My people,
Katika kipindi hiki muhimu cha kihistoria, napenda kutoa pongezi za dhati kwa Watanzania wote kwa kuonyesha umoja, mshikamano na uthabiti katika kukataa udini. Kwa mara nyingine, mmethibitisha kuwa tuna nguvu kubwa katika kuwa kitu kimoja, bila kujali dini, kabila au itikadi zetu...