dini

  1. R

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Viongozi wa dini msichoke kukemea haya ya uchaguzi, semeni kwa sauti kubwa mpaka Mkuu wa nchi asikie

    Msichoke, kila hatua ikemeeni kama haitendi haki. sasa kampeni , wapinzani wanaonewa sana, serikali , polisi for that matter, imeonesha ushenzi mkubwa. Wakemeeni na kumtanguliza mungu wa Mbinguni awaadhibu weye dhambi ya madaraka
  2. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie watu ambao kutwa kubishania dini mnapata faida gani? Only fool and poor men can do that

    Nimeamini kumbe wajinga ni wengi sana aisee na wala hauwezi kuona watu wanaojielewa wapo thread za kubishania dini na huu ndiyo mtaji mkubwa wa wanasiasa uchwara kwa sababu watu wanaojielewa wapo bize na constructive topic na sio hizi mada za kujimbwafai kwamba dini fulani ni mbaya na dini...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Wapo wapi viongozi wakuu wa dini kwenye tukio lakuanguka kwa jengo la Kariakoo? Unaridhika na response yao?

    Majanga ni yetu sote na wanaopatwa na majanga siyo watu wa dini flani au kabila flani. Ni kariba zote z viumbe hai. Natamani kuwakumbusha viongozi wa dini kwamba disaster management and control ni kazi yao ya msingi kabisa. Wanapobaini uwepo wa mifumo inayochagiza majanga wanapaswa kupiga...
  4. N

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Padri Kitima ashukia serikali kwa kuengua wagombea kwenye Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa. Asema uonevu ulianza rasmi mwaka 2016!

    Katibu Mkuu wa TEC Padri ametoa rai kwa mamlaka za juu kuacha kuigilia mamlaka za chini hususani katika mchakato wa kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa na Vijiji. Amesema katika Chaguzi za hivi karibuni kumeibuka mtindo wa kuwanyima haki baadhi ya wagombea hasa wa upinzani kutokana na...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Harmonize abadili dini na kuwa Mkristo? akutana na Pastor Tony Kapola nakufanyiwa maombi

    Wakuu, Rajab Abdul Kahali maarufu Harmonize amepanda Madhabahuni na kupigwa maombi na Pastor Tony Kapola === Harmonize afanyiwa maombi na Pastor Tony Kapola sikuche baada kuonyesha kuvutiwa na mtazamo wa mtumishi huyo wa Mungu na kuandika, "Nataka nione kile ambacho Mungu ataniambia!!"...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu kujidai haamini uwepo wa Mungu, halafu hapo hapo anaamini dini flani, hii inaitwaje?

    Jamaa mmoja hivi anapinga sana uwepo wa Mungu, Mishipa inamsimama kudai Mungu hayupo, na anatoa hoja za kifedhuli kweli kweli, Sasa leo ushahidi wa mazingira umeonesha kwamba jamaa ni mkiristo tena ana hasira Kweli kweli kutajwa vibaya wakristo,huyu tumuweke kundi gani?
  7. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila, kuchanganya dini na siasa haikubaliki, ni kufilisika kisiasa

    Nimeona kwenye vyombo vya habari na kwenye mitandao, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam akiwasema waislamu wanao mkosoa HMh Rais, kuwa kwa uislamu wao wasifanye hivyo. Hapo naingia wasi wasi mkubwa kwa kiongozi wa juu kiserikali na kichama.
  8. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kwa wafuasi wa dini nyemelezi za kigeni tu

    Utafiti na uzoefu wangu umenionyesha kuwa watawala wetu wawe wa kisiasa au kiroho huwa wanajitambua kwa asili zao kwanza na dini baadae. Mfano, Mwarabu ni mwarabu kwanza uislam unafuatilia. Mzungu ni mzungu kwanza dini inafuatia hata wakati mwingine haipo kabisa. Kwa waswahili waliotawaliwa...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Watu wa dini; hivi mpira wa miguu umetajwa kwenye vitabu? Mbona Kila binadamu anazaliwa anaupenda na kuujua?

    Yaani inaonekana upo kabisa kwenye DNA ya binadamu hata mtoto akizaliwa Leo ana ABCs za mpira, inashangaza! Yaani huu mchezo unakuja automatically kama kujamiiana (uzazi). Hakuna anayefundishwa. Juzi nimewakuta masheikh wanabishana na kuchekana msikitini kutokana na ile mechi ya Azam na Yanga.
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Slaa amvaa mazima Askofu Shoo amwambia "Kuwa na misimamo"

  11. Nyarupala

    JamiiForums Tanzania Chama kimeanzisha dini?

