dodoma

  1. JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Magufuli akivunja sheria za barabarani wakati akitokea ofisi za CCM alipoenda kuchukua fomu ya urais

    Hatimaye kampeni zimeanza, tumeanza kujishusha kwa wananchi. Haya maving'ora kwa sasa yatatupunguzia kura. Rais Magufuli leo anaonekana Dodoma akiwa na gari binafsi huku akitanua bila wasiwasi wowote.
  2. 1

    JamiiForums Tanzania Nahitaji nyumba ya kununua Dodoma iwe ndani ya eneo la meta za mraba 1000 kwenda juu

    Waugwana habari za majukumu. Ninauhitaji wa nyumba kama nilivyoeleza hapo kwenye kichwa cha habari. Lakini kuna sifa ya ziada ambayo hiyo ndo itakuwa kivutio kwa Mimi kufanya manunuzi. Sifa hiyo ni nyumba hiyo wakati tunafanya biashara iwe inaendelea kuingiza pesa { iwe na mpangaji ama...
  3. JamiiForums Tanzania Marais Wastaafu wa Tanzania wapo Dodoma wakisubiri hotuba ya Rais Magufuli

    Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa, Rais Mstaafu Dr Jakaya Kikwete na Makamu wa Rais Mstaafu Dr. Gharib Bilal wakiwa Bungeni mjini Dodoma wakisubiri kusikia hotuba ya kulivunja Bunge leo kutoka kwa Rais Dkt. John Magufuli.
  4. JamiiForums Tanzania Dodoma: Spika Ndugai amfukuza Bungeni Salome Makamba

    Spika Job Ndugai amemfukuza bungeni kwa siku saba kuanzia leo, Mbunge wa Viti Maalum, Salome Makamba (Chadema), baada ya mbunge huyo kulieleza Bunge kuwa marekebisho ya Kanuni za Kudumu za Bunge yatafanyika kwa matakwa ya Spika, Naibu Spika na watu wao. "Spika Job Ndugai amesema ametumia miaka...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mwita Waitara athibitisha taarifa za kuumwa, amelazwa Hospitali ya Benjamin Mkapa, hajui ni ugonjwa gani

    Taarifa zimesambaa kupitia mtandao wa Twitter kuwa Waitara amelazwa jijini Dodoma ambapo imedaiwa anaugua maradhi ya Corona. Wacha tusubiri lakini hii ya kulazwa labda inaweza kuwa ni kweli, ila kuhusu aina ya ugonjwa, muda utathibitisha. --- UPDATE--- Mheshimiwa Mwita Waitara amethibitisha...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Mchungaji Msigwa rasmi kutangaza nia Dodoma hotel Jumapili 14 Juni

    Wote mnakaribishwa Labda kwa faida ya wageni na wengine , Mchungaji Msigwa ndiye mbunge aliyekomesha siasa za kishamba Iringa mjini , huyu ndiye kiongozi aliyeifuta ccm Iringa , ambapo uchunguzi unaonyesha kwamba bei ya madiwani wa Chadema walionunuliwa Iringa inazidi bajeti ya mwaka ya wizara...
  7. J

    JamiiForums Tanzania CCM Zanzibar yakaribisha wanaccm kuchukua fomu za Urais, yasema uteuzi utafanyika Dodoma siyo Unguja

    CCM Zanzibar imesema ni ruksa kwa wanaccm wanaotamani urais wa Zanzibar kwenda kuchukua fomu. Naibu Katibu mkuu wa CCM Zanzibar amesema uteuzi wa jina la Mgombea utafanyika jijini Dodoma na siyo Zanzibar na kisha litapelekwa Tume ya uchaguzi. Chanzo: ITV habari Maendeleo hayana vyama!
  8. S

    JamiiForums Tanzania Urais 2020: Msigwa kuongea na waandishi wa habari Jumapili ya Juni 14 mjini Dodoma

  9. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

    USHAHIDI wa awali wa Jeshi la Polisi nchini kuhusu madai ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) ambaye pia ni Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni Freeman Mbowe umeonesh kuwa siku hiyo ya tukio Mbowe alikuwa amelewa chakali na alizunguka kwenye kumbi mbalimbali za...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: DC na DED wa Dodoma Muoe

    Dodoma ndio kila kitu, kwahiyo wewe Mkurugenzi (Kunambi), ni Mkurugenzi wa Jiji la Makao Makuu hata kama ni mdogo, ila utafute Mwanamke uoe, kwani hawapo Wanawake wanaotaka kuolewa na Mkugenzi jamani!?, nimekutangazia uanze kutafuta ndoa, DED unajipikia wakati Wagogo wapo wengi”-JPM “Mkuu wa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya KUB Mbowe ina CCTV, zinaweza kutoa ushahidi kama alianguka au alivamiwa

