya Dar es salaam ni mbovu kupita maelezo yani haufai. Naongea hivi nikiwa na...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Kama kutakuwa na mapitio ya Intergovermental Agreement (IGA) kuhusu DP World mapitio hayo yapelekwe bungeni baada ya uchaguzi wa 2025

    Nimemsikia Waziri Mkuu Majaliwa akizungumzia uwezekano wa kufanya mapitio(review) ya azimio lililopitishwa bungeni Intergovermental Agreement(IGA) inayohusu uwekezaji wa DP World hapa Tanganyika. Bunge la sasa hivi la chama kimoja-1) lililipitisha azimio hilo "kwa kishindo" kama ilivyo kawaida...
  20. C

    JamiiForums Tanzania TICTS walipewa Mkataba wa miaka 20. Je, DP World Mkataba wao ni muda gani?

    Swali la msingi liko hapo. TICTS walipewa miaka 20, waliposhindwa na mkataba kuisha wamenyimwa nyongeza ya mkataba. Je, hao DP World mmewapa muda gani? Ili nao wakishindwa tutafute mwekezaji mwingine na kama watafanikiwa waongezewe mkataba kwa mujibu wa sheria za nchi. Hoja ya watanganyika...
Back
Top Bottom