Ndugu wadau, kunakijana kapata admmsiion mbilihadi sasa,, 1.BSC with Education--St Johns University-Dodoma na 2. Diploma in Nursing and Mildwife-Kibondo school of nusring
Huyu binti alimaliza CBG na division 3 ya EEC. Jamana kwa uzoefu na hali ya maisha ya sasa na kwa uzoefu wa kozi hizo...