dini

  1. Inevitable

    JamiiForums Tanzania Sheikh Bombo: Viongozi wa Dini tuingizwe kwenye payroll ya Serikali

    Sheikh Ibrahim Bombo kutoka Mkoani Mbeya amependekeza Serikali ianzishe utaratibu wa kulipa mishahara kwa Viongozi mbalimbali wa Dini kutokana na kazi nzuri wanayoifanya ya kulinda amani na kuhamasisha maendeleo Nchini Tanzania ambapo amependekeza kiwango chao cha chini cha mshahara kisipungue...
  2. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Waislam nao wamefikiwa na wasanii kwenye mahubiri

    Baada ya waislamu kuucheka,kuuponda ukristo hatimae nao wamefikiwa na wahuni Huyu kwetu sisi wakristo ni muhuni kama wahuni wengine tu Hana tofauti na kiboko ya wachawi. Nimemaliza
  3. M

    JamiiForums Tanzania Historia ya tawala za dini ya Kikristo zilizoanguka duniani

    Historia ya tawala za Kikristo zilizoanguka inajumuisha mabadiliko muhimu katika mifumo ya utawala na jamii ambapo tawala hizi zilikua na kuathiri mikoa mbalimbali. Hapa kuna baadhi ya tawala za Kikristo zilizoanguka: Dola la Roma la Magharibi (476 CE): Dola la Roma la Magharibi lilikuwa na...
  4. Mgosi Mbena

    JamiiForums Tanzania Mliopata utashi wa kufuata dini tofauti na za kurithishwa na wazazi wenu, mliwezaje?

    Hapa kazini nimekutana na binti Wa kisabato.Nimekua nae karibu sana na ananiheshimu sana kikazi lakin pia kimahusiano ya kawaida. Ni binti mwenye maadili ya hali ya juu, kutokana na mazoea nikaamua nimchimbe alikujaje kua msabato kwan nilijua amezaliwa kwene familia ya kisabato haswaa. Cha...
  5. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania Yanga ihusishe Dini mbalimbali kwenye Dua yao ya Ijumaa

    Ratiba ya wiki ya Mwananchi inaonesha kuwa siku ya ijumaa ni siku maalumu ya dua kwaajili ya timu yetu. Napendekeza kuwa kwakuwa wachezaji, wanachama na mashabiki wa Yanga ni watu wa imani mbalimbali, basi tukio hili liheshimu imani zao kwa kuwa na uwakilishi wa viongozi wa imani mbalimbali...
  6. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa kina kuhusiana na Serikali kufungia Makanisa yasiyokidhi viwango vya kutoa huduma za kiroho

    Tukianza na Kiboko ya Wachawi ufafanuzi wake ni kuwa Serikali haijakosea kufunga huduma bali mafundisho yake hayana staha Kosa lake kubwa ni kutumia mgongo wa Shetani kwa lengo la kujipatia fedha badala ya kufundisha habari za Mungu Kutumia mgongo wa Shetani kwa maana ya kuzungumzia machafu ya...
  7. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Watu wa nyimbo za dini mkuje mnisaidie jina la huu wimbo

    Nimetafuta kwa youtube shida zinakuja nyingi. Nimejalibu kuuimba hapo mnaweza nisaidia kupitia hiyo sauti hapo chini. Wimbo Bwana ndie mchungaji wangu mimi Sitapungukiwa na kitu katika maisha yangu Wandameza mbele yangu bwana machoni pa watesi wangu umenipaka mafuta bwana.
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mpira bongo ni kama imani za dini za manabii wa kisasa, hakuna kitu tofauti utawaambia watu wakakuelewa.

    Kwa jinsi mashabiki wa mpira hapa bongo walivyojitolea maisha, akili, hisia, muda na rasilimali zao katika mpira kwa hakika tunaweza kusema mpira ni zaidi ya dini. Watu wanalala na kuamka wakizungumza mpira, wanashinda wakizungumza mpira. Jana mchana kwenye East Africa radio kuna kundi la wana...
  9. sos_10

    JamiiForums Tanzania Kabla dini za kigeni kuletwa Afrika, wazee wetu waliabudu nini?

    Huwa najiuliza kabla Wakoloni kwa maana ya Wazungu na Waarabu kutuletea dini wakitumia wafanyabiashara, wamishenari na wapelelezi, (traders, missionaries and explorers), wazee wetu huku Afrika waliabudu katika dini gani? Je kwakuwa dini za kigeni hazikuwepo ina maana watu wote walioishi nyakati...
  10. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Magaidi wasihusishwe na Uislamu

    WAKATI vita ya Israel na Hamas inaendela, Waislamu wa HAMAS wakishajihishwa na Iran pamoja kundi la HEZBULAH lenye ufadhili wa Matajiri wanaoshinda CAsiino za Quatar ndio makundi yenye shughuli nyingi kwa sasa. Je Makundi haya ya uhusiano na waislamu au waislamu wanayakana haya makundi? JE...
  11. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Dini ina mchango gani katika maendeleo chanya au hasi ya nchi?

