dini

  1. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Yanga ingekuwa na dini yakee hata wach tungepiga hela sana

    Mungu fundi kweli Wacha tuendekee kuishabikia tu Nawaza haka katimu kanavyotrsa watu hivi Laiti inggekua na dini yake nahisi wach wangepiga hela sana Wacha kabaki hivihici
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Makonda kuwa mtu wa dini zote na madhehebu yote asivimbe kichwa.

    Huyu bwana inaonekana kuweza kujenga ushawishi kwa viongozi wa dini zote hapa nchini, kukubalika katika dini zote na kupewa heshima ya kipekee na dini zote hapa nchini sasa kumempa kiburi. Hadhi aliyoipata kanisa Katoliki asiichukulie poa/"for granted". Wakatoliki huwa hawapendi mtu awe mkubwa...
  3. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Je wajua mwanamke hana dini??

    Kama huamini subiri aoleweeew kamammkristo utajua anapoelekea Kama msilamu utajua anapoelewa
  4. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Hatari ya maneno ya Makonda: Asiombe Viongozi wa Dini wafanye maamuzi!

    Changamoto kubwa inayokikumba Chama cha Mapinduzi kwa sasa ni kuwa na Viongozi wenye akili na upeo duni, Wasioweza kuchakata tension iliyopo kwenye jamii na kujua waseme nini na kwa wakati gani? Suala hili limekuwa likiongeza sana hasira za wananchi dhidi yao. Nawapongeza wenye busara wachache...
  5. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Makonda: Jakobo alipochinjwa, Kanisa liliomba, halikutoa tamko au waraka.

  6. Red shadow

    JamiiForums Tanzania Kichaa cha dini hakina tiba kipo kama kichaa cha mbwa

    Mtu akishapata kuchaa cha dini ndio basi tena. Dawa yake karne hii haipo. China wananyonga lakini wapi Kifupi hiki kichaa IKITOKA IMEENDAA
  7. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Dini ya Druze

    Habari wakuu mwenye ufahamu juu ya hii Dini ya Druze inayopatikana huko Mashariki ya kati naomba mwenye kuwafahamu hatufahamishe Ahsante
  8. S

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Serikali itatumia viongozi wa dini kutaka kuzuia maandamano

    Baada ya CHADEMA kupitia Mwenyekiti wao, Freeman Mbowe kutangaza maandamano, wazo lilionijia ni CCM kutafu mbinu ya kuzuia haya maandamano yasifanyike na mojawapo ni kuwatumia viongozi wa dini. Alichofanya leo Padri Kitine ni hatua tu ya awali ila mipango itakuwa teyari imeandaliwa au...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kuwakumbusha viongozi wa Dini.

    Jana nilitoa wito wa kuzitumia siku tatu za ibada za wiki(Ijumaa, Jumamosi na Jumapili) kwa ajili ya kukemea matendo maovu yanayofanywa Nchini na hasa mauaji ya watu. Kipindi kile cha mahubiri/hutba kitumike kufanya kazi hiyo. Kesho ni siku ya Ijumaa ambapo wenzetu waislamu ndo siku ya Ibada...
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Dini ipo ndani ya moyo wako. Dini ni upendo. Dini ni uwazi. Dini sio haya mashirika mnayoenda kuyafaidisha na kutimiza itikadi zao.

    Mmekuwa manipulated kwa enzi na enzi kumuunganisha Mungu na dini. Mmekuwa brainwashed kuona njia ya kumifikia Mungu ni dini. Mungu sio dini, Dini sio Mungu. Dini hizi ambazo viongozi wenu wanalindwa na mabaunsa huku wakiwahamasisha msiwe na hofu Mungu yuko na nyie. Dini hizi ambazo viongozi...
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nina uhakika kila mmoja wetu hapa akiihoji na kuichunguza dini yake kwa kutumia akili yake binafsi mtambuka hakuna ataebaki kuwa mhanga wa doctrines

    Sisi ni nani, Kwanini tuwe sisi, Kwanini tuwe kama wao. Hivi kiundani ushajiuliza imekukuaje umekuwa wa dini hio? Kwa nini uamini kirahisi rahisi juu ya stori zao ambazo muda mwingine akili yako inazipa red flags (alerts) kwa maana ni somewhat controversial? Unaweza kuta kweli njia...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Historia ya kitabu cha kutoka/exodus movement of Jah people cha dini ya rastafari

