dhambi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    RC Tanga unahangaika na nini kusema na kuupamba uongo ? Yuko peke yake, hana mshindani ameshapita. kwanini utende dhambi ya kusema UONGO

    Arsenals zote ziko at her disposal, such as so-called tume "huru" ya uchaguzi, polisi, fedha zote za nchi and all oppressive machinery you can think of are at her disposal, sasa RC unahangaika nini na uongo wa data za social services mkoani Tanga? upuuzi kama huu.............Tanga...
  2. Nina wasi wasi waliotekwa wapo ukonga wameukumiwa kunyongwa ndio hao 27 waliotajwa na Lissu Jana Mh Samia hii ni dhambi mbaya mno muue Lissu

    Walio tajwa na Lissu Jana yakuwa wako ukonga wameukumiwa kunyongwa ndio wakina Soka,kipanya na wenzake paspo kumsaau mdude nyangali Najiuliza wanafanya hivyo mnapata Nini mbele za Mungu Muumba mbingu na Nchi? Natoa Rai kwa Mh Rais mnyonge Tundu Lissu Ili uepuke kuvuliwa nguo dhidi ya uovu ULIO...
  3. Kwanini dhambi hizi zimepewa majina mazuri?

    Siku hizi kuna dhambi nyingi zilizopachikwa majina mazuri au ya kisasa. Kwanini? Hii ni hila ya shetani ya kuzipunguzia uzito au kuzipa uhalali katika jamii. Kwa njia hiyo shetani anawafanya watu waone kuwa dhambi ni kitu cha kawaida, cha kuvutia, au cha kupendeza na hivyo wanavutwa kutenda...
  4. Je, Utekaji, kupoteza na kuua viumbe wa Mungu ni dhambi ambayo inaweza kurithiwa na vizazi vya wanaotenda matendo hayo?

    Ndugu wanajamii, binadamu, jamii na mataifa yote kwa ujumla, naomba kwa dhati ya moyo mkunjufu mnisaidie majibu. Je, matendo yangu maovu yanaweza kugeuka kuwa sehemu ya uzao wangu na ukawa intra na inter generational, dhana ile intergenitic DNA. Nimewaza hivi baada ya kusikia na kuona...
  5. Viongozi CHADEMA kutoka chama A kwenda chama B si dhambi. Karibuni CHAUMMA!

    Zipo tetesi kutoka kwenye chanzo makini zinazosema viongozi wengi CHADEMA wapo njia panda, na wengi wanamuogopa mwenyekiti wao, kwa kuonekana wamemsaliti Chanzo chetu kinaendelea kudodosa viongozi wengi mpaka wa ngazi za juu wanania thabiti ya kuingia CHAUMMA, lakini kauli na morali zao zao...
  6. Ijue dhambi ni nini?

    Bwana Yesu asifiwe mwanadamu. Tujifunze mambo haya kwani yatatusaidia: Dhambi ni nini? Dhambi ni uvunjaji wa sheria ya Mungu na kutotii mapenzi ya Mungu. Ni tendo, wazo au msimamo unaokwenda kinyume na tabia ya Mungu. 1 Yohana 3:4 - Kila atendaye dhambi, avunja sheria, na dhambi ni uvunjaji...
  7. Mizizi ya Dhambi Katika Uongozi wa Tanzania

    Katika historia ya mataifa mengi, na hasa Tanzania, uongozi umetazamwa kama dhamana takatifu inayopaswa kuheshimiwa, kutunzwa na kutekelezwa kwa moyo wa unyenyekevu. Hata hivyo, hali ya sasa inaonyesha picha tofauti: watawala wetu wengi wanabeba dhambi kwa tamaa za kidunia. Tamaa ya madaraka...
  8. F

    Ni sawa Muumini kuungama dhambi kwa mchungaji/padri, Je padri/mchungaji anaungama kwa nani?

    Nashangazwa Sana yaani utakuta jitu kubwa au au mtu mtu mzima kabisa na ndevu sake anaenda kwa mchungaji au padri eti kuungama dhambi zake yaani unaenda kuconfess dhambi zako kwa mwanadamu mwenzio sasa sio kama vituko ni nini? Je huyo padri au mchungaji anaenda kuungama dhambi zake kwa Nani...
  9. Wana CCM Endeleeni na Dhambi zenu Hamprey poleple kaamua kuokoka

    GT Ni wazi polepole ni moja ya wale walioshiriki kuminya demokrasia nchini. Lakini hilo halimuondolei.uhalali na haki ya kutubu na kuyaacha ya zamani na kuanza ukurasa mpya. Kwa hiyo mwacheni nyie endleeni kuua na kuteka malipo ni hapa hapa duniani.
  10. Hakuna Dhambi – Ni Akili Yako Tu Inakudanganya?

