Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ametembelea kiwanja kinachotarajiwa kujengwa ofisi za Kanda ya Kati ya chama hicho kilichopo Kata ya Ipagala, Mtaa wa Ilazo jijini Dodoma.
Akizungumza katika eneo hilo, Heche amesema ofisi hiyo itakuwa makao makuu ndogo pamoja na ofisi nyingine...