dharau

Dharau is a village in Kanpur Dehat district in the state of Uttar Pradesh, India.

View More On Wikipedia.org
  1. ward41

    JamiiForums Tanzania Ligi ya Ukraine imerejeshwa. Ina maana maisha Ukraine sasa ni kama kawa?

    Ligi ya Ukraine imerudi rasmi leo kwa mara ya kwanza tangu Urusi ilipoivamia Ukraine mwezi Februari mwaka huu. Kutokana na sababu za kiusalama, mashabiki hawakuruhusiwa kuhudhuria mechi ya kwanza iliyochezwa kati ya timu za Shakhtar na Metalist katika uwanja wa Kyiv Olympic. Hifadhi za dharura...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Dharau ya Manara kwa TFF nawalaumu Polisi.

    Pamoja na kulinda raia na mali zao, kazi nyingine ya polisi ni kushinikiza watu kufuata taratibu na sheria tulizojiwekea. Amri, sheria ama marufuku ikiwekwa na idara, taasisi ama chombo kingine chochote ni kazi ya jeshi la polisi kuhakikisha inatekelezwa. Sasa kwann polisi hawamkamati Manara...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haya wale wenye Akili fupi na mnaomtetea Haji Manara na Tukio la Dharau alilolifanya Juzi someni haya Maelezo ya Maulid Kitenge wa EFM

    Swali kutoka kwa Mtangazaji Abdulrazaq Majid.... Kitenge je, ni kweli Haji Manara juzi pale alijitokeza tu na mkampa Kipaza Sauti afanye kile alichokifanya au labda ni Tukio ambalo mlilipanga na mlikuwa nae Kimaandalizi? Jibu la Mtangazaji Maulid Kitenge.... Ukweli ni kwamba Siku Moja kabla...
  4. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Kampuni za simu kuongeza bei kiholela ni kuidharau Serikali au kuna ubia na Viongozi?

    Hakika hii sasa ni kero ambayo inaonesha Serikali ya CCM imeshindwa KABISA kusimamia kampuni za biashara hususani za Simu na yanafanya chochote watakacho na hakuna cha kuwafanya. Nimeshtuka asubuhi hii kukuta wameongeza tena gharama za vifurishi na kwa speed hii hadi kufikia December...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mabinti na Wanawake wa Kitanzania ni 'Dharau' na 'Kejeli' kama hizi ndizo huwa 'zinawaponza' na kujikuta mnafanyiwa 'Kitu Mbaya' na Wanaume

    Karen: Sijaona mwanaume wa kuzaa naye Tanzania | Nimezaliwa staa baba yangu staa. Taarifa: EastAfricaTV Baba wa huyu Binti ( Dada ) nakushauri kuwa makini sana kwani kuna Msanii mwingine huko nyuma alikuwa na Dharau na Nyodo kama hizi ila kwa alichofanyiwa Mbezi Beach ( Mitaa ya Rainbow )...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kauli za jeuri na dharau za viongozi wetu kwa wananchi ni matokeo ya Katiba yetu mbovu

    Katiba bora huwafanya viongozi kutimiza wajibb wao ipasavuo na kuwaheshimu wananchi ambao ndiyo wenye nchi. Hivi unadhani katiba yetu ingekuwa bora, Samia angetoa hoja dhaifu kuwajibu wananchi wanaokosoa wingi wa safari zake za nje? Anafanya hivyo kwasabb katiba mbovu imempa nyenzo na mamlaka...
  7. NYAQ

    JamiiForums Tanzania Ndoa ndoano, nimepoteza kipato mke wangu kaanza kunidharau

    Wakati una kipato chako heshima na utii huwa unaonekana, ukipoteza kipato ndio utajua mkeo ni gaidi kwa kiasi gani. Inauma sana mke kukuona si lolote wala si chochote kisa tu huna mpunga.
  8. Mia saba

    JamiiForums Tanzania Huwa unazishindaje dharau na chuki dhidi yako zinapoibuka?

    Ni rahisi tena mno kuona watu wakisambaza maneno ya chuki kwa jamii juu ya watu fulani hivyo hupelekea watu hao kujidhuru kwa kushindwa na maneno ya dhihaka. Kama mwana jukwaa huwa una mbinu gani juu ya watu wanaokuletea dharau, majivuno na chuki. Let's share ideas.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya kiongozi kuongea kwa dharau na kuongea kwa mamlaka

    Nimeanzisha hii thread baada yakuona ipo haja kuwa alert leader kuwamakini pindi wanaongea na viongoz wenzao au wanaongea na jamii. Kuwa kiongozi sio kuwa na akili au uwezo kuliko wengine hapana kuwa kiongozi ni kudra za mwenyezi Mungu na ndio maana kuongozi anaye lijuwa hili kamwe hawezi...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nje ya Dharau na Nyodo zake za Kiasili, ila Kocha Mourinho ni Bonge la 'Genius' halafu anatupenda na kutujali mno Waafrika

