dodoma

  1. JamiiForums Tanzania FT: Dodoma Jiji 0-2 Yanga / Uwanja wa Jamhuri / Dodoma / Ligi Kuu Bara

    Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC, leo Jumapili Mei 15, 2022, Yanga watakuwa ugenini kwenye Uwanja wa Jamhuri kucheza dhidi ya Dodoma Jiji FC Mkoani Dodoma. Ikumbukwe kuwa Yanga haijapata bao hata moja katika mechi tatu zilizopita mfululizo katika Ligi Kuu Bara, presha kubwa ipo pia kwa mshambuliaji...
  2. JamiiForums Tanzania Nimepapenda Dodoma

    Nipo Dodoma kwa shughuli za ufugaji na kilimo. Aisee mji wenu unakua kwa haraka. Ila ka upepo ka baridi asubuhi kamenitingisha kidogo. Naiona Ndoto ya Nyerere ikitimia. Hongereni.
  3. JamiiForums Tanzania Msaada wadau! Mjukuu anagoma kwenda kozi ya unesi na ukunga Dodoma. Anataka kuendelea na kidato cha tano. Nifanyeje?

    Amechaguliwa kwenda chuo. Anasema hapana. Anatpenda aendelee na kidato cha tano kwa mchepuko wake uleule wa masomo ya sayansi. Wapi nigeukie ili nisaidiwe?
  4. JamiiForums Tanzania Dodoma Jiji wanaweza kuifunga Yanga, Je refa atakubali?!

    Mifano ya Yanga kusaidiwa ushindi na marefu ni mingi,haiesabiki. Dodoma Jiji wasiopohujumiwa na uongozi wanaweza kabisa kuifunga timu mbovu ya Yanga. Lakini najiuliza refa atakubali?!
  5. JamiiForums Tanzania Asili ya watu wa Dodoma kuwa ombaomba

    Hii ishu ya watu wa Dodoma kuwa ombaomba ni ya kihistoria. Ilianza zamani enzi za misafara ya biashara kutoka Bagamoyo hadi Ujiji. H. M. Stanley ameliandika vema hili katika kitabu chache How i Found Livingstone(1871). Zamani kila misafara inakopita ilitakiwa kuacha kodi(Hongo)kwa chifu. Mara...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Hospital nzuri ya kujifungulia Dodoma

    Habari, Naomba kujua ni hospital gani nzuri ya kujifungua kwa Dodoma mjini…ni mgeni kwa Mkoa wa Dodoma… Natumia bima. Asanteni
  7. JamiiForums Tanzania Wanasimba mliopo mkoani Dodoma msituangushe

    Jumapili kuna mchezo hapo kati ya Dodoma vs yanga sc huu mchezo hakikisheni hawa 🐸 hawaondoki na point tatu. Tunajua wanafanya kila mbinu kuhakikisha wanapata point tatu, wakishirikiana na mbunge najua mnajua cha kufanya. Kelele zilikuwa nyingi sana, kwa ushirikiano wetu si mnaona nchi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Watu wa Yanga SC mkiendelea Kuwasumbua hasa Wachezaji na Kocha Mkuu wa Dodoma Jiji FC tutawatajeni ili Muumbuke

    Halafu TAKUKURU ( PCCB ) mbona mnakuwa Wapole hivi wakati kuna Klabu Moja tokea Juzi hadi Leo inahangaika kutaka Kuwahonga Wachezaji na Kocha Mkuu wa Dodoma Jiji FC ili Jumapili waifunge na Wautulize Moto ambao Umeshawaka Klabuni Kwao. Kudadadeki zenu si mnajifanya mna Kikosi imara na...
  9. JamiiForums Tanzania Dodoma: Marie Stopes yatoa Elimu ya Afya ya Uzazi kwa Wanahabari na Wadau

    Shirika la Marie Stopes Tanzania (MST), limewakutanisha waandishi wa habari zaidi ya 33 pamoja na wadau wengine jijini Dodoma na kuwapa elimu ya afya ya uzazi na kuwaeleza shughuli zinazofanywa na shirika hilo hapa nchini. Waandishi hao pia walipata fursa ya kufahamu shughuli nyingine za...
  10. JamiiForums Tanzania Mheshimiwa mbunge acha mara moja "kuuza" mechi ya Dodoma Jiji Vs Yanga

    Mheshimiwa Mbunge tunajua wewe ni mfia Yanga. Iache Yanga ipambane yenyewe badala ya wewe na uongozi wa Yanga kulazimisha mechi ichezwe nje ya uwanja. Unahangaika sana kutafuta connection ili Dodoma Jiji isiwafanye vibaya Utopolo wenzio. Tunajua hatuwezi kukufanya chochote ila huo sio...
  11. JamiiForums Tanzania Bora Mbeya ikawa makao makuu ya nchi kuliko Dodoma

