Huyu alikuwa kijana mdogo aliye zaliwa mnamo mwaka c. 1887 huko Congo (DRC ya leo)sehemu inaitwa Bondela wakati huo palijulikana Kama Congo Free state na kufariki 15 August 1909 huko Busira,Bakanja alitangazwa mwenye heri tarehe 24 April 1994 na papa John Paul wa pili.
Bakanja alikubali imani...