    Toa mifano kutoka katika moja ya nchi zifuatazo: 1. Iran 2. Vatican 3. Saudi Arabia 4. Marekani 5. Oman 6. Uingereza 7. Zanzibar 8. Tanganyika 9. Misri 10. Nigeria
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini dini zinazataka wanawake kuvaa vitambaa kufunika vichwa vyao?

    Katika maandiko ya dini zote tatu za Uisalamu, Ukristo na Uyahudi suala la wanawake kujifunika vichwa vyao linazungumziwa japo kwa msisitizo tofauti. Katika Ukristo mazingatio yake ni madogo sana mfano kwa masista wa Kikatoliki na kwa makanisa machache mfano kwa Kakobe, katika Uyahudi siku...
  13. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Aliyetoka kwenye mkesha wa Mwamposa Dar afia ndani

    Kwa Kisiri Sanawari katika wilaya ya Arumeru, mkoani Arusha, jioni hii ya 11/7/2024 umepatikana mwili wa mwanaume mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa zaidi ya miaka 40 akiwa amefariki ndani. Kwa mujibu wa taarifa ya mkewe imeeleza kwamba mume wake alikuwa anasumbuliwa na tumbo kwa muda mrefu na...
  14. Bob Manson

    JamiiForums Tanzania Ingekuwa vipi ulimwengu kama kusingekuwa na dini, dunia bila dhambi kipimo cha uovu nini?

    Ingekuwa vipi kama dini hazipo, ni wapi watu wangepata maarifa na taratibu za kuishi kwa hekima? Ni wapi tungepata sheria na kanuni za kutatua changamoto za kiroho? Naelewa bado dini zipo lakini maovu yanaendelea, je ingekuwaje kama dini hazikuwepo kabisa? Inamaana maovu yangezidi na hakuna wa...
  15. Equation x

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kuwa na dini ni upi?

    Wao watataka kukuaminisha vitu visivyothibitishwa kisayansi, na baada ya kuamini wewe unakuwa ni kitega uchumi chao; kuanzia kwenye kutoa michango mbali mbali, kama sadaka, ujenzi, fungu la kujimaliza n.k Huku wewe ukinufaika na vitu vidogo vidogo kama ibada ya siku ya mazishi, kutafsiriwa...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Bila hofu hakuna dini wala uchawi..

    Habari zenu wnanajamiii. Nimekuwa nikifikiri sana hivi kwanini dini zote zinatumia hofu kuhakisha uwepo wake? Yaani ni hivi watu wanao amini kuwa Mungu yupo hawafanyi hivyo kwasababu wanapenda au wamechaguwa kuamini hivyo. Wengi kama sio wote bila kujari dini zao wanaamini Mungu kwasababu...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Dini itoe mwelekeo sahihi Kkama dira

    1. Yapo mambo hutokea kwa maombi na mengine hutokea kwa kusaidiana halafu maombi yakafuata. Viongozi wengi wa dini hujua la kuombea na la kuchangia ila huchagua kuombea tu hata vinavyohitaji kuchangia. 2. Kadri dini zinavyofundisha kumpenda Mungu, zifundishe pia wanadamu kupendana. 3. Kwa...
  18. kavulata

    JamiiForums Tanzania Dini zetu ni sehemu ya shida zetu za kiuchumi tulizonazo Afrika.

    Dini zetu hizi mbili zilikuja na wakoloni (watesi) wetu. Viongozi wa dini waliishi nyumba na mtaa mmoja na wakoloni (watesi) wetu, walisali pamoja, walikula na kunywa pamoja na wakoloni. Waliwabariki kwenye kazi zao za utesi na uporaji wa rasilimali zetu, kuwaombea mema na afya tele na kubatiza...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Dini aliyetuhumiwa kuhusika mauaji ya Shakahola, asiruhusiwe kupanda mbegu mbaya katika Nchi yetu.

    Salaam,Shalom!! Yalitokea mauwaji Nchi Jirani ya Kenya,na waliripotiwa kufa watu wengi sana, Damu ya watu isiyo na hatia ilimwagika. Kiongozi mmoja wapo aliyekuwa na ushirika na Pastor Mc Kenzie, anatamani sana Nchi yetu, kwake Tanzania ni shamba lenye mavuno mengi. Yalipotokea maporomoko...
  20. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Dini na maadili, kisima kimekauka

    DINI na MAADILI: Kisima Kimekauka. Idara ya Falsafa na Maadili ya Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT) kwa ushirikiano na Chuo cha Kanda cha Theologia na Biblia cha Kilutheri Nyakato - Mwanza, wameendesha kongamano kubwa. Walinialika kama “Mropokaji” rasmi wa kongamano hilo lililohusu...
Back
Top Bottom