dhana

Dhana is a census town in Sagar district in the state of Madhya Pradesh, India.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    Ili kuondoa dhana ya uchawa, Prof Kabudi ajiuzulu kama Yule wa US

    Huko US, kuna kiongozi WA counter intelligence ame jiuzulu na kupinga us kuipiga vita Iran, Kwani Iran sio tishio Kwa U.s
  2. M

    Said Mtanda: Dhana ya haki na amani haziwezi kutenganishwa katika ujenzi wa taifa imara, ni pande mbili za sarafu moja

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, amesisitiza kuwa dhana ya haki na amani haziwezi kutenganishwa katika ujenzi wa taifa imara, akizitaja kuwa ni pande mbili za sarafu moja. Akizungumza jana, Machi 4, 2026, katika Maadhimisho ya Siku ya Maridhiano (Maridhiano Day) nchini Tanzania, Mtanda...
  3. Maisha ya binadamu na dhana ya Uongo!

    Dhana ya Uongo imekuwa ni maisha yetu ya kila siku japo si jambo linalojadiliwa kwa upana sana ila athari zake zipo kila sekunde!. Katika jamii nyingi uongo si jambo linalopendwa na vyombo vya sheria humtia hatiani mtu yoyote atakaebainika kusema uongo!, Hata hivyo ukiuzungumzia uongo basi upo...
  4. TFF: Dhana dhanifu ama halisi?

    Ilianza kama utani mitandaoni lakini ni wazi ni kitu kinachojijenga katika uhalisia wake TFF (Tanganyika Freedom Fighters) Wapigania Uhuru Tanganyika (WAUTA) Mwansilishi halisi hajulikani mpaka sasa lakini ni wazi ni kundi lenye vinasaba vyote na Gen-Z hasa baada ya yote yaliyotokea 0ctober 29...
  5. F

    Dhana kwamba jasusi lazima awe “mtu safi” ndiyo inaua ujasusi wa Afrika

    Nchi nyingi za Afrika zimejifunga kwenye dhana potofu kwamba ili mtu awe jasusi lazima awe na tabia njema, rekodi safi ya kisheria, asiwe na “makovu” ya maisha, na aonekane kama askari au mtumishi wa serikali wa mfano. Dhana hii si tu ya kizamani ni hatari kwa usalama wa taifa. Ujasusi si...
  6. Maandamano ya MO29 yaliipandisha Tanzania kwenye Rank za juu ya kidunia. Na sasa Ile dhana ya watanzania ni mandondocha imekufa. Watanzania sasa

    Hamjambo! 1. Ingawaje ni Siku iliyobeba kumbukumbu zenye huzuni, maumivu na damu za watu. Lakini pia ilikuwa Siku muhimu kwa taifa letu. 2. Siku ambayo ilikuwa ikisubiriwa kwa miaka na miaka tangu mababu zetu. Walikuwa wakiisubiri Siku Ile ambayo ingefuta aibu, manyanyaso, kejeli na uteja...
  7. R

    Kuondoa dhana ya business as usual, kutojali, namshauri Mkuu aachane na teuzi zozote, afocus kwenye huu mtanzuko uliopo mbele yake

    Nchi iko gizani. Imevimba bado kupasuka. Washauri wake mshaurini as underate hí hali tuliyo nayo. Aifanyie kazi, aachane na mazoea ya business as usual. Huko mbele kuna giza nene kwa kila Moja wetu!
  8. PostGE2025 Hii dhana ya CCM kuwa watu wanatumwa inatokana na nini?

    Kwani Watanzania hawana akili za kujitegemea mpaka wawe wanafanya mambo kwa kutumwa ana kuchochewa na wengine? Wao CCM huwa wanafanya mambo yao kwa kutumwa ama kuchochewa na nani?
  9. Tumsaidie Samia na wadini wote juu ya dhana ya udini uchwara

    Tangu tupate uhuru, Tanzania imeongozwa na viongozi sita toka dini kuu mbili za kikoloni yaani Ukristo na Uislam. Watatu walikuwa Wakristo yaani JK Nyerere, Ben Mkapa na JP Magufuli ilhali waislamu ni Ally Hassan Mwinyi, Jakaya Kikwete, na sasa Samia Suluhu Hassan. Sikumbuki kuhisi udini katika...
  10. Dhana ya ‘Rais Mtarajiwa’

    Neno raisi mtarajiwa ni neno ambalo mara nyingi humaanisha mtu ambae kwa walo wengi wategemea yeye ndie awe raisi hivi karibuni, hata kama bado hajaapishwa au kuchukua majukumu ya kiofisi. Hiki si cheo rasmi lakini kisiasa au kiuandishi wa habari neno hili lina maana sana. Baada ya uchaguzi...
  11. Q

