dola

The Western Australian Land Information Authority operates under the business name of Landgate. Formerly the Department of Land Information (DLI), the Department of Land Administration (DOLA) and the Department of Lands and Surveys (DOLS), it is the statutory authority responsible for property and land information in Western Australia.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mtu wa namna hii aachwe kuwa kiongozi kwakuwa alipata kura nyingi?

    Huenda Maneno haya Machache yakaeleweka na watu wachache tu Kwa wengi ndio hao wanaoshabikia Ujinga. Ipo hivi, ukikaa Kwa kutulia ukaitazama Dunia vizuri, utagundua Raia wengi wa Nchi zote Duniani, wamepitiwa na Ushetani hivi wa kupenda masuala ya kijinga jinga yaani masuala ya ovyo ovyoo...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nilivyoelewa kauli ya Mbowe ni kuwa lengo la CHADEMA ni kumsaidia Mama kuongoza vizuri na sio kushika Dola

    Asalam, Jana katika kumsikiliza Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe nikaona ametoa tafsiri ambayo sikuwa naijua ya malengo ya vyama vya upinzania Tanzania. Kwa ufupi anasema LENGO KUU NI KUMSAIDIA MAMA KUONGOZA VIZURI (kwa Tafsiri yangu na nyongeza kidogo ni sawa na kusema lengo sio kushika...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kwa sura nazoziona hapa (CHADEMA) hamna dhamira ya kushika dola 2025, mnajua mama yupo

    Rais Samia akiwa katika Maadhimisho amezungumza mambo mbalimbali. Akiwa anajibu hoja ya Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa BAWACHA kuhusu nia yao ya kushika dola 2025 Rais Samia amesema: "Ndugu zangu siasa ni mchezo wa kulumbana kwa hoja Wote tukiwa na lengo la kushika dola kama alivyosema...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa anabaniwa publicity na mfumo wa dola (TBC1 hairushi matukio yake mubashara lakini ya Waziri Mbarawa yanarushwa live)

    Kwa wiki kadhaa nimekuwa nikifuatilia chombo chetu cha habari cha Taifa TBC1 na kwa mtu mwenye akili timamu atagundua kuna namna fulani ya kumbania Waziri Mkuu wetu publicity. Wiki iliyopita alikuwa na ziara ya kikazi mkoani Songwe na kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo lakini matukio...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa ahutubia mkutano wa CHADEMA. Asema sasa imekomaa kuongoza nchi

    Je, amerejea CHADEMA? Tusubiri tuone Aliyewahi kuwa Katibu wa CHADEMA Taifa na baadaye Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Dkt. Wilbrod Slaa kwa mara ya kwanza jana Jumapili amehudhuria mkutano wa Chadema Wilaya ya Karatu na kuahidi atashirikiana na chama hicho kudai Katiba mpya. Dkt. Slaa...
  6. JamiiForums Tanzania Pesa ya goli la ugenini walau iwe Dola za Marekani 5000.

    Huwezi ukalinganisha goli la ugenini na la home stadium. Ukweli ni huo lazima mamlaka iliangalie hili. 1. Mathematics haiwezi kuwa sawa na Language. 2. Visa ya USA haiwezi kuwa sawa na ya Rwanda. Sasa Kwa kuliona hilo naishia hapa. Muwe na usiku mwema wakuu.
  7. JamiiForums Tanzania Pesa ya Yuan ya China yaanza kuipiku dola ya Marekani sokoni

    Upungufu wa dola ya Marekani katika maeneo mbalimbali unaanzisha mnyukano wa sarafu ya akiba kati ya dola na yuan. Pesa ya Yuan ya China ambayo ilikuwa inafanya kazi katika soko la biashara kati ya China, Australia na Japan sasa inakwenda kupanua wigo wake katika nchi za kiafrika na nchi...
  8. JamiiForums Tanzania Uzi wa kusaidia vyombo vya dola kujua machimbo yote (incubation hubs) za panya road na vijana wahalifu mikoa yote

    Wakati mwingine kuwa mzalendo ni kuvisaidia vyombo kuzima uhalifu kabla haujamature. Kumekuwa na ongezeko la panya road hasa dar es salaam. Sasa tutumie uzi huu kutaja machimbo yote na mitaa yote inayolea vijana wahalifu na wavuta bangi popote walipo Tanzania. Taja mkoa wilaya kata mtaa na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu acha kupanick, jibu hoja za Luhaga Mpina. Kwanini utumie reserve ya dola kujengea madarasa nje ya bajeti? Mbona awali hukusema kweli?

