dodoma

  1. JamiiForums Tanzania Waziri Jenista Mhagama, amewataka wakandarasi wanaondelea ya shughuli ya ujenzi wa majengo ya Mji wa Serikali Mtumba Dodoma kuongeza kasi

    WAZIRI MHAGAMA AWATAKA WAKANDARASI UJENZI WA MJI WA SERIKALI MTUMBA KUONGEZA KASI Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama, amewataka wakandarasi wanaondelea ya shughuli ya ujenzi wa majengo ya Mji wa Serikali Mtumba Dodoma...
  2. JamiiForums Tanzania Dodoma: NEMC yazifungia Rainbow na Chako ni Chako kwa kupiga kelele

    Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limezifungia bar za wazi za Rainbow na Chako ni Chako Pub za Jiini Dodoma baada kukuta kelele zilizo kinyume cha sheria ya usimamizi wa mazingira namba 20 va mwaka 2004 na kanuni ya viwango vya udhibiti wa kelele na mtetemo ya mwaka...
  3. JamiiForums Tanzania Ni nini kauli ya Serikali ya Tanzania/ IGP Dodoma kuhusu kifo cha Nasra mwanafunzi wa UDOM?

    Ninaomba michango kuhusiana na thread hii tafadhali?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Dodoma haifai kuwa Makao Makuu ya Nchi, inakuwaje Uwanja wa Ndege hauna taa? Ni aibu

    Baada ya juzi kuona taarifa ya mamlaka ya anga kuhusu ndege ya precision kuahirisha kutua Dodoma, nikasema moja kwa moja Makao Makuu ya Nchi hayawezi kuwa Dodoma. Hiyo inatokana na kwamba miundombinu yake bado haijawa vizuri ikiwepo kiwanja cha ndege. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Hamza...
  5. JamiiForums Tanzania Milioni 16 Zachangia Ujenzi wa Zahanati 13 Bahi, Dodoma

    MILIONI 16 ZACHANGIA UJENZI WA ZAHANATI 13 JIMBO LA BAHI, DODOMA Mbunge wa Jimbo la Bahi Mhe. Kenneth Nollo tarehe 03 Mei, 2023 alifika Kijiji cha Mapinduzi Kata ya Kigwe kwa lengo la kutembelea ujenzi unaoendelea wa Zahanati ya Mapinduzi ambayo ni miongoni mwa zahanati ya 13. Zahanati zote 12...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Jiji la Dodoma linaongoza kwa Rushwa. No money no service!

    Hili Jiji la Dodoma na halmashauri yake ni moja ya sehemu iliyojaa Rushwa iliyokithiri viwango vya kawaida vya kupeana maji ya kunywa kishkaji, ni Jiji la hovyo likiongozwa na Mkurugenzi wake asiyejali kitu chochote, haya ni baadhi 1. Hupati hati bila kutoa rushwa, waje hao wachache Viongozi...
  7. JamiiForums Tanzania Mbunge Kenneth Nollo na kasi ya Maendeleo katika Jimbo la Bahi Mkoa wa Dodoma

    MBUNGE MHE. KENNETH NOLLO NA KASI YA MAENDELEO KATIKA JIMBO LA BAHI MKOA WA DODOMA Mbunge wa Jimbo la Bahi, Dodoma Mhe. Kenneth Nollo mwezi Aprili 2023 amefanya ziara katika Jimbo la Bahi na kukagua miradi mbalimbali ya kimaendeleo inayotekelezwa Jimboni huku akishirikiana na wananchi katika...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada: Radio Advert Rate kwa Dodoma

    rejea na kichwa cha habari hapo juu naomba mwenye details ya advert rate kwa radio zilizopo mkoa wa dodoma
  9. JamiiForums Tanzania Dodoma: Waziri Mkuu aagiza Mwanajeshi, maarufu kama HK akamatwe kwa udhalilishaji

    Waziri Mkuu alitoa agizo hilo jana alipokuwa akizungumza na wananchi wa Nzuguni katika maadhimisho ya miradi iliyozinduliwa katika kilele cha sherehe za miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, kikiwamo kituo cha Zimamoto na Uokoaji. Kijana huyo alitoa tuhuma hizo, baada ya Waziri Mkuu...
  10. JamiiForums Tanzania Askari Polisi waua majambazi wanne Dodoma

    Majambazi wanne wanaokadiriwa kuwa na umri wa miaka 30 hadi 35, wameuawa na polisi wakiwa katika harakati za kufanya tukio la unyang’anyi kwa kutumia silaha eneo la Kisasa jijini hapa. Majambazi hao walivamia nyumba ya Edina Joseph (41) jana saa tatu usiku kwa kuruka uzio wa nyumba yake wakiwa...
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Udereva magari Makubwa/Madogo

