diamond

  1. Maulid Kitenge aondoka Wasafi FM

    Kupitia ukurasa wa Wasafi Fm huko Instagram, wametangaza Maulid Kitenge ameondoka rasmi Wasafi Fm kuanzia leo sio tena mtangazaji wa kituo hiko!
  2. Tuweke list ya mastaa waliotengenezwa na Diamond Platnumz mpaka sasa

    Katika vitu tutaendelea kumshukuru Chibu ni kutuletea mastaa wapya kwenye entertainment industry. Kunaaliowatengeneza direct kutumia mikono yake na kuna waliopata umaarufu kwa kutumia jina lake either kumtukana au kumsifia. Awa ndio mastaa waliotengenezwa na Diamond Platnumz mfalme wa music...
  3. M

    Zuchu anaenda vunja record ya diamond- most viewed song bila kushirikisha

    Msanii Zuchu ametoa wimbo wake wa sukari akiwa yeye peke yake na ndani ya miezi sita una views milioni 47.9, huku sikomi Diamond ina views mil 51 miaka mitatu, Sasa hizi ndio nyimbo zenye views wengi kwa wasanii bila assist/featuring, kwa hiyo Zuchu anaenda weka record ambayo sidhani Kama Kuna...
  4. Ali Kiba nae kaanza ku promote video zake kwa kulipia mtandaoni

    Wengi tunakumbuka miaka ya nyuma Diamond ndie alikuwa msanii pekee aliekuwa ana promote video zake kwenye mitandao ya kijamii kwa kulipia, hiii ikapelekea kuongezeka kwa umaarufu mpaka sasa imefikia hatua kaacha ku promote kwa malipo maana kwa sasa anafaidi mavuno ya mashabiki wapya aliowapata...
  5. Hii video ya IYO, inadhihirisha kiasi gani Diamond Platnumz yupo serious kwenye investment ya music videos!

    Hivi mshikaji hela anazo invest kwenye videos zake zinarudigi kweli? Mfano kwenye inama, Waah!! Unaona kabisa hapa hela ilotumika si ya kitoto... Video ya IYO ndio balaa, kwanza kuna scenes karibu 30 mule, kuanzia wanafunzi darasani, magodoro, club, wadada wawili, masela wawili, mavazi...
  6. Irene Uwoya amjibu Diamond, kapanda Uber ya Rolls Royce Dubai

    Uwoya akiwa vacation Dubai na mwanaye ameposti video akiwasili na kuita uber ikaja Rolls Royce Ghost ambayo ina bei ghali kuliko culinan ya msanii wa WCB. Hii ni dharau kubwa sana kwa msanii ambaye kavunja kibubu chake cha miaka 13 kununua RR then wewe Uwoya unapanda Uber ya Rolls Royce ya bei...
  7. Ni mwanzo tu, Diamond Platnumz aagiza tena Lamborghini na Bentley, magari ya mabilion

    Baada ya kununua Rolls Royce Cullinan2021 Moja kati ya Gari za Ndoto yake ya muda wote Star wa muziki Barani Afrika Diamond Platnumz ametangaza kuwa anasubiri kupokea gari zingine mbili DiamondPlatnumz kupitia ukurasa wake wa instagram ametangaza kuwa gari zinazofuata alizozinunua ni lamborghini...
  8. Kigezo kinachotumika kuaminisha Rolls Royce ya diamond ni feki ni ushamba wa magari

    Baada ya kelele nyingi mitandaoni zinazodai chuma kipya cha Daiaond ni feki, nikaamua kuingia mtandaoniili ili nicheki facts maana watalamu wanasema "No research, no data, no right to speak",,,,bila uchunguzi usio na taarifa huna haja ya kufungua mdomo. Muda sio mrefu nimeingia kwenye account...
  9. Good News: Diamond Platnumz Studio na Snoop Dogg

    Habari Nzuri kwenye tasnia ya Muziki (bongo flavour) nchini Tanzania ni kuwa msanii Namba Tatu Africa Baada ya Burna Boy ma Wizkid na Namba moja Tanzania ameingia studio na king wa West coast SNOOP DOGG. DIAMOND PLATINUMZ amepost kwenye Instagram page yake na kuambatanisha na maneno...
  10. Kwanini Diamond Platnumz anavaa msalaba?

