dna

  1. Kuhusu DNA kupitia Ustawi wa Jamii

    Haiwezekani!
  2. Je, Mwanamke Hubeba DNA za Wanaume Wote Aliowahi Kulala Nao? Mtazamo wangu ni huu

    Kuna kauli imekuwa ikisambaa sana mitandaoni siku hizi, kwamba mwanamke akishalala na mwanaume, hata kama hakupata mimba, basi hubaki na DNA yake mwilini. Wengine wanaenda mbali zaidi na kusema kuwa kama amekuwa na wanaume 5 au 10, basi anatembea na DNA zao wote, na huenda hata watoto atakaokuja...
  3. Bei ya DNA Tanzania yaongezeka kwa asilimia 112, siyo Laki tena ni 212,000

    Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko amesema Gharama za kufanya vipimo vya Vinasaba vya Binadamu “Human DNA” zimeongezeka kutoka Laki moja kwa sampuli moja hadi kufikia Laki mbili na kumi na mbili kwa sampuli moja kutokana na Gharama za mchakato wa vipimo hivyo. “Gharama kwa...
  4. M

    Hapa nchini kama kila wanandoa wakifanya Dna test 70% ya wanaume wanalea watoto ambao sio wa kwao.

    Nimeona Dw wanasema Zambia karibu 50% ya Dna test zinazofanyika wanakuta akina baba sio waliozalisha. Hapa Tanzania ni zaidi ya 70% kaa na akina mama au akina dada watakupa ukweli wa mambo. Hapa Bongoland hali ni mbaya zaidi kwa akina mama kupigwa nje kwa sababu mbalimbali.
  5. Faida kwa Tanzania kuwa na Benki ya DNA

    Benki ya DNA ni taasisi au mfumo unaokusanya, kuhifadhi, na kusimamia sampuli za DNA pamoja na taarifa zinazohusiana nayo kwa ajili ya matumizi ya baadaye katika utafiti, uchunguzi wa kisayansi, au madhumuni ya kitabibu na kisheria. 1. Maana kwa ufupi Ni kama “benki” ya kawaida, lakini badala...
  6. Tanzania yazindua teknolojia ya kipekee ya DNA

    Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA) imezindua teknolojia mpya ya kisasa inayotumia kipimo cha DNA kubaini magonjwa ya wanyama na binadamu, visumbufu vya mazao, na kutoa majibu ya kitaalamu kwa uchambuzi wa kiuchunguzi (Forensic Analysis). Akizungumza na wanahabari jijini...
  7. Age is not in our DNA

    AGE IS NOT IN OUR DNA 🧬 Aging is a mind control program. It is a lie that people die of old age because the "age" of our DNA in cells does not exist. Cells in the body are constantly renewed, even in the elderly. There are many errors in cell reproduction, but there is always a...
  8. Wazo kwa wataalamu na serikali: Kwanini kusiwe na taasisi ambayo inatunza kumbukumbu za familia, koo na DNA

    Ni wazo na mwenye kuona lina mlipa sawa. Wenzetu USA wana taasisi za kutunza kumbukumbu za koo mpaka familia huku zikiambatanishwa na DNA. Ulazimishwi ila utakapo taka kuweka taarifa zako kwa msaada maana wafungua zipu na vifuniko vya asali wameongezeka. Kuna ndugu,watoto wanaotaka kujia koo...
  9. R

    Mfungwa wa mauaji aachiwa huru baada ya kukaa jela miaka 38 kwa mauaji ya Diane Sindall 21 baada ya ushahidi wa DNA kuthibitisha kuwa hakuhusika

    Sio wote walio magereza wana hatia. Uingereza: Peter Sullivan alihukumiwa kwenda gerezani kwa kosa la kumuua mfanyakazi wa bar ( barmaid) Diane Sindall mnamo 1 August 1986. Ushahidi wa DNA umeneosha kuwa hakuhusika Peter Sullivan has murder conviction quashed after 38 years in jail Hearing...
  10. K

    PreGE2025 Ili kudhibiti uhalifu, uanzishwe mfumo wa National Recognition System wenye kutunza DNA na fingerprint za watu wote

    Kwako Rais wa JMT, Waziri wa mambo ya ndani, Baada ya kutafakari kwa kina kama mtanzania ni kitu gani kifanyike ili kudhibiti uhalifu katika maeneo mbalimbali, Nashauri serikali iunde chombo mahususi chini ya wizara ya mambo ya ndani kitakachokuwa kinatumia mfumo wa NATIONAL RECOGNITION SYSTEM...
  11. Kujua waliomshambulia Fr. Kitima, kapimeni DNA kwenye meza, viti, vijiko, chakula, na viywaji vinanyosemekana washambuliaji walikuwa wanatumia

