dini

  1. T

    JamiiForums Tanzania Teuzi ziende hadi kwenye taasisi za dini

    Hatupigi hatua kama taifa kiutendaji kwa kuteuana kimzunguko wa sura,majina,makundi,uchawa nk Nafasi zingine twende kwa watumishi wa mashirika ya dini nao wateuliwe wakalisimamie taifa. Kuna watawa ni wataaluma wazuri tu katika fani mbalimbali,mbona wanawajibika mashuleni,mahospitalini,mifumo...
  2. DR SANTOS

    JamiiForums Tanzania Sadaka zimekuwa nyingi sana, dini imekuwa biashara

    Habari za wakati huu Wana jamvi, mama yetu yupo Egypt kwa majukumu yake ya kikazi, niende moja kwa moja kwenye mada. Ibada ni kitu muhimu Sana hasa kwa welfare ya kiroho, kwa sababu Vita ya kiroho ni Kubwa Sana Bora hata mtu akukimbize na panga unaweza ukajitetea kwa kukimbia au kupambana nae...
  3. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ukiwa Tanzania vijiweni Utasikia wazungu walituletea dini ili kutudanganya

    Ukiwa Tanzania vijiweni Utasikia wazungu walituletea dini ili kutudanganya😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌 Angalia haka katoto kakizungu. Kama hujaokoka hapa utaabika tu.
  4. isajorsergio

    JamiiForums Tanzania Nini kipo nyuma ya ukuaji na ongezeko la watu wasiokuwa na dini?

    Habari 👋🏾 Nimefanya tafiti katika vipindi, nyakati na maeneo tofauti na inaonekana wazi ushawishi wa dini unapungua kwa kasi kubwa sana. Inaonekana wengi kutokuwa na hakika katika dini mbalimbali na wengi wao bado wanajaribu kujionesha katika ngwe hiyo kwa sababu kadhaa ikiwemo kutokataliwa na...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna kipengele chochote cha Katiba au Sheria kinatoa tafsiri ya neno 'Dini' na 'Ibada'?

    Kwa utafiti niliofanya kuhusu Taifa kutokuwa na Dini au Taifa kutofata dini yeyote, maneno haya yanapatikana katika katiba iliopo ile ya kiswahili pekee. Bali sijaona maneno hayo ktk katiba ya kiingereza. Nilitatajia nikute katiba ya kiingereza ikitamka maneno haya; Our state has no official...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kuna la kujifunza kutoka kwa wadada wa kazi ( dini na maeneo wanayotoka iko nyuma kielelimu)

    Sina nia mbaya! Lakini kwa muktadha wa nadharia! Asilimia 40%-55% ya nyumba nyingi mijini zina dada wa kazi! Hivyo katika kila nyumba 100 maana yake kuna wadada wa kazi 55 majumbani! Hivyo katika makazi 10000 ya mji mmoja! Maana yake wapo wadada wa kazi takribani 55000 Hawaijui kesho yao...
  7. BAK

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Sisi viongozi wa dini tumesitisha safari ya kwenda Mbweni na kwenda kumuona IGP Sirro!

    BAADA YA WANAWAKE WA CHADEMA KUACHIWA, SISI VIONGOZI WA DINI TUMESITISHA SAFARI YA KWENDA MBWENI NA KWENDA KUMUONA IGP SIRRO! Jumapili tulitangaza kuwa kama siku ya Jumatatu Jeshi la Polisi lisingeliwaachia viongozi wa CHADEMA 7 na Waandishi wa Habari 2 waliokuwa wanashikiliwa katika Kituo cha...
  8. 0743919950

    JamiiForums Tanzania Dini na Imani za watu

    Imani kwa tafsiri ijulikanyo na wengi nikuwa na matumaini na mambo yatarajiwayo.Unapokua na tumaini na jambo ambalo hulijui kwamba jambo hilo lipo na linawezaje kubadii maisha yako tunasema wewe una imani.Watu wengi huzani imani ipo kwenye dini tu, lakini la hashz imani ipo katika nyanja...
  9. ngatungas

    JamiiForums Tanzania SoC01 Brainwashing kwenye Dini. Kushamiri kwa Madhehebu, Na muelekeo unaofaa kufatwa na Jamii kwa ustawi wa Afya ya akili.

    Utangulizi. Nadhani sisi sote ni wafuasi wa imani fulani maishani.Either iwe ya kidini ama ya kifikra zaidi(scientific). Na hizi Beliefs system ndizo sana sana zinatuongoza maishani mwetu juu ya kile kipi tunafanya kila siku. Mada. Kwa Africa Uislamu-uliletwa na waarabu kipindi cha ukoloni na...
  10. love life live life

    JamiiForums Tanzania Msingi mkuu wa dini ni hofu au imani?