    Ni aibu kwa bunge badala ya kujadili bajeti ya nchi, linatumia siku mbili kujadili tukio la kuvamiwa Mbowe. Cha kusikitisha hawajadili namna ya kumsaidia mbunge mwenzao bali wanapiga majungu. Jana Msukuma kasema Mbowe alikuwa anakunywa Konyagi Kubwa (Faru John) na ndio iliyopelekea kuanguka na...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Jaffo: Nitawashawishi wenzangu tukubaliane mji wa Mtumba uliopo katika jiji la Dodoma uitwe Dkt. Magufuli City

    Waziri wa Tamisemi Mhe. Jaffo amesema atawashawishi viongozi wenzake ili mji wa kiserikali wa Mtumba uliopo jiji la Dodoma uweze kuitwa Dkt. Magufuli City. Jaffo amesema anajua Rais Magufuli atakataa lakini piga uwa garagaza mji wa Mtumba lazima uitwe Dr Magufuli City. Hatuwezi kumpa vibarabara...
  13. JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Magufuli anazindua ujenzi wa barabara ya Mtumba, Makao Makuu ya TARURA na Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto

    Rais Magufuli yupo sherehe za kuzindua ujenzi wa 51.2 km za barabara ya mji wa kiserikali wa Mtumba, mkoani Dodoma Barabara hiyo itakuwa na km 11.2 za njia nne, zenye upana wa mita 7 kila upande Katika sherehe hizo pia kutakuwa na uzinduzi wa Jengo la ofisi za TARURA mji wa Mtumba, katika...
  14. JamiiForums Tanzania Dkt. Hassan Abbas: Matukio mawili tu yaliyotokea Dodoma mnatangaza Dodoma sio salama? Hivi mmefika New york na London kweli nyinyi?

    Akizungumza kwa njia ya simu kupitia Global TV msemaji wa serikali,Dr. Abbas amewashangaa wote wanàodai kuwa Dodoma sio salama kisa eti kumetokea vitukio viwili Tena vya kawaida tu. Amesema watu hawa wanaosema Dodoma sio sehemu salama hawajawahi kufika London na New York na kujionea matukio...
  15. JamiiForums Tanzania Shambulio dhidi ya Mbowe: Kamanda Giles Muroto (RPC Dodoma), umewaona wa kuwakamata? Nakutajia...

    Kuna habari kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe ameshambuliwa na 'watu wasiojulikana' jijini Dodoma alipokuwa akirejea nyumbani kwake usiku wa kuamkia jana. CHADEMA, kupitia kwa Katibu Mkuu wake John Mnyika, wakatoa taarifa ya awali kwa umma...
  16. JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya (EU) walaani tukio la kushambuliwa Mbowe jijini Dodoma

    EU WALAANI KUSHAMBULIWA KWA FREEMAN MBOWE Viongozi wa Jumuiya ya Ulaya nchini Tanzania watoa kauli ya Pamoja juu ya shambulio dhidi ya Freeman Mbowe "Mwenyekiti wa CHADEMA na kiongozi wa upinzani katika Bunge la Tanzania Freeman Aikaeli Mbowe, ======= Joint Statement by the European Union...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi haya mashambulizi ya Viongozi wa Upinzani, baada ya Lissu na Mbowe nani atafuatia?

    Hill ni swali fikirishi, kuweza kuona mwelekro was matukio haya. Nini chanzo, walengwa kina nani? Sababu Nini? Wahusika kina Nani? Adui wa Mbowe na Lissu nani? Kwanini matukio yote tatokee Dodoma? Tena eneo lilelile? Ulinzi vipi ulienda wapi? Maswali Ni mengi kwa kweli.
  18. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli RC Paul Makonda alikuwa Dodoma usiku wa kuamkia leo?

    Heshima kwenu Wanajamvi, Nmeanzisha thread hii kudadisi au kuconnect Dot kuhusiana na Mambo yanayoendelea Dodoma. Leo Jumanne 09 Juni 2020, Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, aliandaa Mkutano na Madereva Bodaboda. Sijajua alitaka kuongelea nini, lakini ni kwamba aliwakusanya Madereva wote...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aieleze dunia nani anapanga mashambulizi ya Mbowe na Lissu jijini Dodoma?

    Tundu Lissu (MB-CHADEMA na Mnadhimu- KUB)alishambuliwa kwa kumiminiwa risasi zaidi ya 30 na WATU WASIOJULIKANA akiwa Dodoma mchana kweupe tarehe 7 Septemba, 2017. Lakini Mungu aliingilia kati kunusuru Uhai wa Mhe. Lissu. Mpaka sasa ni miaka 2 imepita walomshambulia hawajakamatwa! Leo tena...
  20. J

    JamiiForums Tanzania DC Katambi: Wabunge wa upinzani wanaongoza kwa biashara ya kununua huduma za makahaba jijini Dodoma, orodha ya majina yao ninayo.

    Mkuu wa wilaya ya Dodoma mjini mh Patrobas Katambi amesema biashara ya ukahaba imeshamiri wilayani kwake na wanunuzi wakuu wa Huduma hiyo ni wabunge na zaidi wa upinzani. Katambi amesema kuanzia sasa hawatawakamata makahaba pekee bali pamoja na wateja wao. Amedai kuwa anazo namba za magari ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…