Twaha Kiduku ampiga Victor Hugo wa Argentina kwa alama Novemba 25, 2022

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,302
5,441
Bondia huyo Mtanzania amefanikiwa kupata ushindi wa Mkanda wa Dunia WBF dhidi ya Victor Hugo kwa pointi 99-91, 99-91, 99-91 katika pambano la uzito wa kati ‘Super middleweight lililofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro.

Pambano hilo la Raundi 10 lilikuwa la ushindani mkali, Kiduku akimpiga ngumi nyingi mpinzani wake lakini alikuwa akirejea na kuendelea kupigana kama kawaida.


Fibu5hoXoAgTIQo.jpg


Fibu6pBXgAA-3Lp.jpg

Pambano linaendelea
 
Nasikitika balozi wa ngumi kupigwa KO aache kutangaza chumvi siyo nzuri kwa afya atangaze maziwa ya ASAS
 
Ila twaha awe selective kwenye kuchagua mabondia,yule wajana kama ni ugenini twaha kapigwa.bondia ni mbishi harafu mrefu,
 
Ila ndondi bwana. Yaani unatoka home unaenda kupigana na mtu ata hujagombana nae. Matajiri wanakua wanashangilia mnavodundana
 
Ila ndondi bwana. Yaani unatoka home unaenda kupigana na mtu ata hujagombana nae. Matajiri wanakua wanashangilia mnavodundana
Ndio Mahan mtoto wa baresa Uwezi mkuta anapigana ngumi watot wa masikini tu ndio mchezo wao
 
Back
Top Bottom