    Ni swali ambalo nazani ni la mhimu kujiuliza kwa waamini wote
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mrema atoa wito kwa viongozi wa dini kuhamasisha waumini kuhusu chanjo

    WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi mstaafu, Dkt. Augustino Mrema, ameyataka madhehebu na viongozi wa dini nchini kuendelea kuwaelimisha waumini wao umuhimu wa kupata chanjo ya COVID-19 na kuchukua tahadhari za ugonjwa huo kama ambavyo wataalam wa afya wanashauri. Akizungumza jana wakati wa misa...
  12. comte

    JamiiForums Tanzania Kumbe viongozi wa dini wameamriwa kuwaombea wafalme na wenye mamlaka

    1 TIMOTHEO 2 Mafundisho kuhusu sala 1Kwanza kabisa, nawasihi muombe dua, msali na kumshukuru Mungu kwa ajili ya watu wote, 2kwa ajili ya wafalme na wote wenye mamlaka, ili tupate kuishi maisha ya utulivu na amani pamoja na uchaji wa Mungu na mwenendo mwema. 3Jambo hili ni jema na lampendeza...
  13. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Polisi msilete ubaguzi na uchonganishi, "Gaidi mfia dini" ndio nani?

    Nimesoma maelezo ya DCI kwenye taarifa iliyoandikwa kwenye ukurasa wa Mwananchi news kua Marehemu Hamza alikua "Gaidi mfia dini" , hivi ni kweli kabisa ofisi ya DCI imeshindwa kupima kabisa uzito wa kauli hii? Kwa maana hiyo wafia dini wote ni magaidi? Hamza alikua muumini wa dini ya kiislam...
  14. majangatz

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mwalimu wa Dini ya Kiislam (Madrasa), awe Mwanamke

    Assalam Alleykum. Ninahitaji mwalimu kwa ajili ya kufundisha dini ya Kiislam. Sehemu alipo mwanafunzi ni Luguruni, Morogoro Road. Mwalimu lazima awe mwanamke na mwanafunzi hajawahi kusoma Quran japo ana Idea na mambo ya Kiislam. Tafadhali kwa anayemjua mwalimu au mtu ambaye anaweza kufanya kazi...
  15. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Swali Fyatu: Wanaosali kwa Gwajima wako Dini Gani?

    Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara toka wakati wa Sakata la kijana yule kutoka Kolomije...na kabla yake like suala la ushenga...na yale "maufundi"... Sasa katika Sakata lililochukua sura ya kifamilia na Kikolezo cha Imani vinaniacha na maswali. Hivi Askofu Gwajima anatekelezaje lile Agizo Kuu...
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Serikali wekeni dini mbali na mambo yenu ya Kiserikali ili nyote muwe huru

    Wiki hii watu wametokwa na povu sana kutokana na matukio mbalimbali yalioashiria mwanzo wa kuanza kutomaswa tomaswa kwa dini zao ambazo zilikuwa zimepewa hadhi maalum ya kuwa zisizogusika au 'untouchables' kwa muda mrefu. Mzee wa Upako ni mmojawapo wa watu waliotokuwa na povu hilo hadi kufikia...
  17. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Kusajili dini ni kinyume cha Katiba ya nchi kifungu namba 19

    Serikali haina mamlaka ya kusajili dini ni kinyume cha katiba ya nchi kifungu cha 19 hiki hapa nanukuu 19.-(1) Kila mtu anastahili kuwa na uhuru wa mawazo, imani na uchaguzi katika mambo ya dini, pamoja na uhuru wa mtu kubadilisha dini au imani yake. (2) Bila ya...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Tusichanganye Dini na Siasa, ni hatari

    Hivi karibuni wafuasi wa CHADEMA wameanzisha utaratibu wa kwenda makanisani na sare za chama, Najiuliza Vipi CCM, ACT-Wazalendo, CUF au vyama vingine vikianza kwenda makanisani na sare za vyama vyao? Makanisani watu wataanza kukaa kwa itikadi za vyama na itaibuka mijadala makanisani...
  19. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania UKIMWI umeua Waafrika kuliko COVID-19; mbona haujalazimishwa kutumia kondomu, mbona viongozi wa dini wanapinga?

    Nahisi viongozi wetu wana usahaulifu au uelewa usiolingana na wananchi wa nchi hii. Viongozi wa dini wamepinga matumizi ya kondomu miaka yote, lakini hatujawahi sikia serikali ikiagiza wakamatwe. Dini zote kubwa hapa nchini, hawataki kuruhusu waumini wao kutumia kondomu. Kosa la Gwajima lina...
  20. marcoveratti

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa binti wa Kilokole wamenikataa hata baada ya kusema nitabadili dini na kuwa kama wao

    Nimempenda binti wa kilokole sanaa, mnooo na nataka kumuoa. Sujaomba hata busu nikaomba kwenda kwa wazazi wake ili nifuate taratibu zote na si uchochoroni. Cha ajabu wazazi wa binti wamekataa kisa mimi sio wa imani yao. Nikasema okay, mimi nakuja kuokoka na nitakuwa muumini wa kanisa lao bado...
Back
Top Bottom