    Propaganda ya “Watanzania ni waoga, wanaandamana mitandaoni” imekufa rasmi

    Kabla ya maandamano ya MO29 kulikuwa na propaganda nyingi hasa kutoka kwa chawa wa mama kuwa hakuna mtanzania atakayejitokeza siku ya maandamano kwa kuwa Watanzania ni waoga. Propaganda hizo ziliendelea hadi siku yenyewe, asubuhi mida ya saa 4 kwenye mitandao walianza kubeza 'mbona hatuwaoni'...
  12. Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Poleni na majukumu ya kila siku, nimekuja na ID yangu hii sina haja ya kujificha. Moja kwa moja kwenye mada, nahitaji msaada kama kuna mtu anamjua mganga wa uhakika anifanyie kazi yangu, kuna waganga huwa nasikia wanatoa watu mabusha, wanatuma majini au kumpa mtu ugonjwa nahitaji mganga wa...
  13. H

    Dhana ya wasomi tu kuwa wabunge Tanzania kwa kigezo cha kutunga sheria imepitwa ma wakati

    Kazi ya mbunge siyo kutunga sheria tu pia siyo sheria zote hutokana na wabunge hasa ukizingatia wabunge wasomi ndiyo wameifikisha Tanzania hapa tulipo kwa kukosa uzalendo kwa nchi yao. SHERIA NA VYANZO VYA SHERIA TANZANIA MAANA YA SHERIA Sheria ni kanuni zinazoongoza shughuli na mahusiano ya...
  14. D

    Dhana ya "ishini nao kwa akili"

    Wanajamvi Leo katika pita pita zangu mtandaoni nikakutana na swala ambalo limekuwa likinigusa kwa muda mrefu,ni kuhusu usemi kutoka kwenye kitabu kitukufu unaomuasa mwanaume kuushi na mwanamke (mke wake kwa akili) Kusema ukweli hata mimi nawaza ni kwa nini mungu aliligusia swala hili katika...
  15. Deep State: Dhana Yake, Namna Inavyofanya Kazi

    Hivi karibuni, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, amezua mjadala baada ya kudai kuwa ndani ya CCM kuna “mtandao” unaodhibiti mchakato wa uteuzi wa wagombea urais. Anasema mtandao huu umekuwa ukijitokeza mara kwa mara tangu mwaka 1995, na mara nyingine hufanikisha...
  16. Paradigm Mpya ya Uchumi: Kuibua Faida Kubwa Kutoka kwenye Mtaji Mdogo – Dhana, Mbinu na Hesabu za Kiuchumi za Mafanikio ya Kibiashara

    Katika ulimwengu wa biashara za kisasa, dhana kwamba "mtaji mdogo hauwezi kuzalisha faida kubwa" ni kasumba ya kifikra inayotakiwa kuondolewa. Katika tafsiri ya kiuchumi, mtaji (capital) si lazima uwe mkubwa ili kuzalisha thamani; bali ni uwekezaji wenye tija (productive allocation of resources)...
  17. B

    Dhana na maisha kama safari ya kumbukumbu

    DHANA YA MAISHA KAMA SAFARI YA KUMBUKUMBU. Ikiwa maisha ni mkusanyiko wa kumbukumbu, basi kuishi ni kukumbuka. Na kama mwanadamu amezaliwa na kumbukumbu za maisha ya nyuma, basi kuishi ni kuendeleza mfuatano wa kumbukumbu hizo. Kifo basi si mwisho wa uhai tu, bali ni mwisho wa uwezo wa kukumbuka...
  18. Dhana ya "kusitisha au kufuta usajili wa kanisa" inahusisha nini hasa hasa ? Je, ni kutia kufuli majengo ya kanisa hilo ili asiwepo mtu ndani mle?

    https://youtu.be/8reLapCOf0s?si=d0DkYnApY4VvHj_U Hebu msikilize vizuri Afande Jumanne Muliro, RPC Kanda Maalumu ya DSM kwenye video hiyo akielezea namna alivyokuwa very sharp yeye na polisi wake kwenda kuzingira na kuwafurusha waumini waliokuwa wakiendelea na ibada ya maombi ya siku 7 ndani ya...
  19. Lema: Kumchagua Lissu kuliondoa dhana CHADEMA kuwa chama cha wachaga

    "Sisi wachaga ama watu Kilimanjaro na watu wa Kaskazini tunapaswa kuwa makini sana kwa muda mrefu sana watu wa Kaskazini wameonekana kama watu wanaojitenga na hata chama chetu wakati kinakuwa kilipigwa vita ni chama cha wachaga" "Mimi wakati naingia kwenye kampeni za kumsaidia Lissu...
  20. Kauli ya sina mtaji wa biashara ni dhana potofu

    Kuna wengi sana hawafanyi Biashara kwa sababu wanadhani kwamba tatizo lao ni kwamba hawana MTAJI. Utamsikia mtu anasema nikipata Mil 10, Au nikipata Mil 100 au nikipata laki 5 nitabadilisha maisha yangu oabisa. Huko ni kutokujua. Hakuna kitu kama hicho. Hatuhitaji MTAJI mkubwa Bali UNAHITAJI...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…