    Masheikh, Masharif, Maustadh naombeni mje mtujuze, je kiutaratibu inakuaje pale muislam anapovaa msalaba? Au ni pambo tu halina ubaya? Maana naona Nassib Abdul maarufu kama Diamond Platnumz amekuwa na utaratibu wa kuvaa msalaba siku za karibuni ilhali yeye ni muislam.
  11. Kiingereza cha Diamond ni "chefu chefu"

    Ukisikia "kizungu-chefu chefu" ndio cha huyu Bwana mdogo nguli wa bongo fleva. Huyu Bwana mdogo wa Tandale sijui katoa wapi hii kizungu ya kimarekani? Sijui ndio kuwa NIGGA? — Bado sijamuelewa vizuri. You garrah gooh... i garrah duuh, i garrah fyoko, yoooo ma nigga, i garrah nyokooh...
  12. Upande wa Pili wa Hotuba ya kuaga ya Baba wa Taifa ukumbi wa Diamond 1985

    UPANDE WA PILI WA HOTUBA YA MWALIMU YA KUAGA Kiasi naogopa kufanya uchambuzi wa hii hotuba kwani kuna mambo nadhani Mwalimu Nyerere kasahau au hakupenda watu wayasikie. Mwalimu hakupokelewa na wazee alipokelewa na Abdul Sykes 1952 tena si New Street kwenye ofisi ya TAA bali nyumbani kwake Mtaa...
  13. Diamond Platnumz na Wasafi hununua viewers? Wasafi wakubali kuwa wasanii wananua viewers, wahaha kuona wanunuzi wapya

    Wasafi Fm kupitia ukurasa wao wa instagram waliweka maneno ya msanii kutoka Nigeria ambaye alikuwa anasema kuwa wasanii waache kununua viewers wa youtube na akasisitiza kuwa anawambia wasanii wengine sio wanigeria maana wa uko Nigeria awawezi kununua viewers wa Youtube. Kwenye hili sikubaliani...
  14. Diamond Platnumz arekodi ngoma na Wiz Khalifa

    Hii ni hatua nzuri kwa music wa Tanzania na East Africa kwa ujumla.
  15. Diamond Platnumz kajiaibisha kwa Swizzbeats na cheni feki

    Akiwa Marekani baada ya kukosa tuzo BET sadala katua studio kwa swizzbeats ambako sijui ana project gani, ila katika picha kaposti kwa insta ameonekana kachafua shingo na mikono kwa lundo la macheni, mapete na masaa ambayo wataalamu wa mambo ya vito vya thamani wa instagram yaani...
  16. WCB lebo ya Diamond imegeuka kuwa kiwanda cha kutoa mastaa katika levo za juu mno

    WCB lebo ya Diamond imegeuka kuwa kiwanda cha kutoa mastaa katika levo za juu mno, Kuna waliofata nyayo za kijana lakini hali hairidhishi, kuna lebo kama kings music ya alikiba na konde gang ya harmonize hizi lebo wasanii wake wamekuwa wakipata wakati mgumu kutoboa ikafika kipindi hadi wasanii...
  17. Miezi sita watu wanapambana na kivuli cha Diamond, sasa kakirudia kiti chake inabidi wawe wapole

    Diamond amejijenga Sana kimziki Hilo halina ubishi, inawezekana kuna mapungufu pia , hata hvyo katengeneza team work yenye nguvu Sana ,.... Kwa sku za hvi karibuni kapigiwa kelele Sana negatively, kelele hzo hazijaathir chochote career ya mshikaj , Sana Sana zimempa hipe kubwa Zaid, .... ...
  18. Busta Rhymes: Diamond ni Michael Jackson wa Africa

    Rapa namba moja duniani kwenye kucheza na ulimi "tongue twist" aitwae Busta Rhymes ameiambia dunia kupitia ukurasa wake wa Instagram kwamba Michael Jackson wa Africa ni Diamond Platnumz. Busta amefikia kumuita Diamond ndio Michael Jackson wa Africa baada ya kuona uwezo wake mkubwa kiasi cha...
  19. Sadala (Diamond) ka-copy tena jamani

    Wadau wa mziki wanadai pale Wcb hakuna ubunifu Diamond anasikiliza nyimbo za kinaijeria ili afanye remix Director kenny anaangalia video za wengine ili afanye remix Reyza anasikiliza beat za wengine ili azifanyie remix WCB = WE COPY THE BEST Hii ni Aibu huyu sadala analitia aibu taifa kwa...
  20. Kumbe Juma Jux kimaisha kamzidi Diamond Platnumz?

    Juma Jux kwenye ukurasa wake wa instagram katupia picha ya mjengo wake pamoja na ndinga zake ikiwemo Mercedes Benz mpya na bmw. Kwa mtizamo wangu naona jux ana maisha mazuri kuliko msanii yeyote Bongo akiwemo mondi na kiba. Mondi anatumia toyota na kiba anatumia x5 la kizamani.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…