dini

  1. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Uislamu dini ya haki yenye ustaarabu, hekima na busara

    Wewe ambao si muislamu fanya hima haraka sana ya kuingia kwenye dini ya kiislamu kwani ndiyo dini itakufanya upate kuiona pepo shime shime ndugu zangu tufanye haraka tuingie kwenye dini hii ya haki,dini ya kweli na dini isiyokuwa na ubabaishaji ili uje kuienjoy maisha baada ya kifo ndugu zangu...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Je waumini wa dini zote mbinguni watachanganywa pepo moja, ama kutakuwa na Pepo tofauti kwa kila dini pepo yao peke yao ?

    Habari wadau. Naombeni msaada wa majibu. Je watu wa dini zote watakaotenda mema na kuingia peponi, watachanganywa pepo moja ama kila dini watakaa pepo yao peke yao. Je wataungana mbinguni kwenye pepo moja hata kama huku duniani hawataki kuungana ?
  3. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Nineamini na viongozi wa dini nao wanastahili kuwa na walinzi binafsi!

    Jana kuliripotiwa kutekwa kwa Mchunhaji mmoja jijini Arusha, .Mwl Steven Jacob na kisha kuja kupatikana baadaye kule West Kilimanjaro. Tukio hilo likenifikirisha, na kunifanya niutengue msimao niliokuwa nao siku za nyuma kuhusu ulinzi wa viongozi wa dini kama Wachungaji, n.k. Kabla ya hapo...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Baada ya uchaguzi; Kama CHADEMA Itaweza ku-survive mpaka 2027 bila Ruzuku. Kitakua kama Imani katika Dini

    Sabato Njema! Hizi purukushani za kisiasa zinazoendelea watu wengi tunazifuatilia kwa ukaribu Sana. Ikiwa uchaguzi utafanyika hiyo October na CHADEMA wasiposhiriki, itamaanisha hawatapata Ruzuku. Pesa ambazo ni muhimu kwa chama chochote. Ikiwa watapambana wakatoboa 2027 wakiwa na nguvu hiihii...
  5. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania KAMA UNAJIFANYA HUAMINI UCHAWI BASI WEWE NI MPAGANI HUNA DINI HUNA MUNGU

    Katika Biblia na Qur'an, uchawi unatajwa kama tendo linalokatazwa na lenye madhara kwa jamii na mtu binafsi. Mifano hyo chini 📖 Mifano ya Uchawi katika Biblia 1. Kutoka 22:18 “Usimwache mwanamke mchawi aishi.” 2. Mambo ya Walawi 19:31 “Msiwaendee wenye pepo, wala wachawi...
  6. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kati ya Uislamu, Uyahudi na Ukiristo, ni dini ipi ipo sahihi kuhusu Ibrahim?

    Dini maarufu zaidi duniani yaani Uislamu, Ushahidi na Ukristo, inaonekana shina la Imani zake, limejengwa kumzunguka Ibrahim. Dini zote hizo tatu zinamtambua Ibrahimu kama ni binadamu aliyekuwa anafuata maelekezo ya Mungu wanayemuamini. Lakini dini hizo tatu kila Moja inaona dini nyingine...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu dini za kuja na demokrasia dhidi ya Waafrika

    Ukweli ni: 1.Dini iliundwa kuwazuia Waafrika kuhoji matendo ya wakoloni (wanaharakati), kupitia ujanja wa Brian. 2. Demokrasia iliundwa ili kulinda uamuzi wa viongozi wa Kiafrika kwa mapenzi ya wakoloni (wanaharakati), kiongozi yeyote ambaye anakiuka au kutowatii huondolewa kwa mapinduzi au...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Sasa nimeamini kwanini hata viitabu vya dini vinasema mwanamke anapaswa kuwa ni msaidizi tu

    Haika nimeamini na kuelewa ni kwanini vitabu vya dini(Bibilia) inasema wazi kuwa mwanamke ni msaidizi tu na si vinginenyo. Yaani wewe kila ushauri unaoletewa unauukubali hata kama una madhara makubwa yanayoweza hata ku-backfire. hapo baadae. Watangulizi wa muhusika hata nao walikosea, ila si...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Bado tunahitaji dini katika dunia ya kisasa?

