Ukisikia wajinga wasiofikiri wala kutaka kuelimika wakijisifu unaona aibu.
Mfano, utasikia mtu mzima akisema kitabu fulani cha dini fulani kimejaa sayansi. Ukichunguza kwa malkini, unakuta ni utopolo na uzwazwa mtupu.
Mfano, vitabu vinasema eti kila nafsi itaonja mauti. Du! Hii nayo ni sayansi...