dini

  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kumbe Saudi Arabia ni kinyume cha sheria kushuhudia Ukristo/Injili ili kuwabadilisha watu dini!

  2. Elly official

    JamiiForums Tanzania Dini za Kigeni, Utumwa wa Kifikra, na Uhalisia wa Dini za Asili Afrika

    Makala: Dini za Kigeni, Utumwa wa Kifikra, na Uhalisia wa Dini za Asili Afrika Mwandishi: Elly Maduhu Nkonya Utangulizi Historia ya Afrika haiwezi kueleweka kwa undani bila kutazama nafasi ya dini katika harakati za ukoloni, biashara ya utumwa, na mabadiliko ya kijamii. Katika karne ya 15...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ukristo ni dini ya Uhuru na amani, utani na mizaha haina shida, nawashangaa wakristo wanaolalamika alichofanya Mwijaku

    Ukristo ni dini ambayo imeshazoeleka kutaniwa na kufanyiwa mizaha ila ni ngumu kusikia kelele wakilalamika, nashangaa wakristo wa hapa bongo wakilalamika utani wa Mwijaku Imeshazoeleka kushoot video za bongo flava makanisani, watu kucheza amapiano na bolingo kwenye gospel, mabinti kuingia...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Enyi wakiristo mnazo sheria za ndoa, talaka na mirathi kwenye dini na Biblia yenu kama ilivyo kwenye dini ya haki ya Uislamu?

    Wadau hamjamboni nyote? Tutazidi kupeana ilimu Ili tukae sawa Hakuna shaka kwenye Uislamu mambo husika yametajwa kwenye sheria na Kanuni zake na yapo wazi kabisa chanzo kikiwa ni kurani Ndugu zetu wakiristo hebu tuwekeeni sheria zenu na mtaje wapi mnazinuu Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
  5. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Chionda: Giniazi la historia anayeamini dini ni utapeli

    https://youtu.be/UIimWL8wEs8?si=tSuKOhQd5nvwbyc5 Nimemsikiliza dakika zote. Huyu msela ameshiba historia kwa kiwango cha kushangaza sana. Kama huwa unajiuliza giniaz ni mtu wa namna gani,basi jifunze hapa. Huu ni mfano halisi wa giniazi. Anaeleza historia kama vile alikuwepo. Hata kama ni...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Father Kitima Uko wapi Chadema inaangamia, viongozi wa dini mtatupeleka shimoni msipokuwa makini

    Father Kitima na askofu Bagonza, mmekuwa waasi dhidi ya serikali, mkionyesha dhahiri mapenzi yenu kwa Chadema, hata kudiriki kufanya vikao vya usuluhishi baina ya Mbowe vs Lissu. Hivi kweli chama mnachotaka kishike dola ndio hiki kweli? Iko wapi demokrasia wanayohubiri hawa CHADEMA?
  7. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Kama kweli kuna peponi, hawa watu weupe wanavyotuchukia wangeleta kweli kitu kinaitwa dini ili twende nao huko peponi?

    Dini zipo nyingi sio uislamu na ukristo tuu kabla ya watu weupe kuja africa tulikua tunaabudu mungu kupitia dini gani?? Mungu si yupo tuu kabla hata ya hizi dini za watu weupe kuja? Hizi dini mpya za kikoloni ni utapeli (mungu yupo) ila tafuta namna ya kumuomba kama mababu zako walivyofanya...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Bara la Afrika linahitaji sheria,katiba na Dini zao kulingana na ASILI ZAO

    Ni wazi waAFRIKA wamekuwa WAJINGA kiasi cha kurithi na kukumbatia SHERIA,DINI na KATIBA kutoka kwa wakoloni na wameshindwa kabisaa kujua vyote hivi vilikuwa kwa masilahi ya wakoloni? Wamekumbatia kesi za wazungu ktk maamuzi,wamekumbatia majina ya wakoloni,wamekumbatia katiba walizoacha...
  9. Knock life

    JamiiForums Tanzania Watu wanaobishana kuhusu ,dini, mpira , mapenzi ndo watu wenye IQ ndogo

    Watu wanaobishana kuhusu ,dini, mpira , mapenzi ndo watu wenye IQ ndogo
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mungu anahusikaje na watu kuwa masikini au matajiri kama invyosemwa kwenye dini?

