dini ya kiislam

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Naipenda sana dini ya kiislam lakini kila nikifikiria aina hii ya ubaguzi kwa watu wa dini nyengine hadi kuwaua kama adhabu huwa nachoka kabisa

    Kwanza kabisa ubaguzi unauona wazi kabisa kwa majina wanaowaita wasio waislam, MAkafiri, kwa lafudhi ya neno linavyotamkwa unaweza kudhani ni jambazi sugu au muaaji mkubwa sana. Zaidi ya hapo kuna adhabu ya kuua wanaobadili dini, mtu hana nguvu ya kuamua abadili imani yake akithubutu adhabu...
  2. M

    Kama uislam unapambwa kuwa dini ya amani (religion of peace) kwanini hata nchi ikijaa waislam bado wanauana kwa sababu ya dini ?

    Mfano hapo juzi tu nchini Pakistan muislam kaingia kwenye msikiti kajilipua bomu, wasilam 31 wamepoteza maisha Ni nchi nyingi za kiislam imeshakuwa kawaida kusikia wakiuana kwa misingi ya kidini wataalam tunaombeni ufafanuzi Sasa najua kuna watu wataanza kujitetea "mbona nchi za kikristo nako...
  3. M

    PostGE2025 Wahadhiri Dini ya Kiislam: Lissu aliposhambuliwa Dodoma, TEC hawakutoa tamko sababu rais alikuwa Mkatoliki; Ushahidi wa Tamko la TEC

    Kuna maoni nilisoma mtu akishauri kuwa, Hawa Masheikh na Wanazuoni wanaojitokeza kushambulia TEC wanazidi kuharibu kwani wanaongea hisia badala ya Logics. Nimemsikiliza huyu Sheikh anasema kuwa Lissu alishambuliwa Dodoma, lakini TEC hawakutoa tamko lolote sababu Rais alikuwa Mkatoliki. Katika...
  4. mshale21

    Kuhusu utekaji nchini, Viongozi wa dini ya Kiislam mnaogopa nini kukemea utekaji ?

    Viongozi wa Dini ya kiislamu, je ? Ala na mtume Mohamad aliwafundisha kufumbia macho utekaji, uonevu, upotezaji na uuaji wa watu? Dini yenu inabariki haya mambo ya hovyo na kuyaona baraka kwa kuwa mtawala ni miongoni mwa waislamu? Mnahisi mko salama? Mnahisi msipoyakemea na kuyafumbia macho...
  5. upupu255

    PreGE2025 Mbeya: Dkt. Tulia Ackson afuturisha Waumini 200 wa dini ya Kiislam

    Taasisi ya Tulia Trust chini ya Mkurugenzi wake ambaye ni Spika wa Bunge, Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani(IPU) na Mbunge Mbeya Mjini Dkt. Tulia Ackson imetoa futari kwa waumini 200 wa dini wa kiislam. Futari hiyo imekabidhiwa leo Jumatano, Machi 19,2025 kwa Shekhe Mkoa wa Mbeya, Msafiri...
  6. Kiranja Mkuu

    KERO Madereva wa mabasi ya mwendokasi yanapitiliza bila kubeba abiria, wanadai eti wanawahi kufuturu

    Nipo kituoni Kimara Korogwe nangoja Gari ya kwenda Morocco, mabasi zaidi ya Tisa yamepita kuanzia SAA 12.06 jioni nilipofika. Magari yanapitiliza bila kubeba abiria, tumembananisha mtoa Huduma atueleze shida ni nini? Anadai eti wanawahi kufuturu. Hii ni funga GANI? Unataka ukafuturu peke yako...
  7. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Amina Mzee Akabidhi Mitungi 200 ya Gesi, Aungana Kushiriki Iftar na Waumini wa Dini ya Kiislam

    Mbunge wa Viti Maalum Vijana Taifa (Mkoa wa Mjini Unguja, Zanzibar), Mhe. Amina Ali Mzee ameongoza semina ya mafunzo ya kutumia gesi kupikia na amewataka wajasiriamali kutumia nishati safi ya kupikia (gesi) ili kurahisisha shughuli zao za kujikomboa kiuchumi. "Tunaelewa lengo kuu na Dira ya...
  8. J

    Naomba Ufafanuzi kwanini Mwana wa Mfalme wa Saudia ameshika Kasi sana ktk kufanyia mafundisho mengi ya dini ya kiislam?