    "Exodus" ni dhana muhimu sana katika dini ya Rastafari, na pia inahusiana sana na muziki wa reggae, hasa kupitia wimbo maarufu wa Bob Marley, "Exodus" uliotolewa mwaka 1977. Ingawa wimbo huo wa Marley unahusu zaidi harakati za kisiasa na kiroho za watu wa Kiafrika, dhana ya "Exodus" inarudi...
  13. I

    JamiiForums Tanzania HISTORIA YA DINI YA KIRASTAFARI

    Dini ya Rastafari ni harakati ya kiroho na kitamaduni iliyoanza nchini Jamaica katika miaka ya 1930. Harakati hii iliibuka kutokana na mafundisho ya Marcus Garvey, kiongozi wa harakati za Waafrika na mtu aliyesisitiza juu ya fahari ya utambulisho wa Kiafrika na kurudi Afrika kwa watu wenye asili...
  14. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Dini mpya inaingia ulimwenguni

    Tulikuwa na dili za asili kila pahala ulimwenguni.. Kwenye baadhi ya maeneo mpaka leo zipo na zinaheshimika sana! Dini hizi ni dini zenye imani juu ya miungu.. Zisizoamini katika Mungu mmoja Binadamu huwa ni mwepesi kuchoshwa na kitu kilekile kwa wakati wote. Zikaingia dini zenye kuamini...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini nyingine mpo wapi kukemea maovu yanayoendelea?

    Kumekuwa na Mambo mengi ya ovyo hapa Nchini. Viongozi wengi wa Dini wamejitokeza hadharani kukemea maovu hayo, lakini kuna viongozi wa Dini nyingine wapo kimya kana kwamba hawayaoni yanayoendelea. Naomba hawa viongozi wa Dini nyingine waliokaa kimya watuambie, wapo upande gani? Je, wanahusika...
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini vitabu vya dini vilikataza baadhi ya wanyama kuliwa?

    Kwa Wakristo katika agano la kale ambalo bado linazingatiwa kwa kiasi kikubwa na Wasabato kuna wanyama walikataza kuliwa maarufu zaidi akiwa nguruwe/kitimoto wengine ni kama Sungura na ngamia. Samaki Kambale nao walikatazwa. Kwa Waislamu wao najua nguruwe/kitimoto ndiye mnyama maarufu zaidi...
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Serikali isiishie kwa Kiboko ya Wachawi, kuna matapeli wengi sana kwenye uwanja wa dini Tanzania

    Zipo ishara nyingi za kumjua mtumishi tapeli. Leo nitaitoa ishara moja tu. 1.Kupenda pesa kuliko Mungu anayemhubiri. Mtumishi tapeli ni mtu anayepanda sana pesa kuliko kitu chochote. Utajuaje kuwa mtumishi huyu anapenda sana pesa? Jibu: Accounts zote za benki zinasoma jina lake, accounts za...
  18. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Katika nchi zinazopenda dini duniani, Tanzania ipo nafasi ya tano

    Utafiti ulifanyika,watu wakaulizwa kama dini ni ya maana katika maisha yao; Ya kwanza ni 1. Indonesia. 2. Senegal 3. Pakistan 4. Mali 5. Tanzania. Waliofanya utafiti wanaitwa Pew Research Center
  19. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Habari Ndiyo Hii; Hata Viongozi wa Dini Hampo Salama.

    Amani kwako mdau. Viongozi wa madhehebu mmekaa kimya kama waumini/ kondoo wa mazizi yenu wamekamilika. Hali siyo nzuri, mnapaswa kupiga mwangwi kupitia madhabau, hii hali ya utekaji inayoota mizizi nchini kisa tu mwananchi anaongea/ kuandika kuhusu serikali. Mtume Issa bin Mariam, Yesu Kristo...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Fahamu Sifa kuu za Muislamu ni pamoja na kujizuia, uvumilivu, kusamehe, huruma na hawana woga wa kusema ukweli tuifate dini ya mwenyezi Mungu

    Wadau hamjamboni nyote? Hizo ndizo sifa kuu za Muislamu Uslamu ndiyo dini ya haki duniani kote Ni wenye akili. Daima wapo makini, kwa sababu wana ufahamu wa ibada zao. Daima huwahudumia waumini na dini kwa kutumia akili. (al-Mumin, 40/54; az-Zumar, 39/18) Ni wenye kupambana kiakili kwa nguvu...
Back
Top Bottom