    Sasa hii itakuwa dini gani katika hizi nne nazozijua mimi?
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini TEC ipo kimya wasanii wa bongo flavour kuhusisha maudhui ya dini katika nyimbo zao?

    Nimekuwa nikikutana na miziki ya bongo flavour yenye maudhui ya dini ya Kikristo, kuna nyimbo ya Zuchu wanaonekana masista wa Katoliki na kanisa katika video, Kuna nyimbo ya Mbinguni ya Chino nimeona maudhui mengi ya Kikristo pia, Kwa nini TEC imekaa kimya kuhusu haya masuala au haina shida na...
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini TEC ipo kimya wasanii wa bongo flavour kuhusisha maudhui ya dini katika nyimbo zao?

    Nimekuwa nikikutana na miziki ya bongo flavour yenye maudhui ya dini ya Kikristo, kuna nyimbo ya Zuchu wanaonekana masista wa Katoliki na kanisa katika video, Kuna nyimbo ya Mbinguni ya Chino nimeona maudhui mengi ya Kikristo pia, Kwa nini TEC imekaa kimya kuhusu haya masuala au haina shida na...
  14. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Shetani atakapochapisha Kitabu chake, utapeli wa dini utakoma, kila lawama kwake, yeye kimya tu!

    Vitabu vya dini kubwa zote vinamtaja shetani. Na kumsema mabaya yake. Cha ajabu shetani yeye amekaa kimya tu. Nimeota muda si mrefu shetani na yeye anashusha kitabu chake mapangoni.. kama waislamu wanavyodai Quran ilivyoshushwa ama kama Musa alivyopewa amri kumi pale mlima sinai. Kitabu...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Viongozi wengi wa dini wapo kimaslahi na wala msisemee askofu shoo kwa maneno yake

    Nashangazwa sana hawa watu ambao kutwa kumsema askofu shoo kwa maneno yake ya kumsifu Rais samia lakini watu jamii nyingi ya Watanzania ni mandumilakuwili tu leo hii akitokea askofu akimpiga spana Rais samia watu wale wale waliokuwa wanamsema askofu watageuka kumsifia askofu shoo! Hii nchi ina...
  16. Damaso

    JamiiForums Tanzania Waimbaji wa Nyimbo za Dini za Zamani Walikuwa na Ujumbe Zaidi Kuliko Sasa

    Muziki wa injili umekuwa sehemu muhimu ya utamaduni wa Tanzania kwa miongo kadhaa. Hata hivyo, wengi wamekuwa wakilinganisha nyimbo za injili za zamani na za sasa, huku wakidai kuwa nyimbo za zamani zilikuwa na ujumbe wenye nguvu zaidi na wa kina kuliko hizi za sasa. Je, madai haya yana...
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini mkojo ulifanywa najisi na dini za zamani za Mashariki ya kati?

    Kwanini vitabu vya dini za zamani viliamua mkojo na hedhi kuwa vitu najisi? Mkojo una tofauti gani na jasho? Kwa nini mkojo ni najisi wakati jasho sio najisi? Kuna tatizo gani mwanamke akienda katika ibada katika siku zake kama amevaa pedi ?
  18. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Waarabu na wazungu waliondoa dini zetu za asili ili tuabudu Nyota/Mwezi na Sanamu za bikra maria

    Nimeona hii picha imenisikitisha
  19. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Ni ipi dini ya kweli kama huku wanafungamana na huyu mungu wa wafu na mlinda makaburi

    Nb: Zingatia neno "mungu" nimeandika kwa herufi ndogo hivyo haimaanishi Mungu. Ndugu zangu hapa tutaona anubis akiwa na kiongozi mkuu wa dhehebu fulani la dini pamoja na anubis wengine kuvalia mrengo wa upande wa pili. a)Maana ya anubis. Anubis, ancient Egyptian god of funerary practices and...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Israel kushambulia Iran siku ya sabato hivi Israel ya sasa inafuata misingi ya dini ya kiyahudi?

    Dini ya kiyahudi inakataza kufanya kazi siku ya sabato, lakini Zayuni akaamua kabisa siku hiyo ndo akashambulie Irani. Maana yake maofisa wake walifanya kazi siku hiyo ambayo ni kinyume na dini ya kiyahudi. Cha ajabu operation hiyo wakaiita jina la "Days of Repentance", maana yake ni siku za...
Back
Top Bottom