    Miaka ya hivi Karibuni aliripotiwa na Al Arabiya kuwa asilimia zaidi ya 90 ya Hadith za Mtume hazifai kuwa vyanzo dini ya kiislam; sasa hivi amesema hadithi zote kwa sababu ziliandikwa miaka takribani 280 baada ya Mtume Mohammad kufa, hazifai kuwa chanzo Cha Imani ya kiislam Kwa sasa amepiga...
  9. Beberu

    Changamoto ya Palestina, Ugaidi duniani, sio issue ya Dini ya kiislam, bali uroho wa madaraka

    Wakuu katika nchi, Kuna hii issue ya HAMAS, na ugaidi duniani kote kupitia kwa vikundi mbalimbali, Kwa juu inaonekana hii issue chanzo chake ni dini ya uislam na waislam wanapenda hizo mambo, Lakini deep down ukifuatilia utakuja jua kuwa chanzo cha vikundi vyote vya ugaidi ni uroho wa madaraka...
  10. Heparin

    MAKALA YA KIUCHUNGUZI: Baadhi ya shule za dini ya Kiislam nchini Sudan huwafanyia unyanyasaji wa kingono na kuwafunga minyororo watoto wanaosoma Quran

    Ninapokutana na Ahmed, amefungwa pingu kwenye chumba peke yake. Kuna alama kwenye mwili wake kutokana na vipigo alivyopewa. Hajui ana umri gani, lakini labda ana miaka 10. Shule ninayompata ni mojawapo ya taasisi 23 za elimu ya Kiislamu nchini Sudan, zinazojulikana kama khalwas, ambazo...
  11. F

    Askofu Mwamakula: DP World kujenga msikiti wa Masjid al jumaa wa Mbeya na kuendelea kusaidia dini ya kiislam nchini Tanzania!

    Kampuni ya DP World ambayo katika Mkataba wa Bandari kati ya Ufalme wa Dubai na Serikali ya Tanzania ndiyo imepewa kuendesha Bandari zote Tanzania Bara (Tanganyika) inatumia faida inayopata katika biashara zake kusaidia misikiti na Waislamu kwa ujumla. Mwaka huu wakati wa mfungo wa Radhamani...
  12. NostradamusEstrademe

    Nimegundua dini ya Kiislam haina unafiki

    Moderators naomba mada hii msifikirie nataka kuleta udini maana katiba ya nchi yetu haina dini naongelea dini moja tu ya uislam sitataja dini nyingine kuzikandia maana ni ukweli ulio wazi kati yetu hadi sasa hakuna ambaye ana uhakika ni dini ipi mungu anaikubali.Najua kuna dini za Ibrahima yaani...
  13. Malyenge

    Kutakuwa na tatizo katika usahihishaji wa mtihani wa somo la Elimu ya Dini ya Kiislam Kidato cha Nne

    Baraza la mitihani waangalie imekuwaje hakuna wastani mzuri katika somo la Elimu ya Dini ya Kiislam kwenye matokeo ya Kidato cha Nne? Kuna walakini katika usahihishaji. Serikali ifanye uchunguzi. Ili ukweli ubainike. Kama ni watoto wote waliofanya somo hilo hawana uwezo wa kupata A tujue...
  14. karv

    Katika suala zima la ndoa, dini ya Kiislamu ipo vizuri

    Nawasalimu kwa jina la jamuhuri Binafsi nimekuwa mfuatiliaji mkubwa sana hasa wa maswala haya yahusuyo ndoa lakini kwa upande wangu nimeona ndoa kwa mujibu wa dini ya kiislamu wapo vizuri sana hasa katika swala zima la:- 1)Ndoa kwa ujumla 2)Talaka NDOA KWA UJUMLA -Hapa napenda kuzungumzia...
  15. kimsboy

    Naomba kujuzwa je, dini ya Kiislam inaruhusu kula hawa wanyama?

    Wakuu ningeomba nijuzwe kama Uislam unaruhusu kula hawa wanyama wafuatao: 1. Tembo? 2. Faru? 3. Kiboko? 4. Mamba? 5. Popo? 6. Kenge? 7. Farasi na punda wa porini? 8. Sili? 9. Nyangumi? 10. Pundamilia?
Back
Top Bottom