    We Mwigulu umekengeuka sana. Unajifanya mbabe na maneno ya dharau wakati unahojiwa hoja za msingi. Hivi kwanini ulidanganya hapo awali kuwa ulitumia bil 124 kujenga madarasa nje ya bajeti. Sasa hivi unadai kutumia reserve ya dola zenye thamani ya tril moja kujenga madarasa. Tukuamini kwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Sio kweli kuwa CCM imesimika mizizi kiasi cha kutoachia dola. Bali hakuna upinzani madhubuti Zitto na Mbowe ni waganga njaa

    Hali ni mbaya sana kwa wananchi wa kawaida. Watu hawana hata uhakika wa kula. Leo hii nafaka zimepaa. Wananchi wanakosa hata pesa ya kupeleka shule na kununua sare. Maji mijini na vijijini yanapatikana kwa shida. CcM imefeli. Imefanikiwa kupandikiza mamluki ACT Wazalendo na CHADEMA.
  11. JamiiForums Tanzania Mtanzania aliyewahi kuwa Jambazi sugu Kenya atoa ushahidi na kusimulia alivyofanya jambazi ikiwemo kuvaa sare za polisi, Kayachoka maisha ya uraiani?

    Mzee anajisnichi mwenyewe, ni kama anajivunia kwa kazi haramu aliyowahi kuifanya uyu mzee ni kama vile sio mzima kwakweli, ana jitoa ufaamu wazi wazi. anaonyesha hadi id yake aliyotumia Kenya pamoja na chapisho la gazeti kwamba ni "wanted". chanzo ni Millard, ni credible source so nahisi...
  12. JamiiForums Tanzania Tulia Ackson: CCM haitoachia Dola KAMWE

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mhe. Dkt. Tulia Ackson amesema kuwa hakuna siku itatokea chama hicho kikaruhusu nafasi ya kuachia kuitawala nchi kwakuwa imejiwekea mizizi imara katika kuwatumikia wananchi...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa afunguka mazito kuhusu hila za Dola na Polisi dhidi ya CHADEMA

    Msikilize Dkt. Slaa akielezea hila na hujuma za Tiss, na Polisi, dhidi ya Chadema. Kabla ya kesi ya ugaidi ya Mbowe na Chadema kulikuwa na kesi ya ugaidi dhidi ya Lwakatare. Dkt. Slaa ameeleza jinsi Tiss na Polisi walivyoshiriki kutengeneza kesi ya Lwakatare.
  14. JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mtumishi wa TAKUKURU Tanga ahukumiwa kulipa faini ya Tsh. milioni 1 kwa kupokea rushwa ya dola 2500

    Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Tanga, Januari 16, 2023, Jamhuri imeshida kesi ya Jinai yenye namba CC 56/2021 iliyokuwa ikiendeshwa na Mwendesha Mashtaka Joseph Mulebya pamoja na Khadija Luwongo kutoka TAKUKURU. Katika kesi hii mshtakiwa alikuwa Bw. Hilton Njau aliyekuwa mtumishi wa TAKUKURU...
  15. JamiiForums Tanzania ASAS kuwapa Polisi Gari na Pikipiki ni kutaka kuiweka mfukoni dola

    Sidhani kaka ni sawa kwa hiki kilchofanyika tena hadharani, Kampuni ya ASAS kutoa msaada wa Pikipiki na Gari kwa Jeshi la Polisi sio jambo la kukaliwa kimya. Hii ni taasisi ya Utoaji Haki inapotokea wanatoa msaada huo je wakipatwa na makosa yanayohitaji Polisi kuwawajibisha watachukua hatua sawa...
  16. JamiiForums Tanzania CHADEMA: Tuna dhamira ya kushika dola 2025

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika amesema chama hicho kitahakikisha kinaimarisha majimbo yote ya Tanzania na Zanzibar ili kufikia dhamira ya kuiondoa CCM madarakani katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. “Tuna dhamira ya kushika dola mwaka 2025, kutokana na...
  17. JamiiForums Tanzania Bila dola laki mbili 2 Feisal hatocheza Azam

    Nimeona magazeti leo wanaongea sana, niwajulishe tu Fei anatakiwa kununua mkataba na sio kuvunja. Ukinunua unatumia kipengele cha 18, 1.2 na ukivunja unatumia 14 A.B ambacho unarudisha fedha ya usajili. Katika vita hii niwahakikishie kama Azam hatolipa milion 480 Yanga atakuwa mshindi...
  18. JamiiForums Tanzania Dola isije kuthubutu kuwapa wapinzani (CHADEMA) nchi

    Hawa watu, uzalendo wao ni zero, Wabinafsi, na kila kukicha wanazidi kuweka wazi sura zao asili, hata iweje Hawa watu wasipewe Nchi, wawe wanapewa ubunge tu Naam kwakua, Chama Cha Mapinduzi ndicho kilichojishikanisha na Dola Moja Kwa Moja. Basi, Dola ni vema ikahakikisha inatawala kama Ulivyo...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini hifadhi ya fedha za kigeni imeshuka na dola imeadimika mtaani?

    Jibu rahisi ni kwamba balance of payment haijakaa vizuri,tunachopeleka nje kina thamani ndogo kuliko tunachoingiza nchini kutoka nje,hivyo tunatoa dola (foreign currency) nyingi kuliko tunavyopokea,fikiria ununuzi wa mabehewa kwa ajili ya treni ya SGR unafanyika kwa fedha za kigeni,jibu lingine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…