    Kuna ukweli gani kwamba Mungu ndiye huwafanya baadhi ya watu kuwa matajiri mamilionea, mabilionea hadi matrilionea huku akiwafanya wengine kuwa masikini mafukara wa kutupwa, omba omba na homeless?! Wengine wanasema sijui hizo ndio kudra/kadara za Mnyazi Mungu, wengine wanasema sijui ndio baraka...
  11. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Bunge, Mahakama, utawala, dini, na wenye fedha wanapoungana jua tumekwisha

    Siku hizi, kila jaji, mbunge, mtawala, viongozi wa dini, na matajiri wanaimba wimbo mmoja wa mama anaupiga mwingi. Sijui mwingi upi na vipi na kwa vipi. Je muungano huu utaiokoa au kuizamisha Tanzania? Hapa bado hatujagusia kuisha kwa ulalamishi wa Visiwani juu ya muungano. Je nini kifanyike...
  12. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Ndugu Zangu Wenye Imani za Kikristo na Kiislamu, Mlijengaje Imani Zenu? Mimi hata Upagani Umenishinda; Nifanyeje Kumuona Mungu Mnayemuona?

    Dini zote zinaegemea juu ya udhaifu wa binadamu wa kufikiria na kukubali hali ya kutokuwepo baada ya kifo. Lakini ni nini hasa kinachotufanya tusikubali wazo la kutoweka bila alama yoyote? Je, ni woga wa kutokuwa na maana, au ni hitaji la kufarijika kwamba kuna mwendelezo wa safari hii baada ya...
  13. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kumpoteza mwenza kwa sababu ya utofauti wa kidini?

    Kuna muda unaanzisha mahusiano na mtu unaamini huyu ni wa ndoto kabisa ila linapokuja swala la dini unaishiwa nguvu kabisa. Nilikutana na mtu mmoja alisema yeye hawezi kuolewa na mtu wa dini tofauti kwa sababu familia yake haitomruhusu na isitoshe baba yake amefariki hivyo hawezi kusaliti kiapo...
  14. MWANAHARAMU

    JamiiForums Tanzania Inahitajika uwe na moyo mgumu kupinga Mila, tamaduni, dini za jamii yako achilia mbali kusema hadharani na vyombo vya habari

    Pongezi na pole ziende kwa Wachokonozi na huyu mwamba mpya anaitwa Chihonda. Hawa jamaa uwezo wao wa kuchallenge foundation za jamii kuhusu Imani na tamaduni zake inastaajabisha. Tena wanasema na kuongea hadharani.............
  15. H

    JamiiForums Tanzania Dini na wanasiasa ni mapacha wanaoshirikiana kuwanyonya na kuwaamgamiza WAAFRIKA

    Huwezi ukatenganisha wanasiasa, na dini kwani hawa ndiyo vibaraka wa ukoloni mamboleo na wanyonyaji wakubwa kupitia zaka na kodi za Waafrika. Makanisa na misikiti hawalipi kodi, serikali inawaacha tu ili wachungaji na masheikh waje kuwasaidia kuwahubiria Waafrika yaliyomo kwenye vitabu vya dini...
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wanaume waislamu wanafaidi sana maisha, wanajipakulia minyama tu kwa uhuru wote.

    Wagalatia hili suala la mke mmoja tu inabidi liangaliwe tena
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Waafrika wanazidi kuerevuka kuhusiana na dini zilizoletwa na majahazi?

  18. H

    JamiiForums Tanzania Wanaoua Asili ya Mwafrika ni wasomi na wafia dini za kuja wa kiafrika!!

    Habarini, Wasomi na wafia dini za kuja wa kiafrika ni watu wanaotumia nafasi zao kuharibu ASILI YA MWAFRIKA kwa kukumbatia na kuamini kilichoandikwa kwenye biblia na quruan pasipo kutafakari na kupembua kama vilivyoandikwa ndani ni kweli uongo ktk vitabu walivyoletewa na kulisha ujinga uliomo...
  19. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu Mkoani Tanga waswali Swala ya Eid el Fitr

    Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu wanaofuata mwezi mwandamo wa kimataifa, leo Jumapili Machi 30, 2025, wameswali Swala ya Eid el Fitr, baada ya kuhitimisha siku 29 za mfungo wa Ramadhan. Pichani baadhi ya waumini hao wakiwa katika Uwanja wa Ramole jijini Tanga wakihudhuria swala hiyo leo...
  20. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mdau anahoji "kwanini Vitabu vya dini vimetafsiriwa kila lugha, lakini sio vitabu vya maarifa ya dunia"

    Mdau ahoji imekuwaje watu wamefanikiwa kutafsiri vitabu vya dini kuja kwenye lugha mbalimbali hili kila mtu allowe, lakini vitabu vya maarifa ya dunia kama Vya kijeshi, kiuchumi, kimatibabu, kisayansi na viinginevyo vyenye kumsaidia mwanadamu kuishi na mazingira havijatafsiriwa, yani vimebaki...
Back
Top Bottom