dhana

Dhana is a census town in Sagar district in the state of Madhya Pradesh, India.

View More On Wikipedia.org
  1. Mstaafu Kikwete umesahau dhana ya KUJIVUA GAMBA kwenye utawala wako leo unamwambia mwenzako anavumilia upuuzi

    Rais Mstaafu Kikwete anamwambia Rais Samia kwamba kwenye utawala wake hakukubali upuuzi Lakini watanzania wote bado tunakumbuka nchi alivyoitumbukiza kwenye matatizo mengi kama uendeshaji duni wa chama na Serikali mpaka ikafikia hatua hatua ya KUJIVUA GAMBA ili kuinusuru CCM. Nchi iliingia...
  2. Mwalimu Yusuph na dhana nzima ya Ualimu ni wito

    Huyu ni mwl Yusuph, mwl ambaye kwake ualimu ni wito kama enzi za Nyerere
  3. Ubaya wa kuwa na dhana mbaya kwa Binadamu wenzako

    Dhana Mbaya ni Ile hali ya kuwafikiria wenzako vibaya juu ya Tabia zao au Matendo Yao Fulani pasina kuwa na ushahidi wowote ule. Hii ni dhambi miongoni mwa madhambi ambayo Kwa Mwenyezi Mungu ni makubwa mno, kibinadamu tunaweza kuchukulia ni jambo dogo lakini Kwa Mola wetu ni kubwa mno...
  4. J

    Peter Msaki: Tuanze kuwaza tofauti juu ya dhana ya mkopo Kwanza tukubaliane Mkopo ni Maendeleo

    “Kuhusu hoja ya deni la Taifa Nafikiri kama watanzania tuanze kuwaza tofauti juu ya dhana ya mkopo Kwanza tukubaliane mkopo ni maendeleo sio Kwa sababu nyinginezo kama kusema hata nchi tajiri zinakopa bali ni ukweli ili ufanye maendeleo Kwa wakati na ukubwa wake lazima Uwe na fedha nyingi za...
  5. Dhana ya mwanaume kuendeleza ukoo na mwanamke kukuza uko wa mwanaume bado ipo au ilishapotea?

    Moja kwa moja kwenye uzi. Ile dhana ya kuwa wanaume ndiyo wanao endeleza ukoo na mwanamke anakuza ukoo wa kwa mwanamme bado ingali ipo au tulishavuka karne hizo? Kuna umuhimu wa kuwa na watoto wa kiume walau watatu ili wakuze ukoo wako mwanaume au hata usipokuwa nao watoto wako wa kike nao...
  6. Mwanaume kupiga bao nyingi kwa tendo moja nayo ni dhana potofu

    Hii ni dhana potofu na ni tatizo. Yaani mwanaume unaenda bao 3, 4 au 6 halafu mkeo ana bao 1 tu au hajapata kabisa, hilo ni tatizo rafiki zangu. Mwanaume mwenye nguvu (rijali) hasifiki kwa idadi ya bao anazopiga yeye, abadani, anasifika kwa muda anaotumia kutoka bao moja kwenda jingine, hiyo ni...
  7. M

    Hii dhana ya kuifungua nchi ni kujidhalilisha: Kwani nchi ilikuwa imefungwa? kuna vitu watu wanasema bila kufikiri!

    Kuna hii dhana ya kumsifia kiongozi fulani eti anaifungua nchi, kitu ambacho hata mwenyewe bila hata yeye mwenyewe anashangaa!!nchi ilifungwaje? nani aliifunga? maana serikali haijabadilika! Ilani ya uchaguzi inayotekelezwa haijabadilika!! Tatizo ni watu kujaribu kujikomba bila aibu...
  8. Watoto wafundishwe dhana ya kinyaa

    Kinyaa ni hisia mbaya apatayo mtu anapoona uchafu, mtu asie na kinyaa ni mtu wa hovyo sana. Kuona kinyaa yaweza enda mbali zaidi, Mtu anaeweza kufanya mchezo wowote katika tupu ya nyuma kwa lengo la kujifurahisha huyo hana kinyaa, Kuna vichaa ambao hadi wanaweka ulimuli, huu ni ugonjwa wa...
  9. SoC02 Iko wapi dhana ya uwajibikaji?

    Na mwandishi Fauster Fredricky, twende pamoja, Dhana ya uwajibikaji ni dhana ya muhimu katika maisha ya maendeleo kwani ni moja kati ya mambo ya msingi katika kuleta maendeleo, dhana hii hufanya watu kutekeleza majukumu yao husika katika wakati sahihi na hivyo kurahisisha ufikiwaji wa malengo...
  10. SoC02 Utawala bora

    UTAWALA BORA Ni vizuri tukaanza kwa kuangazia maana ya utawala bora, japo sio kwa tafsiri rasmi. Utawala bora ni dhana inayohusisha ushirikishwaji wa wananchi katika maamuzi yanagusa maisha au maslahi yao kwa namna moja au nyingine. Maamuzi hayo yanaweza kuwa yanagusa nyanja za kisiasa, kijamii...
  11. M

    Je, kutosheka katika sex ni dhana na wajibu binafsi, tegemezi au shirikishi? Na mwenye vigezo na ufahamu ni nani?