    Dunia imefika mbali sana kwa sayansi na teknolojia hasa kwenye majeshi na njanja za matibabu. Kama inavyosemekana kuwa waliomshambulia Fr Kitima walikuja kama wateja na kuagiza vinjwaji na vyakula wakaenda kula wakati wakisoma target yao, baada ya kushambulia wakakimbia. Kama hawa watu...
  12. Wawakilishi wa Shirika la Afya duniani waingilie sakata la mama aliyeibiwa mtoto Hospital ya Mount Meru Arusha kwasababu vipimo vya DNA vimebatilishwa

    Wawakilishi wa Shirika la Afya duniani waingilie sakata la mama aliyeibiwa mtoto Hospital ya Mount Meru kwasababu vipimo vya DNA vimebatilishwa Ikumbwe mama aliyeibiwa mtoto alijifungua kwa Operation, anauguza vidonda kwa maumivu makali huku akihangaika kutafuta mtoto wake...
  13. H

    Kama kweli Mwafrika katokana na adamu na hawa kwanini DNA za Waafrika ni tofauti na za wazungu,wahindi,wachina,wakorea,nk??

    Habarini, Tafakarini juu ya hili kwa kumshirikisha MUNGU WA KWELI WA WATU na siyo mungu wa uongo wa warabu na wazungu. Iweje DNA za WAAFRIKA, wahindi,wachina,wazungu,waafrika ziwe tofauti kama kweli wote wametokana na adamu na hawa??
  14. DNA ya kienyeji

    South African traditional DNA test. This is a common practice by the Zulu people of South Africa. Also practiced in Zimbabwe and Lesotho. The cows approach cautiously and harmlessly to inspect and sniff the baby. If the baby remains calm through the process, it belongs to the family. But if it...
  15. DNA zetu za kiafrika

    Kama ulikua hujui kuwa unaweza kumjua mtoto ni wako au sio wako bila kupima DNA wacha nikufahamishe;- Watu wengi huamini kuwa njia ya kicheki DNA pekee, Ndio inayo tambulisha kuwa mtoto sio wako, Jambo ambalo kiuhalisia sio kweli kabisa, Sasa leo wacha nikujulishe njia nyengine mbili...
  16. Haya kwa wale wanaume ambao mnataka kujua kama watoto mlionao ni wenu au mmebambikiwa kuleni chuma hiki cha DNA ya bure na ya asili

    Leo wala sitaki kupoteza muda ni kwamba kama Wewe ni Mwanaume (Baba) unataka kujua Mtoto uliyenae ni Wako au siyo Wako fanya hivi tafadhali kwani hii ni DNA ya Asili na ya bure ambayo imetumika sana huko nyuma na Wazee wetu na bado Kwingineko Afrika inatumika. Haya kama Mtoto wako ana ule Umri...
  17. R

    Haya mapenzi ya Trump kwa Israel afanyiwe DNA test yawezekana ni myahudi, Maelfu ya mabomu ya MK-84 yaliyozuiliwa na Biden yamewasili Israel

    Wiki ya kwanza tu baada ya kurejea Ikulu, Rais wa Marekani Donald Trump aliharakisha usafirishaji wa shehena ya mabomu 1,800 aina ya MK-84, kila moja likiwa na uzito wa tani moja, mabomu hayo yamewasili rasmi Israel siku ya Jumamosi, tarehe 15 Februari 2025 kwenye bandari ya Israel. Uamuzi...
  18. W

    Kuna haja ya kuanzisha utamaduni mpya wa kuchukulia ni jambo la kawaida mwanamke kuzaa, kuwepo sherehe, pongezi na zawadi baada ya DNA TEST

    Ni utamaduni wa waafrika wengi kuwa strict sana kwenye kulea damu zao ndio maana huwa wanaumia sana wakigundua watoto ni wa nje. Mfano kwenye kabila letu (nisingependa kulitaja), naambiwa hapo zamani ilikuwa kaka akitembea na mke wa ndugu yake, haikuleta shida, cha muhimu kilikuwa damu iwe...
  19. Hakikisha hautoi hela yoyote ya matumizi bila kupima DNA kwanza .

    Wake za watu wanagawa Sana kiukweli, hivyo jitahidini kupima DNA la sivyo mtawalelea Wahuni mimba na watoto.
  20. Wanasayansi wameshindwa kuzichakata DNA katika hali ya kiroho

    DNA, VINASABA Kila mwanadamu amebeba taarifa za ukoo wake taarifa za vizazi na vizazi vya mababu zake, hizi DNA wanasayansi wamejitahidi kuzisoma na kuzichambua lakini wameshindwa kuzichakata katika hali ya kiroho zaidi. Kama katika familia yako au mzazi wako ni mganga ama mchawi basi tambua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…