dodoma

  1. FULL TIME: Singida Black Stars FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Liti Stadium | 28.12.2024

    Mtanange mkali Leo. Kinyanganyiro: Ligi Kuu Tanzania Bara - NBC Mwenyeji: Singida Black Stars ya Singida Vs Mgeni : Simba SC ya Dar es salaam Uwanja: CCM Liti Singida. Muda : Saa 10Jioni. Tukutane saa 10 Jioni kwa Maelezo ya mchezo huu. VIKOSI VYA LEO. Updates... 00' Mpira umeanza...
  2. Tulioumizwa viwanja Jiji & Kamishna Mkoa Dodoma 2024 tukutane hapa!

    Wife yupo Dodoma huko serikalini, nafanya shughuli zangu DSM, tangu enzi za magufuli kuhamisha watumishi nikasema ninunue viwanja kadhaa, ashukuriwe Mungu vingine nilijenga na nilipata wapangaji wazuri, in the process kujenga vingine nikaja gundua kumbe ni viwanja hewa, vina double allocation...
  3. Waziri Gwajima atoa pole kifo cha Graison, mtoto wa Chief Godlove Dodoma, ataka ulinzi kwa watoto

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dk Dorothy Gwajima ametoa pole kwa wazazi wa mtoto Graison Kanyenye aliyeuawa na watu wasiojulikana, huku akiwataka wazazi au walezi kuimarisha ulinzi na usalama wa watoto. Tukio hilo lilitokea Ilazo Extension jijini Dodoma...
  4. Dodoma: Mtoto wa miaka 6 auawa kikatili na watu wasiojulikana

    Mtoto wa mfanyabiashara maarufu jijini Dodoma anayejulikana kwa jina la Jojo, Graison Kanyenye (6), anadaiwa kuuawa kwa kupigwa na kitu kizito kichwani wakati mama yake akiwa matembezini usiku wa kuamkia jana. Mbali na hilo, Jeshi la Polisi limesema mwili wa mtoto huyo ulikutwa ndani ya nyumba...
  5. Machache yaliyoonekana Yanga ikiibuka na ushindi mnono dhidi ya Dodoma jiji

    1. Inawezekana kabisa Yanga imejipata, wachezaji wanacheza kwa nguvu na kujituma kama ilivyokua mwanzo, gari limewaka. 2. Kibwana Shomari ameendelea kuproove kwanini mashabiki walipiga kelele apewe nafasi ya kucheza. Aziz k amerudi. 3. Clement mzize ni winga hatari sana kwa sasa, ana kasi...
  6. F

    OMBI MAALUM: Naomba kujulishwa gharama za ujenzi wa Ikulu ya Dodoma.

    Heri ya Krismas. Ikulu kuu ya Taifa ya Chamwino iliyopo Dodoma ni Ikulu namba moja duniani kuwa na eneo kubwa sana la Aridhi. Sijasema ni Ikulu kubwa bali ndiyo namba moja kuwa na aridhi kubwa iliyotengwa kwa eneo la Ikulu tu. Majengo tu yamechukua ekari nane na eneo kubwa sana bado limebaki...
  7. Wanaodhaniwa panya road waibukia Dodoma watu watatu wajeruhiwa

    Watu watatu wamejeruhiwa kwa kukatwa na mapanga na kikundi cha watoto wahalifu wenye umri chini ya miaka 18 katika Mtaa wa Msangalalee Magharibi, Kata ya Dodoma Makulu, jijini Dodoma. Vitendo hivyo vimetokea baada ya watu hao kukataa kutoa fedha walizoombwa na watoto hao. Matukio hayo...
  8. NSSF Kutekeleza Mradi wa Uwekezaji wa Jengo la Ofisi na Jengo la Kitega Uchumi Dodoma

    NSSF KUTEKELEZA MRADI WA UWEKEZAJI WA JENGO LA OFISI NA JENGO LA KITEGA UCHUMI DODOMA *Ni katika eneo la Njedengwa, kujenga hoteli ya nyota 5 *Mkuu wa Mkoa asema uwekezaji huo utachochea uchumi na utalii Na MWANDISHI WETU, Dodoma. Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), unatarajia kufanya...
  9. A

    DOKEZO Barabara ya Ntyuka Dodoma kutelekezwa, kodi za wananchi kutumika vibaya

    Hapa Dodoma mjini kuna ujenzi wa barabara ya Lami kutoka mjini kati kwenda Ntyuka [Dampo] kama kilometres 9, barabara ilifika hatua ya kumwaga changarawe, barabara imesimama toka mwezi wa tano [Mei 2024 ] wananchi wanapita kwenye barabara ya muda ambayo ni mbovu sana Serikali mpaka Leo...
  10. NI sehemu gani Dodoma kuna swimming pool za wakubwa?

