Kila mtu anajua kuwa viongozi wa dini ni watanzania na bado ni wapiga kura, kwahiyo ni haki yao kuhamasisha uchaguzi wa haki.
Kila mmoja anajua upinzani ni chama halali cha siasa Tanzania kilichosajiliwa kihalali hivyo kuhamasisha haki na mabadiliko ya uchaguzi ni haki yao hiyo sio suala la...
Nimeona thread nyingi za wanazuoni wa Ki-Islamu wiki hii kuliko wakati mwingine mwezi uliopita. Hii inafuatia kupigwa na kujeruhiwa kwa Pd. Kitima ambaye ni Katibu wa TEC.
Nimewahi kuona pia siku zilizopita Wakristo wakifanya jambo mathalani TEC kutoa waraka kwa waumini wake ndio rejea za dini...
Udini mbele za Mungu ni ujinga na upumbavu mkubwa, Mungu anatazama dhambi na sio dini, hakuna dini inayostahili Mbinguni bali wema ndiyo watakao ingia
Kumekuwa na idadi kubwa ya wajinga wanaopotosha dunia kuwa dini fulani ndiyo inayostahili mbele za Mungu na hata kusababisha dunia kuingia...
Nadhani waliosema dini isichanganywe na siasa hawakuwa wajinga.
Sio busara Wala haileti Afya Kwa viongozi wa Dini Kugeuka Wanasiasa Kwa kutumia majukwaa ya dini na kukificha kwenye dini.
Hawa viongozi wa Sasa wako wazi wazi wanaegemea Vyama na watu wao ,tukiendelea hivi ni hatari.
Niite wito...
Mimi nijuavyo vyombo vya dola kama polisi, jeshi, na idara za usalama vinapaswa kuwa huru na kutenda kazi kwa misingi ya sheria bila upendeleo. Kujihusisha na siasa kunaweza kusababisha ubaguzi na matumizi mabaya ya madaraka dhidi ya wapinzani wa kisiasa au raia wa kawaida.
Taasisi za serikali...
Tanzania ni nchi pekee iliyojaaliwa dini nyiingi saana isije ikafika kiongoz wa dini fulani ajipe milki ya amani ya nchii,wasubirini watu wenu na ongeeni na watu kama waumini wenu msitafte huruma wengine hawaamini kwa kile mnachokiamin!
Tafadhalini saana! Kama haki mtaipata mbinguni kwa baba...
Kwanini Rais Trump amesema lazima wairudishe dini katika nchi yao?
Jibu la swali hilo utalipata katika hotuba yake aliyoitoa wakati wa maombi ya kitaifa(National Prayer Breakfast) yanayofanyika kila mwaka katika nchi ya Marekani. Kwa kifupi alisema hivi:
"Kuanzia siku za mwanzo za Jamhuri yetu...
Sawa, wala sijali unaamini nini, naheshimu unacho kiamini.
Ila kama unaamini vitu ambavyo wewe mwenyewe haukuwahi kushuhudia sasa kwanini unakataa kuamini vitu vingine vinavyoaminiwa na watu wengine walio kama wewe ingawa wana itikadi tofauti.
Sasa nani mshamba? wewe unaepata maelekezo ya mtu...
Viongozi wa dini epukeni siasa za upinzani wahuni waweza kuwafanyia kitu kibaya ili wapate kick za kisiasa na kusingizia serikali lengo likiwa kuchafua serikali na kujijenga kisiasa
Wanajua akifanyiwa chochote kibaya kiongozi wa kidini mpinga serikali lawama zitaenda kwa serikali na wao...
Wazungu si kizazi cha Yesu wala Muhamad ( Wabarikiwa kama wanavodai wenyewe) lakini ndo wameidominate dunia na ndo wenye utahiri na wanavuna utajiri wadunia nzima…..
Ni hatari sana kuchanganya dini na siasa - Steve Nyerere
Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao Steve Nyerere amekemea vikali tabia ya viongozi wa dini ambao wanaacha kuwaombea waumini wao na kujikita na masuala ya siasa.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
Dini zetu hizi mbili zina bahati mbaya sana Afrika, ujio wake Afrika uliambatana na watu waliotenda mabaya na wanaendelea kuyatenda mabaya Afrika mpaka leo. Bahati mbaya sana watu wa dini hizi hawakuwakemea na hawawakemei hadi sasa. Walikuwa wakiwasalisha na wanawasalisha mpaka sasa bila...
Siamini kama muovu ni mtu timamu kiakili alietimia namchukulia kama chizi anayepaswa kuchukuliwa hatua za taahadhari wakati wote, kwani chizi anaweza kukuuwa yeye ni jambo dogo hilo yani hana akili.
Mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya mauwaji ya wenzie wanao hamasisha haki na demokrasia bali...
Kazi hata kama unalipwa kidogo, ndio inayokuingizia kipato. Sikukuu ya meimosi ulipaswa kutumia kama fursa ya kumshukuru Mungu KWA kukupatia Kazi ambazo wenzako wanazutafuta Hadi damu.
Sikukuu za Dini ilitakiwa watu wale kidogo tu na watumie muda mwingi kutubu na kitafakari. Ila hii ni...
Kuna washamba humu JF hata siku akija kuvamiwa na kibaka ndani kwake then kwa bahati nzuri amdhibiti na kumkamata alafu baadae ajue wanashare nae majina ya itikadi moja ataishia kumuachia huru huku akilaumu system za kikristo ndio zimemsababisha awe kibaka.
Utu na haki aingaliwi tena hadi hapo...
Ninatambua mchango wenu mkubwa katika kudumisha amani na haki nchini. Hata hivyo, nawaomba muache kabisa kutoa kauli zinazobeba viashiria vya uchochezi wa kuamsha hisia za kidini. Kumbukeni ninyi ni Watanzania mnaowajibika kujisomea maandiko ya kimfumo ya nchi yetu. Jifunzeni vitabu vya mfumo...
📊 MAKADIRIO YA VIFO VYA VITA KWA KUZINGATIA DINI ZA KITAIFA (Nchi zenye Wakristo wengi vs Waislamu wengi)
✅ 1. Nchi zenye Wakristo WENGI (Christian-majority countries):
Vita vikubwa vilivyotokea kutoka nchi hizi ni:
WWI (1914–1918)
WWII (1939–1945)
Vita vya ukoloni Afrika na Asia
Vita vya...
Kwa sasa, tunaona mwanamke anayewania urais pamoja na chama cha siasa kinachotaka mgombea wao wa nafasi hiyo awe mwanamke.
Hata hivyo, dini inasema bila utata kwamba mwanamke haruhusiwi kuwa kiongozi mkuu wa nchi. Anaweza kuwa makamu wa rais, waziri, au kushika nafasi nyingine za uongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.