    Dunia yetu inabadilika kwa kasi, na tunavyoendelea na maendeleo ya teknolojia, masuala ya sayansi, na ustaarabu, swali linajitokeza: Je, bado tunahitaji dini katika ulimwengu wa kisasa? Katika jamii nyingi, dini imekuwa nguzo muhimu ya maisha, lakini je, katika zama hizi za kisasa, ambapo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Madaraka katika uislam

    Sayyidna Abu Dharr Al-Ghifari (RA) – Kukataa Uongozi Mtume Muhammad (SAW) alimkataa Abu Dharr alipoomba nafasi ya uongozi: (Sahih Muslim) Abu Dharr alikuwa mcha Mungu sana, lakini alikatazwa uongozi kwa sababu ya kutokuwa na uwezo wa kushughulika na majukumu yake. Yeye mwenyewe alikubali...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Jamii zote zenye dini zao za asili, kwa karne nyingi au dini walizoziunda wenyewe zimefanikiwa

    Ukiziangalia Ulaya, Marekani, India, China, Korea, Vietnam, Uarabuni ni jamii ambazo kwa kiasi kikubwa zimekuwa na tamaduni zao za dini kwa karne nyingi zimefanikiwa sana tofauti na wengine waliochukua dini za jamii nyingine miaka ya karibuni kama Africa. Kuna namna fulani dini za mapokeo zina...
  12. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Fanya haya ufungue Mbingu yako ya 7 ya ufahamu

    Mbingu ya saba” si tu mahali angani bali ni hali ya juu kabisa ya fahamu, uelewa, na muunganiko na Mungu/Nguvu ya Juu. Katika mafundisho ya dini na mila nyingi: Mbingu ya kwanza hadi ya sita ni viwango vya uumbaji na uhai wa kiroho. Mbingu ya saba ni ya juu zaidi, iliyojaa mwanga, hekima, na...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Watu wengi wa Iringa wanasema uislamu ni dini ya kweli na maelfu ya watu wanahamia kwenye hii dini ya kweli

    Wakuu kuna makundi makubwa ya watu yaani mamia ya watu wa hapa kanisani kwangu wanahamia kwenye hii dini ya haki ya kiislamu na nimeshangazwa sana aisee yaani kanisani ukiwapa mahubiri wanajibu takbiiir aisee kweli uislamu ni dini ya haki na ya ukweli Aisee Takbiiir Allah Akbar
  14. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Atheist wengi wao ni dini ya kikiristo

    Mara nyingi hawa wanaojiita atheist kwa maana wasio na dini wengi wao ni kutoka kwenye imani ya kikristo hauwezi kukuta hata siku moja abadani asilani atheist akawa ni muislamu ila halipo hata kidogo uislamu ni dini uliyonyooka isiyo na konakona kabisa
  15. F

    JamiiForums Tanzania Kweli uislamu ndiyo dini ya haki kuliko zingine

    Soon naenda kubadilisha mawazo yangu aisee nimeamini uislamu ndiyo dini ya haki kuliko hizo imani zingine hizo na nimemtaarifu mke wangu,watoto wangu,ukoo wangu wote leo ndiyo mwisho wa kuwa na hii imani ya uongo na uzushi so jumatatu watu wote wa nyumbani na ukoo wangu tunaenda msikitini na...
  16. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Hii ndio tofauti kati ya Mungu anavyotaka aaminiwe na Jinsi dini zetu zinavyotaka tuamaini

    Kumuamini Mungu ndio risk (kujihatarisha) kikubwa kuliko vyote KWA mwanadamu wa kawaida. Unamuamini Mungu kupitia maneno ya BIBLIA (wakristo). Na hautakiwi KUWA na ushahidi mwingine wowote wa hicho unachokiamini isipokuwa maneno hayo peke yake. Mfano. Ukisema huogopi, ushahidi wako uwe ni...
  17. MK254

    JamiiForums Tanzania Dah kweli dini na sayansi haitakuja zipatane, Uislamu wanaamini mtoto mchanga hulia kisa ameguswa na shetani

    Kuna watu hung'ang'ania kwamba eti dini ya uislamu ndio ambayo inaendana na sayansi licha ya kuwa na mambo yasiyo kabisa, ikiwemo kudai eti Mohammad kapasua mwezi vipande viwili, mara sijui alipaa na farasi hadi sayari ya mbali. Sasa hapa nimekutana na hii eti mtoto anapozaliwa, kile kilio cha...
  18. Chifu mkuu

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete: Tuwanyanyapae wenye kuchanganya dini na siasa

  19. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Science na ukristo ni kitu kimoja hakuna utofauti, ni uongo mtakatifu kusema kuna tofauti kati ya science na dini

    Ukitaka uielewe science kiundani sana basi kuwa msomaji wa biblia huyo aliyesema science na dini hasa ya ukristo havina uhusiano alitukosea sana sisi wanadamu ni wa kulaaniwa Kama dunia inge-embrace hii partnership basi tungekuwa mbali sana tuko nyuma sana kimaendeleo kwenye nyanja nyingi kwa...
  20. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Walimu wa madrasa mna shida gani? Mbona mnautia matope dini ya haki na ukweli(uislamu)

    Mahakama ya Wilaya ya Lushoto, imemhukumu mwalimu wa Madrasa Abuubakar Hamis, mkazi wa eneo la Dule B lililopo Jimbo la Bumbuli wilayani humo, baada ya kukutwa na hatia ya Kumlawiti mara kwa mara Mtoto wa kaka yake wa kiume, ambaye ni Mwanafunzi wa darasa la pili na kumsababishia athari kubwa...
Back
Top Bottom