Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,713
- 2,743
Katibu Mkuu Umoja wa wazazi Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Ndg. Ally Hapi amewasisitiza Vijana kutoka TK Movement kuwa imara na kuepukana na wale wote wenye nia mbaya na Nchi ya Tanzania hivyo amewasisitiza vijana kushiriki Uchaguzi Mkuu unaotegemea kufanyika hivi karibuni.