    Wakuu. Nitakuwa Dodoma Kesho. Napenda kuogelea. Ni sehemu gani Dodoma kuna swimming pool za wakubwa?
  11. Uamuzi wa Serikali kuhamia Dodoma inaonekana ni kama mtihani mgumu kwa baadhi ya Idara na Taasisi

    Dodoma ni Makao Makuu ya Nchi kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, pamoja na hivyo kumekuwa na changamoto ya kutokuwepo kwa Viongozi waandamizi wa Serikali katika ofisi zao. Mwaka 2017, aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati John Magufuli, alitangaza rasmi kuhamia kwa...
  12. J

    Dodoma: Majibizano ya Risasi Kati ya Polisi na Mtuhumiwa yaua askari Polisi Wawili na Mtuhumiwa mwenyewe!

    Askari Polisi wawili wameuawa huko Mpwapwa baada ya kutokea majibizano ya Risasi Kati ya Polisi na Mtuhumiwa Mtuhumiwa huyo Athanasia Malenda naye ameuawa. --- Askari Polisi wawili wamefariki dunia wakati wakifanya majibizano ya risasi na Mtuhumiwa Atanasio Malenda (30) ambaye walienda...
  13. Askari wauawa Dodoma wakati wakienda kumkamata mtuhumiwa wa uhalifu.

    Wananchi wameamua kuwafikia Askari. Katika hali inayosikitisha na ya kuonesha imani imeisha kati kati ya wananchi na Askari. Kumetokea mauaji huko Dodoma. Tupate habari kamili.
  14. S

    Usafiri wa IT DODOMA kwenda Bukoba

    Wakuu habari ni sehemu gani dodoma nitapata usafiri wa IT zinazopita kutoka dar kuelekea bukoba..mtukula
  15. I

    Naombeni kazi Dodoma

    Habari za asubuhi wapendwa. Kijana mpambanaji miaka 28 nimekuja Dodoma kupambana ila hali imekuwa tete nimeshindwa kiukweli naomba kama kuna mwenye ramani ya kazi au kibarua dodoma naomba msaada. Angalau niweze kumudu gharama za kukaa hapa Dodoma. Nipo tayari kuwasaidia fundi au kufanya...
  16. Huenda Dodoma kuna kiwanda cha Toyota /Nissan V8 na hatujui

    Dodoma haipit dakika 5 hujapishana na chuma V8 inakata mitaa, FULL AC. Kiwanda Kipo sehemu gani hapa Dodoma? *Tumeshindwa kabisa kuweka vipaumbele?
  17. Dodoma hakukaliki, V8 zapishana highway

    1. V8 zinatembezwa mwanzo-mwisho (400-1000kms) ifikapo weekend kisha kurudi Dom J3 alfajiri. Hapo NI mbali na wanaosafiri na ndege, SGR kila weekend kwa gharama za mwajiri wao. 2. Hii si sawa kwa walipa Kodi. Maendeleo tutasikia kwa Wenzetu arabuni Destinations: Dar, Arusha, Iringa,Mbeya na...
  18. Gharama za Maisha Dodoma: Mabadiliko ya Haraka Yanavyowatesa Wakazi Baada ya Serikali Kuhamia, na Ujio wa Sgr

    Gharama za maisha katika Jiji la Dodoma zimekuwa changamoto kubwa kwa wakazi wa jiji hili, hasa baada ya kutangazwa kwa uhamisho wa serikali kuu kwenda hapa. Hali hii imepelekea mabadiliko makubwa katika uchumi wa jiji, ambapo wenyeji wa zamani wa Dodoma walijikuta wakifurahia faida za muda...
  19. LGE2024 Mwenyekiti wa CHADEMA Dodoma aliyekimbia na daftari wakati wa Uchaguzi aripoti Polisi

    Wakuu, Mnakumbuka yule Mwenyekiti wa CHADEMA mkoani Dodoma ambaye siku ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa alikimbia na daftari la wapiga kura akidai kuwa kuna hujuma zimefanyika? Inaonekana sasa "watu wa system wameanza ku-deal nae. ========================================================...
  20. Ikulu ya Dodoma imetelekezwa? Rais Samia anatumia ya Dar es salaam na Tunguu Zanzibar

    Ikulu ya Dodoma imetekekezwa? Rais Samia anatumia zaidi ya Dar es Salaam au Tunguu Zanzibar. Je huu ni uungwana?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…