dhidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mkuu wa EU achafua tena hali ya hewa: "Mzozo wa Ukraine ni kama mapambano ya Ireland dhidi ya Uingereza "

    Wanasheria wa Uingereza wanasema maoni ya Ursula von der Leyen ni "zaidi ya kuchukiza" na "mchezo hatari" Rais wa Tume ya Ulaya Ursula von der Leyen alifananisha mapambano ya Ireland dhidi ya utawala wa Uingereza katika karne ya 20 hadi mzozo kati ya Urusi na Ukraine, alipokuwa akilihutubia...
  2. J

    JamiiForums Tanzania France kauza mechi yake dhidi ya Tunisia..! Hata World Cup mechi zinauzwa

    Kwa mnaofuatilia kombe la dunia hasa mechi za France, France ni timu kali sana Cheki mechi dhidi ya Australia, Denmark kisha angalia mechi ya leo dhidi ya Tunisia Hawa jamaa japo walikuwa wameshavuka na kuchezesha kikosi cha pili, lakini wamecheza wakiwa wamelegea mnoo, yaani kiwango chao...
  3. JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba dhidi ya Ihefu ichezwe uwanja wa Mbeya mjini, Kusafiri takribani masaa mawili na nusu kwenda uwanja wa Ihefu ni kuchoshana tu.

    Timu inatoka Dar kweda Mbeya kwa ndege safari ya takribani saa mawili, timu inafika mjini na kupumzika kwenye hoteli za mjini, mazoezi yanafanyika uwanja wa Sokoine wa hapo hapo mjini unaotumika kwa mechi za mbeya city na prisons. Timu inabidi ianze safari ya masaa mawili na nusu kwa basi siku...
  4. JamiiForums Tanzania Twaha Kiduku ampiga Victor Hugo wa Argentina kwa alama Novemba 25, 2022

    Bondia huyo Mtanzania amefanikiwa kupata ushindi wa Mkanda wa Dunia WBF dhidi ya Victor Hugo kwa pointi 99-91, 99-91, 99-91 katika pambano la uzito wa kati ‘Super middleweight lililofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Pambano hilo la Raundi 10 lilikuwa la ushindani mkali, Kiduku...
  5. JamiiForums Tanzania Iran, mpaka sasa wameuawa Polisi 50 waliokuwa wanapambana na waandamanaji dhidi ya udhulumaji wa kidini

    Mamia ya polisi wamejeruhiwa huku 50 wakiuawa walipokua wanapambana kumpigania 'mungu' wa waislamu dhidi ya wananchi waliokua wanaandamana kupinga kunyanyaswa na sheria za dini. Maandamano bado yako pale pale....wamekomaa ============================== DUBAI (Reuters) - Around 50 police have...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nikijua wewe ni dhidi yangu(Serikali) siwezi kukushirikisha. Utatumia sheria zote za Kimataifa, nitatumia za ndani kuku-bar

    Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia katika mkutano wa 47 wa wanasheria Afrika Mashariki uliofanyika mkoani Arusha, amesema haya kuhusu kushirikisha watu/taasisi ambazo ziko dhidi yake Kwa mfano Tanzania, miaka minne mitano iliyopita tulikuwa na Tanganyika Law Society ambayo frankly speaking...
  7. JamiiForums Tanzania Israel yaibembeleza US kuchukua hatua za kijeshi dhidi ya Iran

    Mkuu wa jeshi la Israel amewaonya maafisa wa Marekani kwamba hivi karibuni Tehran inaweza kupata silaha za nyuklia Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Israel (IDF) Aviv Kochavi ametoa wito kwa Marekani kubuni "mipango mipya ya uendeshaji" ya kulivalia njuga jeshi la Iran, akiwataka maafisa wa ngazi za...
  8. JamiiForums Tanzania Phiri Mosses Lazima Aumizwe vibaya kabla hatua ya makundi iwapo Simba itakalia kimya mipango ya wapinzani dhidi ya Nyota wao

    Kwanini viongozi Simba hawaoni Hilo. Nyota wao wote hukumbana na rafu mbaya Sana karibu kila gemu zinazohatarisha maisha yao ya Mpira. Simba Ni klabu kubwa isisubiri mpaka mtu Avunjwe goti ndio watoe malalamiko. Juzi Phiri anafanyiwa rafu mbaya kabisa mbele ya kibendera na Mpira unaelekezwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Air Defenses za Marekani zimeshindwa kulilinda anga la Ukraine dhidi ya makombora ya Urusi!!

