dhidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nashauri baada ya kesi wale makomandoo wafungue kesi dhidi ya Luten Urio

    Mie sio mwanasheria Ila iko wazi Luten Urio ni mtu mwenye roho ngumu na ovu sana. Hajawatendea haki wanafunzi wake wa zamani jeshini. Amewatoa hawa watu kwenye shighuli zao binafsi za kujitafutia baada ya kuondolewa jeshini, Kawadanganya eti kuna kazi ya ulinzi kwa Mbowe kwa maneno yake...
  2. H

    Leo Simba anashinda dhidi ya Kagera Sugar

    Wanasimba wote msiwe na wasiwasi leo huyu kagera sugar hasira zetu zote tunaenda kummalizia yeye, kosa lao Uwanja wao kuwa mzuri ndio kitachowacost
  3. Pascal Mayalla; Hongera kwa kushinda vita dhidi ya Ndugai

    Hapo ni April 2018. Kwangu nililiona hili kama ni personal vendetta dhidi ya uhuru wa habari na dhidi ya mwandishi mbobezi Bwana Pascal Mayalla japo mpaka leo hajawahi kutujuza ni nini kulikuwa matokeo ya kikao hicho. Tunajuwa kimoja tu kuwa walikukatia biashara zako za PPR kwenye sekta mbali...
  4. M

    Coastal union na leo pia muwaombee albadil waliowahujumu dhidi ya Namungo

    Mara nyingi mpira ni mchezo wa wazi Sana Kama timu yako ni mbovu basi ni mbovu tu usitafute kichaka cha kufichia madhaifu yako, leo tena Coastal Union imelambishwa mchanga na namungo goli 3 kwa 1, walipofungwa na yanga wakasema wamehujumiwa sasa na leo wamehujumiwa? Wameshindwa kurekebisha...
  5. K

    Ingekuwaje kama Marekani angeshindwa kwenye vita ya mapinduzi (uhuru) dhidi ya Uingereza?

    Wadau wana kimataifa ningepata kupata mawzo yenu, je kama marekani ya leo ingeshindwa kwenye vita ya ukombozi dhidi ya taifa mama Uingereza, je hili taifa namba moja kwa uchumi na jeshi duniani lingekuwepo? Na kwa wale wote walioanzisha hili vuguvugu la ukombozi kingewatokea nini?
  6. Dada zetu fungukeni mtuambie ukweli. Je, size kubwa ya uume ndio mnaridhika kimapenzi?

    Inachanganya sana maana wanawake wengine wanasema size sio ishu maana raha ipo juu na cha msingi mtu ajue kutumia dudu. Wengine wanasema size kubwa ndio kila kitu. Huku wakiponda wnanaume wenye size ndogo. Sasa upi ni ukweli? Maana kila kukicha wanawake wanachepuka hovyo na huku ugoni...
  7. B

    Nimeona ujumbe unaodhaniwa ni wa Balozi wa Uturuki dhidi ya shule za Feza; Naomba Serikali iwe makini na mgogoro huu, wafuate taratibu

    Serikali ya Uturuki ipo vitani kuwasaka wanaodhaniwa kufadhili mapinduzi miaka kadhaa iliyopita. Upo mgogoro mkubwa huko Uturuki na inatamani kuua nguvu za kiuchumi za maasimu wao ambao baadhi ni wamiliki wa Shule ya Feza iliyopo hapa nchini. Serikali yetu inalo tatizo la kiukombozi, wakati...
  8. Kufumbia tabia na kasumba ya askari wa JWTZ kupiga raia na kuwaletea madhara imesababisha mauaji dhidi ya raia kuongezeka

    Matukio mengi sana yanayofanywa na askari wa JWTZ wanaojichukulia sheria mkononi kwa kupiga raia na kuwasabibishai vifo na ulemavu kwa sababu za labda kuibiwa mali au kukosana na raia yanaporipotiwa polisi mara nyingi huwa hawachukuliwi sheria au hatua stahiki. Hii ni kwa sababu ya kulindwa na...
  9. Atakayehujumu Coastal Union dhidi ya Yanga kupigwa albadri

    Wazee wa Coastal Union wametoa tamko kwa umma kwamba yeyote atayeihujumu Coastal Union kwenye mechi ya Yanga watamkabidhi kwa Allah. Rai hiyo imetolewa kwa yeyote anahusika kuanzia uongozi wa Yanga, refa wa mchezo, wachezaji na viongozi wa Coastal na mtu yeyote yule. Wazee wamesema watafanya...
  10. Wana Chadema chuki dhidi ya Waitara zitawasaidia nini? Kuisambaratisha ngome yenu tarime isiwe nongwa, kama katoswa muacheni kivyake.

