Nimeangalia video nyingi za Dodoma sijawahi kuona mazingira ya uswazi
Ukizingatia jiji la Dodoma lina population sawa na jiji la Mbeya lakini Mbeya uswazi upo wa kutosha ukiangalia aerial view. Ni wewe tu, mitaa iko kibao hata tunaweza kuorodhesha
Ila Dodoma inanishangaza
Wakazi wa Dodoma...