    Salaam wanajukwaa Naomba ufikirie, ujitazame, ujipime na usome hadi mwisho penye mapungufu jazia, penye kosa kosoa, na maoni au mtazamo wako ni muhimu. Hili neno kuridhika katika sex ni jukumu la kila mshiriki? na ili mtu aridhike ni dhana tegemezi au shirikishi? Mwenye kipimo Cha mridhiko ni...
  12. M

    SoC02 Dhana miongoni mwa watu kwamba huwezi kufanikiwa pale ulipozaliwa (kukulia) na msemo wa,”Naenda kutafuta Maisha” ulivyojengeka kwa wanajamii

    Hali ilivyo:- 1.Watanzania waishio nje. Kila mwaka mamia ya wanawaake wanaenda Uarabuni kusaka maisha ambapo baadhi hupata mazingira ya kazi yenye staha na mishara mizuri. Lakini wengine hufanya kazi kwa saa nyingi zaidi na kwa malipo madogo huku wakipata manyanyaso ya kimwili na...
  13. M

    SoC02 Dhana ya adhabu kwenye mfumo wetu wa elimu

    Ndugu wasomaji, salaamu. Elimu ni zana muhimu sana katika kupigana na adui ujinga. Elimu inatupatia maarifa ambayo hasa ndicho kila mtu hukitafuta. Elimu inapatikana katika mifumo rasmi na ile isiyo rasmi. Mifumo rasmi ni kwa maana ya shule ambako kunakuwa na mihutasari na miongozo mbalimbali...
  14. Yesu na Jobless: Dhana ya janga la ukosefu wa ajira; kuwahi sio kufanikiwa

    Yesu na Jobless: Dhana ya Janga la Ukosefu wa Ajira; Kuwahi sio Kufanikiwa Anaandika, Robert Heriel. Mwanafalsafa. Kuwahi kupata ajira au kazi haimaanishi utawahi kufanikiwa, maisha hayapo hivyo. Na kuchelewa kupata kazi au ajira haimaanishi ndio utachelewa kupata mafanikio au hautafanikiwa...
  15. Dhana potofu ya kwamba kila mtu kaandikiwa kifo chake

    Well, previous I developed a topic for y’all lads centered on God’s omniscience-ness and I discussed a bit on how death can be affected by conscience. So this topicwill be serving as a tie-in spinoff and will be focusing on death and conscience respectively. Imekua kama jambo la kawaida kwa...
  16. Mwisho missed call Tatu halafu Ondoa dhana Mbaya

    Nimependelea kuandika mada hii kutokana na baadhi yetu kuteswa na mapenzi kiasi kwamba tunasahau kuna mambo mengi muhimu Sana ya kufanya katika hii dunia. Mume wako au mke wako kutopokea Simu si tatizo,au kutopatikana hewani Kwa kipindi flani si tatizo Bali tatizo ni mtazamo wako juu ya...
  17. Mliokuwa mnamwona January Makamba na Nape ni Mashujaa... bado mna dhana hiyo?

    Nliwahi waambia watu flani Nape wala Makamba hawajawahi kuwa smart. Ila waliokuwa wanadhani hao watu ni smart wao ndo hawakuwa smart. Ilishangaza sana kuna watu kabisa wakaanza na kumpigia debe Makamba kuwa Rais....nikaona hii nchi mnadhani sisi sote ni MAZUZU so mnataka tuishi kwa akili zenu...
  18. Ukristo: Mungu hajakataza kuoa mke zaidi ya moja, dhana ya mwili moja si kuwa na mke moja, hata ukilala na malaya ninyi tayari ni mwili moja

    Tatizo kubwa ni kwamba wakristo wanafata wanachoambiwa na viongozi wa kidini na sio maandiko yanavyosema. Hakuna sehemu imeandika mwanaume aoe mke moja tu. Kuna huu mstari wa "Nao wawili watakuwa mwili mmoja." i hutafsiriwa vibaya kwa kudhani kwamba mwanaume inabidi awe na mke moja, La hasha...
  19. Jinsi wanawake wanavyochukulia Dhana ya "Kutongozwa"

    JINSI WANAWAKE WANAVYOCHUKULIA DHANA YA "KUTONGOZWA" Anaandika, Robert Heriel. Asali ya Warembo! Wanawake wapo complicated ukitumia akili ya kiume kuwatafakari, lakini ukitumia akili ya kike utawatambua vyema Kabisa na wala hawatakusumbua kuwaelewa. Kama hauna akili ya kuwaelewa wanawake basi...
  20. Uchunguzi wangu mfupi wa kitaa Uzunguni-unapingana na dhana ya kuwa 'Wazungu pekee ndio watu waliojaliwa kuwa na uwezo mkubwa kiakili'

    Nilipokuwa mdogo niliamini dhana ya kwamba.. i) Wazungu wote ni watu wenye waliojaliwa kuwa na uwezo mkubwa kiakili kuliko akina sisi wa kwa Mtogole na Buza kwa Mama Kibonge.. Kabla sijatembelea nchi za Ulaya niliamini dhana hii. Lakini baada ya kufika Ulaya na kusoma nao darasa moja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…