    Hizi ni siasa za kitoto kabisa. Maana kama mtu alikuwa Chadema na akawahama na kwenda Ccm kisha kusambaratisha ngome yenu ya Tarime kuna ubaya? Kaachwa na rais wa JMT kuteuliwa mnabaki kueneza chuki na kebehi dhidi yake huko Twita na sehemu mbali mbali za mitandao ya kijamii. Huu ni ubwege wa...
  11. Kauli za kibaguzi za Lukuvi dhidi ya Zanzibar ndio ziliyofanya aondolewe uwaziri,

    Hotuba yake hii ya kanisani aliingiza siasa ambazo ziliibua mjadala wa ubaguzi kwa kusema "ikiwa Zanzibar itapewa mamlaka kamili basi mjuwe itaanzisha dola ya Kiislam".
  12. N

    Shutuma dhidi ya ndugai zilitakiwa kuibuliwa na bunge, na msamaha ulitakiwa kuombwa kwa bunge na wananchi.

    Kongole wanaJF.......kutokana na spika kuwajibika kwa bunge na wananchi, ikiwa matamshi yake yalikiuka mwenendo, sheria na taratibu za bunge, shutuma hizo zilitakiwa kuibuliwa na bunge lenyewe na kama ni kuomba msamaha ndugai alitakiwa aombe huo msamaha kwa bunge au moja kwa moja kwa wananchi...
  13. M

    Leo siku ya 3, system ya evaluation ya TRA hakuna

    Kipindi cha Mwendazake, mambo kama haya yalikuwa hayafanyiki. Leo siku ya 3, hii system ya evaluation ya TRA hakuna. Je, kuna nini inaendelea nyuma ya pazia?
  14. M

    Wanasiasa wa Tanzania kama hamna Upendo na nia ya kweli dhidi ya Kuwakomboa Wakulima acheni Kuwapenda Kinafiki kwani inakera!!

    Sasa ni mwaka wa 20 huu nawasikia tu Wanasiasa wa Tanzania kila mara wakisema wanawapigania Wakulima na wanawapenda lakini kila Siku nasikia mpaka Kushuhudia Vilio vya Wakulima kiasi cha mpaka kutia Huruma. Tanzania ingekuwa na Viongozi imara tena wasio na Unafiki mwingi ndani yake nina uhakika...
  15. M

    Hakuna Mechi ya Simba SC ninayoigopa kama ya leo dhidi ya Azam FC, ila tukishinda nitakuwa ni mwenye Furaha japo nina Hofu nayo

    Kiufundi nawaogopa zaidi Azam FC kuliko hata Yanga SC kwani Azam FC wana Wachezaji wenye Vipaji Asilia huku Yanga SC wakiwa na Wachezaji wenye Ushindani na Morali ya Juu. Hakuna Mechi ambayo inaniumiza Kichwa Kuiwazia mpaka kuwa na Hofu nayo kama hii ya leo kati ya Simba SC yangu dhidi ya Azam...
  16. Ukatili wa kijinsia kwa wanawake dhidi ya wanaume

    Wanabodi nimekutana na hii habari kutoka ITV kiukweli imenifanya nimfikirie sana namna ambayo jamii inazodi kuharibika. Wanawake wamekuwa wakilaumu wanaume kuwa wanawanyanyasa, sasa huu UKATILI ni wa mwanamke dhidi ya mwanaume. Kuna mwanamke amemwagia maji ya moto mumewe ambae ni mwalimu huko...
  17. Marekani yatishia kuchukua hatua mpya dhidi ya Myanmar

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Anthony Blinken amesema Washington inapania kuchukua hatua mpya ili kushinikiza utawala wa jeshi nchini Myanmar kurudisha serikali ya kiraia, katika wakati ambapo wasiwasi unazidi kuongezeka kutokana na kukandamizwa wapinzani. Akizungumza wakati wa ziara...
  18. Jibu rahisi tu Kwenu kwa wale mnaomshangaa Haji Manara kwa Kauli zake kwa Pro - Magufuli dhidi ya wale Anti - Samia

    Ni kwamba tayari kuna Mstaafu Mmoja aliye karibu na Mteuzi Mkuu Kikatiba nchini Tanzania ameshampigia pande ili nae apewe Cheo kama cha Mwenzake Jerry Muro. Baada ya Yeye ( Haji Manara ) kuona kuwa tayari Mambo yanaenda vyema kwa kuwa na dalili za Kuukwaa Uteuzi anachokifanya sasa ni...
  19. TCRA/Idara ya Habari Maelezo zichukue hatua dhidi ya vyombo vya habari vilivyorusha maneno ya uchochezi ya Mwingira

    Mojawapo ni Star Tv pia YouTube channels zote na magazeti. Vyombo vingine vipelekewe taarifa ya tahadhari, hasa vinavyorusha matangazo ya wachungaji wahuni wahuni
  20. B

    Salamu za Heri: Shoo aonya dhidi ya Uonevu

    Hapa chini ni salamu za Heri kutoka kwa baba askofu Shoo. Wenye masikio na wasikie: Eeh Mola wetu ukasimame na waja wako wanaoteseka kwenye dhuluma hizi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…