BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,377
- 8,121
Mwanasheria mkongwe nchini, Dkt. Rugemeleza Nshalla amesema anakusudia kwenda mahakamani pamoja na wadau wengine kupinga dhamira ya Serikali kusaini mkataba kati ya serikali na kampuni ya DP World unaolenga kuboresha Bandari ya Dar es Salaam ambao amedai kuwa umekiuka katiba na sheria mbalimbali za nchi.
Pia soma