    Hakuna Dhambi – Ni Akili Yako Tu Inakudanganya? Je, dhambi ni kweli ipo, au ni mawazo tu yanayopita akilini? Mara nyingi tunajiadhibu kwa fikra tulizonazo hata kabla ya kutenda chochote. Mawazo haya ndiyo hutuambia lipi ni “jema” na lipi ni “baya”, kulingana na jinsi akili yetu...
  11. GE2025 Hizi hapa dhambi za uchaguzi ziepuke, utakufa vibaya

    GT. Uchaguzi uliojaa hila ni haramu jiepushe nao..
  12. WHO wathibitisha pombe ni sumu. Sasa nina ujasiri wa kusema: "kunywa pombe bila kulewa ni dhambi."

    Kama ulikuwa huna habari, kisayansi, pombe ni sumu. Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa Ethanol, kiambato kikuu katika pombe, ni dutu ya sumu kwa mwili wa binadamu. Shirika la Afya Duniani (WHO) through International Agency for Research on Cancer (IARC) linaiainisha pombe (ethanol in alcoholic...
  13. Usiitetee Dhambi Kana Kwamba Ni Nzuri, Na Kuwakashifu Waliosimama Katika Kweli Na Utakatifu Wa Mungu

    Isa 5:20 SUV [20] Ole wao wasemao kwamba uovu ni wema, na kwamba wema ni uovu; watiao giza badala ya nuru, na nuru badala ya giza; watiao uchungu badala ya utamu, na utamu badala ya uchungu! Sio ajabu kukuta mtu au kuwakuta watu wakijisifia juu ya uovu wao wanaoutenda mbele za Mungu...
  14. Ikimbie dhambi kwa gharama zozote zile!

    Ikimbie dhambi. Shalom. Karibu tujifunze biblia, na kujikumbusha yale ambayo tumeshajifunza. Kitu pekee ambacho watu wa Mungu tunapaswa tukiogope kuliko vyote kwa nyakati zetu hizi sasa ni dhambi…Wala hatupaswi kuogopa mapepo wala wachawi wala shetani mwenyewe. Tunachopaswa kukiogopa cha...
  15. Siri imefichuka! Yajue Magonjwa Yanayosababishwa na Kutenda Dhambi

    Nyakati hizi, kuna watu wengi wanaobubujikwa na machozi ya huzuni kwa sababu ya magonjwa yanayowasumbua. Katika kutafuta chanzo cha magonjwa, watu wengi huelekeza macho yao kwenye vyanzo kama vile bakteria, virusi, mazingira machafu, lishe duni, magonjwa ya kurithi, msongo wa mawazo nk. Sawa...
  16. Mungu ambaye tunamuomba na anayesifika kuwa na UPENDO sifikirii kama ndo Mungu huyu huyu wanayesema atachoma watu wenye dhambi.!

    Kwa uelewa Wangu kuhusu Mungu. Namtafsiri Kama mwenye UPENDO huruma na UTU. , hii nadharia kuwa atachoma watu wenye dhambi naona Kama ni UONGO. Kwakuwa sisi Binadamu tupo dhaifu , kwenye kuyaendea mambo na asilimia kubwa tupo unconscious. Hivyo dhambi Kama uzinzi , N.k zinafanywa Sana na WATU...
  17. Kwa kukamilisha yale ya mtangulizi wake, kisha kujumlisha na ya kwake anayotenda, kutomshukuru ni kujichumia tu dhambi za bure!

    Wanabodi Naomba kuanza na Angalizo: Mada kama hizi ni mada za kiutu uzima, hakuna kutaja taja majina ya watu wowote humu!, na ukijiona una washwa washwa kutaka kutaja majina hapa, au kuuliza ni nani, ujijue huu uzi sii saizi yako!, nakuomba jipitie tuu kwenda kwenye nyuzi za kimo chako!, sio...
  18. M

    Kuna dhambi waliyoamua kuifanya baadhi ya waliokuwa viongozi wa CHADEMA wakishirikiana na CCM kumtoa sadaka ya mateso Lissu, itaamua maisha yao badaye

    Sisi watu wa hali ya chini (kwa muda) huwa tunafurahia sana maisha yetu licha kwamba tuna maisha ya kawaida sana Hatudhulumu, hatunyongi watu, hatuteki na hatuuwi watu, na tunakula kile kilichopo kwa furaha kabisa na amani ya Mioyo yetu, na sadaka zetu kwa Mungu ni za haki hazina hatia yoyote...
  19. Serikali kuingilia michezo sio dhambi, haya hufanyika duniani kote

    Kuna baadhi ya watu wajinga wameibuka na kusema ati fifa watatufungia kuwa serikali imeingilia michezoni Kwanza nimpongeza Rais Samia kwa hekima yake kuu ya kusuluhusha huu mgogoro Watu wasijadanganye ati serikali haiingilii michezo kimsingi hakuna sehemu ambapo serikali haiingilii hata...
  20. Rais Samia: Sio dhambi Serikali Kushirikiana na Mahakama

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemshukuru na kumpongeza Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Mstaafu Prof. Ibrahim Hamis Juma, kwa kazi nzuri aliyoifanya ya kukuza ushirikiano wa Mahakama na mihimili mingine ya Dola ikiwemo Serikali na Bungeni ambapo Rais Samia amesema sio dhambi kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…