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27,nimekuwa nikijaribu kutafuta kazi ya udereva kwa muda mrefu bila mafanikio mpaka nafirikia kwenda kusoma tena operator ili kuongeza wigo wangu katika soko la ajira. Nimejaribu kuandika barua tofauti katika ofisi tofauti kuomba nafasi ya kujitolea lakini...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa CCM badala ya kujadili kero za ugumu wa maisha, anashauri Mawaziri wajengewe sehemu za starehe. Hii ni aibu

    Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Janejelly James ameishauri Serikali kuandaa eneo maalumu la viongozi kupumzika baada ya kazi akidai kuwa hivi sasa hali imebadilika kwa kuwa viongozi wameondolewa raha ya faragha na kusababaisha waonekane hawana maadili.
  13. JamiiForums Tanzania Dodoma: Mradi wa Uwanja wa Ndege wa Msalato umefikia kiwango cha asilimia 18.5

    Mradi wa Uwanja wa Ndege wa Msalato upo Kilometa 10 kutoka katikati ya Jiji la Dodoma, ulianza Aprili 20, 2022 baada ya mkataba kusainiwa Septemba 2021. Mhandisi wa Miradi wa TANROADS Dodoma, Colman Gaston anasema mradi huo umefadhiliwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na...
  14. JamiiForums Tanzania Dodoma: Mradi wa Barabara ya Mzunguko umezalisha ajira kwa watu zaidi ya 1,000

    Mradi wa Barabara ya Mzunguko Mkoani Dodoma una urefu wa Kilometa 112.3 na umegawanyika katika sehemu mbili. Meneja wa TANROADS Mkoa wa Dodoma, Mhandisi Leonard Chimagu anasema sehemu ya kwanza ya Mradi huo inaanzia Nala – Veyula - Mtumba hadi Bandari Kavu ya Ihumwa na urefu wake ni Kilometa...
  15. JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma za printing na sales managing systems Dodoma

    wakuu, karibuni MR Business, tupo Dodoma, mile 2 mnada wa zamani tuna print T-shirts, mabango , card za harusi , calendar,picha mbao na stickers za aina zote lakini pia tuna sales managing sysytem ya Excel na ya kawaida TUNATUMA KAZI MPAKA MIKOA MINGINE, MALIPO NI BAADA YA KAZI unaweza...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Yaliyowakuta Mambuzi Dodoma, yamkuta Kagame

    Huu utamaduni wa kualika wageni kwenye mikutano ya vyama haikosi kuja na yake: Kama mambuzi Dodoma yamemkuta Tolu mwamba wa Kigali. Kwa mwendo huu pana siku yanaweza kuwa makubwa zaidi ya haya.
  17. JamiiForums Tanzania Vibaka kituo Kikuu cha Mabasi Dodoma

    Naandika thread hii kwa huzuni Sana. Leo Alfajiri nimeamka katika Mji wa Dodoma. Nilipofika kituo Kikuu cha Mabasi kabla sijaingia getini nimeshuhudia kundi la Vijana wakivamia abiria wanaotembea kwa miguu au abiria wanaoshuka Kwenye daladala na kuingia kituoni kwa miguu. Mamlaka za usimamizi...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Lodge nzuri Dodoma 30k ndo bajeti

    Wakuu naomba mniambie logde nzuri safi hapo Dodoma mjini kati.bajeti 30k.
  19. JamiiForums Tanzania Ajali yaua Wanandoa Dodoma, kichanga wao anusurika

    Watu wawili mke na mume wamefariki dunia kwenye ajali iliyohusisha gari ndogo na treni katika makutano ya reli, Kata ya Tambukareli, Dodoma. Akizungumzia marehemu hao Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma, Ibenzi Ernest amesema walipokea mwili wa mwanamke Furaha Rashid huku...
  20. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Rais tuokoe Wananchi wako wa Dodoma Jiji juu ya dhuluma hii ya Mkurugenzi Jiji. Mkuu wa wilaya kashindwa

    Kichwa cha habari cha jitosheleza. Wananchi wa Makole D center halmashaur ya jiji walihamishwa kupisha mradi wa stendi ndogo na kituo cha biashara ndogo ndogo za ujasiliamali. Mwanzo walitakiwa kufidiwa kwa malipo ya hela ila halmashauri wakasema fungu lililotengwa lilichukuliwa tena na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…