ANASHANGAA MHESHIMIWA LISSU KUSHAURIWA NA ASKOFU KWA KUWA HAMJUI ASKOFU ANAYEMSHAURI RAIS MAGUFULI!
Ukiongea na Askofu Mwamakula uwe makini sana kwa sababu anatunza kumbukumbu vizuri. Hebu fuatilia mazungumzo yake na mmoja wa viongozi wa dini siku kadhaa zilizopita.
Kiongozi wa Dini: Nimesikia...