Diamond sio Msanii wa Kimataifa kama anavyoaminisha watu

Mr sule

JF-Expert Member
Oct 14, 2021
607
1,097
Diamond wa Tandale bado kuwa msaani wa kimataifa au hajatoboa mipaka ya Dunia kama ilivyo kwa wasanii wa Nigeria.

Vigezo changu kikubwa hana Show kubwa za kimataifa kama Davido na Wizikid. Hana hit song ya iliyopenya kama vile ya Love mwantiti au On the low.

Show zake za marekani bado sana, wateja wake ni baadhi ya wacongomani, warundi, wakenya na wanyarwanda ndo wanaingia show zake. idadi kama watu 300 hivi, niliwahi kuwepo show yake moja ya louisville, kentucky. Tofauti na wazake wanajaza kumbi za 02 arena.

Diamond ni msanii wa africa pekee.
 
Diamond wa tandale bado kuwa msaani wa kimataifa au hajatoboa mipaka ya Dunia kama ilivyo kwa wasanii wa nigeria.

vigezo changu kikubwa hana Show kubwa za kimataifa kama Davido na Wizikid.

hana hit song ya iliyopenya kama vile ya Love mwantiti au On the low.

Show zake za marekani bado sana, wateja wake ni baadhi ya wacongomani, warundi, wakenya na wanyarwanda ndo wanaingia show zake. idadi kama watu 300 hivi, niliwahi kuwepo show yake moja ya louisville, kentucky.
tofauti na wazake wanajaza kumbi za 02 arena.

Diamond ni msanii wa africa pekee.
Nakazia
 
Kwani msanii kua wa kimataifa anatakiwa awe amefika vigezo gani?

Au kuna nchi specific ambazo ni lazima ujaze watu huko ndio uwe wa kimataifa? ukijaza watu Kenya,Uganda,Rwanda,Burundi unakua sio wa kimataifa? kua wa kimataifa ni lazima ujaze watu kwenye kumbi za US?
 
UCHAWI SIO LAZIMA UVAE TUNGULI

Neno KIMATAIFA linatokana na taifa (Umoja) mataifa (Wingi), ndipo inapatikana kimataifa, hivyo taifa la Tanzania, Kenya, DRC, SA, Rwanda, etc haya yote ni mataifa.

MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI, DIAMOND NI MSANII WA KIMATAIFA
 
Kwani msanii kua wa kimataifa anatakiwa awe amefika vigezo gani? au kuna nchi specific ambazo ni lazima ujaze watu huko ndio uwe wa kimataifa? ukijaza watu Kenya,Uganda,Rwanda,Burundi unakua sio wa kimataifa? kua wa kimataifa ni lazima ujaze watu kwenye kumbi za US?

Boss tuelewana, unafikiri diamond anaposema natafuta soko la kimataifa ana maanisha hilo soko la uganda na kenya?.

sikupigi uko sahihi ila wasanii wanapotumia neno wa kimataifa ndo ujue leo ni kwamba kujulikana kama vile nchi ya USA
 
We shule umesoma wapi? Kaskilize hata habari za kimataifa ITV kisha utajua International ni kitu gani ..dah umetumia nguvu nyingi kuonyesha ujinga wako

Anza kwanza na kuumuliza msanii wake huko kimataifa ni wapi unataka kufika, mbo a uhanda na kenya wanakukubali.

kuna maneno mengine yana maana yao kwa watu husika.
 
UCHAWI SIO LAZIMA UVAE TUNGULI

Neno KIMATAIFA linatokana na taifa (Umoja) mataifa (Wingi), ndipo inapatikana kimataifa, hivyo taifa la Tanzania, Kenya, DRC, SA, Rwanda, etc haya yote ni mataifa.

MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI, DIAMOND NI MSANII WA KIMATAIFA

Nimeshajibu hii
 
Back
Top Bottom