Tajiri wa matajiri
Senior Member
- Apr 17, 2024
- 166
- 641
Nashangazwa sana hawa watu ambao kutwa kumsema askofu shoo kwa maneno yake ya kumsifu Rais samia lakini watu jamii nyingi ya Watanzania ni mandumilakuwili tu leo hii akitokea askofu akimpiga spana Rais samia watu wale wale waliokuwa wanamsema askofu watageuka kumsifia askofu shoo! Hii nchi ina watu wa ajabu sana aisee
Watu wengi wakaenda mbali na kulisifu kanisa katoliki kwa msimamo wake kumbe hamna kitu aisee unakumbuka askofu kilaini alisemaga Kikwete ni chaguo la mungu? Askofu kilaini si katoliki? Askofu pengo aligeuka chawa awamu ya magufuli si mnakumbuka? Askofu ruwaichi ameshawahi kutibiwa kwa bill ya serikali enzi za magufuli je wale maaskofu waliochota fedha za escrow?