okiwira
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 2,787
- 2,857
Moja kwa moja kwenye uzi.
Ile dhana ya kuwa wanaume ndiyo wanao endeleza ukoo na mwanamke anakuza ukoo wa kwa mwanamme bado ingali ipo au tulishavuka karne hizo?
Kuna umuhimu wa kuwa na watoto wa kiume walau watatu ili wakuze ukoo wako mwanaume au hata usipokuwa nao watoto wako wa kike nao ni sehemu ya kukuza/kuendeleza ukoo wako?
NOTE:USAWA KWA WOTE.