    Nimefika dodoma toka juzi Hawachangamki Hwaongei Wala hawacheki Dodoma sio mji wa kibiashara Dodoma sio mji uliochangamka Dodoma kuna wagogo ambao hawajui shughuli yao maalumu ni ipi Dodoma hamna kitu Nimefika dodoma hamna sehemu ya starehe ambayo watu wanakosa seat za kukaa ata ukifika sa 6...
  12. JamiiForums Tanzania Polisi mkoani Dodoma wapiga marufuku wanawake kupanda boda boda kwa kujibinua

    Mamlaka za polisi mkoani Dodoma zimepiga marufuku baadhi ya wanawake kupanda boda boda kwa mtindo wa kujibinua.
  13. JamiiForums Tanzania Onyo kwa wanawake Dodoma: Ni kosa kubwa sana kubinuka wakati umepanda Pikipiki😂

    Ni onyo kali sana kutoka Jeshi la Polisi Tanzania mkoani Dodoma. Je kuna athari yoyote ya kiusalama kama mteja akikaa kwa style hio ya kujibinua? inahatarisha usalama wake?
  14. JamiiForums Tanzania Wakazi wa Mkonze Dodoma jiji, barabara ya Iringa, tuna nguzo za REA huu mwaka wa pili zimesimamishwa ila hazina nyaya

    Kichwa cha habari chajieleza.. Huu mwaka wa pili tangu hizi nguzo zisimamishwe baada ya agizo la Hayati Magufuli alipopita kwenda ziarani Iringa.. Alisema haiwezekani anapita mjin halafu kuna giza tuwekewe umeme haraka sana. Nguzo zikawekwa alipofariki na umeme umefariki pia.. Sasa hivi...
  15. JamiiForums Tanzania TWAWEZA yawasilisha Matokeo ya Mpango wa 'KiuFunza' ambao umesaidia Wanafunzi 26,000

    Baada ya majaribio ya miaka mitatu, Twaweza, kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia pamoja na Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, wameonesha kuwa malipo ya fedha kwa walimu kulingana na utendaji (au malipo ya ufaulu) yanaweza kuchangia kuboresha stadi za...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi Dodoma kuna Serikali? Kwanini maelekezo ya LATRA yapuuzwe?

    Juzi LATRA wametoa chati za nauli za mabasi ya mikoani na daladala ambazo zilipaswa kuanza tarehe 14/05/2022. Cha kushangaza nauli ya Dodoma mjini kwenda Bahi imepanda na kufikia shilingi 3000. Umbali ambao LATRA wamependekeza nauli ya 1900. Napenda kujua hivi Serikali ya mkoa wa dodoma...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada: Dodoma imehamia wapi? Mbona Chako ni Chako sijawaona?

    Wakuu habari zenu, nasikitika sana kuona hali inavyo endelea jijini Dodoma, jana usiku nikajisogeza maeneo ya Chako ni Chako ili kuosha rungu, sijui imekuwaje, sijakuta waoshaji, nikaenda mitaa ya uhindini nikawakuta kama watano hivi ila sijaona subwoofer ikabidi niende maisha club, nako...
  18. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mungu akubariki kwa kuwaambia watanzania ukweli

    🤝🤝🤝
  19. JamiiForums Tanzania Ajira za utotoni zimekithiri Dodoma, Serikali iingilie kati

    Salaam... Nipo jijini Dodoma yapata mwezi wa 2 Sasa lakini Kuna jambo linanishangazaa na kunisikitisha sana. Hapa mjini ajira za utotoni zimekithiri sana. Ukienda kwenye migawa hasa ya uswahilini unakuta asilimia kubwa watoto ndio Wana hudumia Ukienda kwenye garage vilevile unakuta vitoto...
  20. JamiiForums Tanzania Dodoma: Maadhimisho ya Mei Mosi, Waliofukuzwa kwa vyeti feki kulipwa, ahadi ya Nyongeza ya Mishahara yatolewa, Unyanyasaji kazini wakemewa

    Tanzania inaungana na mataifa mengine katika kuazimisha siku hii ambayo itakuwa ni mara ya pili kwa Rais Samia Hassan kuwahutubia wafanyakazi baada ya kushika wadhifa huo. Rais Samia atakuwa mgeni rasmi katika maadhimisho haya huku wafanyakazi akisubiri kwa hamu hotuba yake kutokana na ahadi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…