    Marekani ilijinasibu sana kuwa imeshapeleka air defense system za hali ya juu lakini bado jiji la Kiev linapata kipigo cha mbwa mwizi kila urusi ikitaka. Ukraine has reportedly received two batteries of NASAMS short- to medium-range ground-based air defense systems from the US. [Twitter]...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Tuangazie tofauti za kifikra na kimwamko Tanzania dhidi ya wengine

    Kuweka mizania sawa kwa minajili ya ulinganifu tuiangalie Tanzania dhidi ya wengine EA. Nchi zote hapa kuna lugha rasmi za kibeberu yaani kiingereza au kifaransa. Kwingine kasoro Tanzania si ajabu kukuta watu wa kawaida wakiwamo boda boda, vinyozi, maseremala nk wakizimudu vilivyo lugha hizo za...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Simba jiandaeni kuotesha kichaka kingine cha kujifichia dhidi ya Yanga

    Imekuwa wimbo na ngonjera zinazoimbwa na mashabiki wa Simba kila mara Yanga inapofanya vizuri dhidi yao au michuano ya ndani ya kwamba, Yanga haiwezi michuano ya kimataifa na wao wamewekeza uko. Sasa ni dhahiri shahiri kichaka hicho kinaanza kufyekwa taratibu na kitafyekwa kabisa siku siyo...
  12. JamiiForums Tanzania Hadi sasa Iran imeua raia 328 na kukamata 14,825 katika kuzuia maandamano dhidi ya duluma za kidini

    Maandamano yanaendelea, raia wa Iran wamekubali kuendelea kuuawa na serikali yao inayopambana kumpigania "mungu" wa waislamu. Hii yote ilitokana na tukio la mwanamke kuuawa kisa kipande cha nywele kilichomoza kwenye buibui kinyume na dini inavyoamrisha. Protests in Iran raged on streets into...
  13. JamiiForums Tanzania Kesi ya kina Mdee dhidi ya CHADEMA kuhusu kuvuliwa uanachama haina tija ni ubadhilifu mwingine

    Hili suala la mamlaka nchini kuonekana kutumia nguvu isiyokua ya kawaida kuidhibiti chadema isiweze kuwavua wanachama wake uanachama linastaajabisha wengi. Tumeona na kuzoea kuona chama cha mapinduzi kuweza kumng'oa kirahisi mbunge wake anayeenda kinyume na chama bungeni kwa kumfuta uanachama...
  14. JamiiForums Tanzania Manchester United dhidi ya Barcelona kwenye Mtoano wa UEFA Europa League

    EUROPA: MANCHESTER UNITED YAPANGWA KUIVAA BARCELONA Timu hizo zimepangwa katika droo leo Novemba 7, 2022 ambapo zitakutana katika Hatua ya Mtoano ya UEFA Europa League, Februari 2023. Ratiba ya mechi nyingine Juventus dhidi ya Nantes, Sporting CP vs Midtjylland, Shakhtar Donetsk vs Rennes...
  15. JamiiForums Tanzania Iran: Mwanajeshi auawa na pia polisi 10 wajeruhiwa kwenye maandamano dhidi ya dhuluma za kidini

    Iran bao wanaendelea kuliamsha, wanauawa ila hawakomi, serikali inapambana kumlinga 'mungu' na uislamu Iranian protesters clashed with security forces on Thursday in the town of Karaj, some 40 kilometres west of the capital, Tehran. Hundreds of people blocked the highway that runs through the...
  16. JamiiForums Tanzania Ujerumani inaizunguka Marekani kwa kuzungumza na China

    Ziara ya hivi karibuni ya Olaf Scholz nchini China ni ujumbe kwamba Washington haiwezi kulazimisha sera ya nje ya Berlin. Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz anatazamiwa kuzuru China wiki hii. Ni alama ya safari yake ya kwanza kabisa katika nchi ya Asia, huku kukiwa na mvutano unaoongezeka kati ya...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Vikwazo dhidi ya Zimbabwe vyapaswa kuondolewa mara moja

    Tarehe 25 Oktoba ni “Siku ya Kupinga Vikwazo” iliyoanzishwa na Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC). Katika maadhimisho ya Siku hiyo, viongozi wa nchi nyingi kwa mara nyingine tena wametoa wito wa kuondolewa kwa vikwazo dhidi ya Zimbabwe. China pia imesisitiza kuwa, Marekani...
  18. JamiiForums Tanzania Kuanzia leo, wewe siyo baba yangu, na hutaruhusiwa kwa lolote dhidi ya Mali zangu

    Nina mengi ya kuelezea mpaka ninapofikia uamuzi huu wa kumkana Baba yangu mzazi Yaani Mzee Leo ila itoshe kusema nimeshawishiwa baada ya kuona mzazi amemkataaa Mwanae kupitia kwenye vyombo vya habari na mimi kama mwana JF ninayo haki yangu ya msingi kumkataa Baba yangu kama ifatavyo " Mimi...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dunia haina usawa, Miguna Miguna kaamua kulianzisha dhidi ya Raila Odinga

    Huyu jamaa kama mnakumbukumbu ndiye aliyemwapisha aliyekuwa jamaa yake wakati huo ndugu Raila Odinga baada ya uchaguzi uliompatia ushindi Rais mstaafu Uhuru Kenyatta. Jamaa baada ya kuona mambo magumu alikimbilia uhamishoni Canada. Katika hali isiyokuwa ya kawaida jana amempiga na kitu kizito...
  20. JamiiForums Tanzania Huu hapa uhalali wa goli la Yanga dhidi ya Geita

    Mchezo wa mpira wa miguu ni mchezo wa makosa. Makosa yanaweza kufanywa na yoyote anae husika moja kwa moja na kinacho fanyika ndani ya pitch. Makosa yanaweza kufanywa na mchezaji. Makosa yanaweza kufanywa na kocha (kwa kupanga kikosi vibaya au kufanya sub isiyo merit) Makosa yanaweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…