    Jose Mourinho wants FIFA to stop African players from representing other countries other than that of their origin. He believes once this is done, Africa countries would start winning the World Cup. Chanzo: Africa Archives Binafsi huwa ninawapenda Watu wenye Dharau, Nyodo na Jeuri Kiasili, ila...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wabunge waliofukuzwa CHADEMA wapo Bungeni leo Juni 23, 2022, Spika kawaruhusu kuuliza maswali

    Wabunge wa Viti Maalum, Salome Makamba na Grace Tendega wapo Bungeni, leo Alhamis Juni 23, 2022 na wameuliza maswali ya nyongeza baada ya kupewa fursa hiyo na Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson. Wabunge hao walifukuzwa uanachama CHADEMA na kesi waliyofungua kupinga kufukuzwa Mahakamani imetupwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwa dharau anasema vijana tujiajiri. Mitaji na masoko iko wapi? Yeye alipokuwa hajalamba uwaziri alithubutu kujiajiri? Patrobas Katambi anadharau sana

    Hii ni kebehi na dharau sio kwa lugha kama hii 👇
  13. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba January Makamba ana dharau!

    Jamaa ni mjivuni hasa na ni mtu wa nyodo! Bahati mbaya sana kwa wasiomtambua kwa undani hu-fake kwao eti ni mtu asiye na mawaa na ni mtu wa watu jambo ambalo si kweli alivyo. Kwa dharau zake sioni ni kwa namna ipi ataepuka nongwa na mashambulio kutoka kwa wawakilishi wenzake. Wabunge wengi...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Jitahidini mkishafanikiwa Kimaisha muache Dharau, Kashfa na Dhihaka kwa 'Hustlers' tuliojazana Tanzania sawa?

    "Miaka ya sitini, miaka ya sabini na miaka ya themanini vijana walikuwa wanahudumia wazee na watoto. Hali haiko hivyo sasa. Kwa sasa, wazee ndio wanahudumia vijana na watoto wao" - @mwigulunchemba1 Chanzo: EastAfricaRadio Nijuavyo ni kwamba hakuna Kijana ambaye anapenda Kutowajali Wazazi au...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ni dharau kubwa, yaani wauze nchi au wapige madili hamna namna ya kuwatoa madarakani. 2025 tukatae hizi dharau

    Sasa hivi wanachokifanya CCM ni kuonyesha ukaidi mkubwa juu ya rasilimali za taifa hili. Wanatoza watu tozo wanavyotaka bila kuangalia utu na vipato vya raia. Sasa hivi wamehamisha raia wa Ngorongoro kwa manufaa yao na matumbo yao. Hivyo wana maanisha kuwa hata wafanye makosa namna gani...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia akienda nje ya nchi hapokelewi na viongozi wenzake wa juu?

    Kwema jamani? Hivi mbona Rais wetu akienda nje ya nchi anapokelewa na watu wa ajabu tu? Mfano alivyoenda USA alipokelewa na mtu mwenye cheo sawa na mtendaji wa kata huku kwetu. Atleast alivyoenda Uganda juzi niliona wamempa mapokezi ya heshima. Leo kaenda huko Ghana kapokelewa sijui na wakuu...
  17. N

    JamiiForums Tanzania PICHA: N/Waziri mwenye lugha ya dharau kwa Vijana enzi zake akiwa choka mbaya

    Hapa ni kabla hajatumia ile technic inayotumiwa na wengi ya kumtukana Mbowe na CHADEMA kisha kupewa ulaji na kulambishwa asali, jamaa keshasahau kwa sasa anawaona vijana wasio na ajira wanaotafuta mikopo na kukosa kwamba ni wajinga fulani hivi au ni wakenya kwa akili yake na ujeuri wake ni...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Hivi mkeo wa ndoa anapokublock kwenye simu anakua na maana gani?

    Kwema waheshimiwa? Hivi mkeo wa ndoa mnaeishi nae nyumba moja na kulala same bed anapokublock kwenye normal calls or WhatsApp, anakua na maana gani? NB;Hii kesi ni ya jamaa yangu.
  19. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Waziri Katambi: Vijana ambao hawajapata mikopo ya Halmashauri pengine ni Wakenya

    Si kweli kwamba vijana wa nchi hii hupata mikopo bali mikopo yote ihusuyo vijana hugawanwa na Viongozi wa chama tawala na vijana wao nao ni wale tu walio na connection. Katambi acha dharau na hilo litakukosesha jimbo. === Kauli hiyo ameitoa hii leo Mei 18, 2022, bungeni jijini Dodoma, wakati...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee: Walichofanya wajumbe wa Baraza Kuu CHADEMA ni Uhuni! Mimi ni CHADEMA, nitaendelea kuwa CHADEMA

    Dar es Salaam. Aliyekuwa mwanachama wa CHADEMA, Halima Mdee amesema hakukuwa na uhuru kwa wajumbe wa Baraza Kuu la chama hicho katika upigaji wa kura na kwamba, kilichofanyika ndani ya Baraza hilo ni uhuni. Na Mbowe anajua ni Uhuni. Nitaongea siku nyingine kwa Urefu leo sio siku mwafaka. Mimi...
Back
Top Bottom