Dhambi ya JW imeandikwa kwa kalamu ya chuma

Dhambi ya JW imeandikwa kwa kalamu ya chuma

let the caged bird sings

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2020
Posts
4,179
Reaction score
9,750
Jw ikajifanya kuwa nyuma ya wanachi,Wananchi Vichwa vikawaka,wakajua kuwa tunaowatetezi nyuma yao,kilichokea ni MASSACRE.

Maelfu ya watu wameuawa ndani ya siku Nne tu.wakati Mama na genge lake wameua na kuteka watu zaidi ya Mia tatu kwa kipindi cha miaka miwili. wametumia muda mrefu ila matokeo hafifu wakati Jw imetumia muda mchache zaidi ila matokeo significant.

KUNA WATAKAO MSAMEHE HUYU MAMA ILA DHAMBI YA JW IMEANDIKWA KWA KARAMU YA CHUMA.

RIP WASHIKAJI ZANGU,CHATI ZENU ZA MWISHO NITAZIHIFADHI HADI NITAKAPO IRUDIA ARDHI.
 
Hii dunia kusimama kwenye haki, ni mpaka kila mtu ashibe lakini kama itaendelea njaa baasi kila mtu atahofia kuukosa ugali wake.

Njaa inaweza ikakufanya ukasahau kuwa wewe ndiye mwenye pesa ya kununua unga, ukabaki kupiga goti kwa mtu anayekupa biscuit ambayo huwezi kushiba.
 
Sina cha kulaumu, walaumiwe ikiwa tu maandamano yalikua ya amani, ila maandamano yaliyojaa uhalifu ni ngumu kuyalinda, unamlinda vipi mtu anaevunja maduka ya watu na kuiba? Unamlinda vipi mtu anaharibu mali za watu na miundombinu?

Kila mtu akubali makosa yake.
 
Jw ikajifanya kuwa nyuma ya wanachi,Wananchi Vichwa vikawaka,wakajua kuwa tunaowatetezi nyuma yao,kilichokea ni MASSACRE.

Maelfu ya watu wameuawa ndani ya siku Nne tu.wakati Mama na genge lake wameua na kuteka watu zaidi ya Mia tatu kwa kipindi cha miaka miwili. wametumia muda mrefu ila matokeo hafifu wakati Jw imetumia muda mchache zaidi ila matokeo significant.

KUNA WATAKAO MSAMEHE HUYU MAMA ILA DHAMBI YA JW IMEANDIKWA KWA KARAMU YA CHUMA.

RIP WASHIKAJI ZANGU,CHATI ZENU ZA MWISHO NITAZIHIFADHI HADI NITAKAPO IRUDIA ARDHI.
Kama ulikuwa kwenye akili yangu.

Jw ni wanafiki pia ni waoga.

I wish waende vitani wakafe tu.
 
Naungana na wewe hawa watu sio wa kuaminika na wananchi wawe makini nao kabisa ile juzi jw ingekaza mapema tu shuhuli ingeisha kilichotokea waliwajaza watu upepo alafu wao wakakimbia

Matokeo yake wakaja kusaidia watekaji kuweka lockdown
 
Sina cha kulaumu, walaumiwe ikiwa tu maandamano yalikua ya amani, ila maandamano yaliyojaa uhalifu ni ngumu kuyalinda, unamlinda vipi mtu anaevunja maduka ya watu na kuiba? Unamlinda vipi mtu anaharibu mali za watu na miundombinu?

Kila mtu akubali makosa yake.
Wewe ni zaidi ya mpumbav ambaye umbaye una ubatizo wa shetani.

Akili zako ziko kwenye kinyeo, nini kilifanya wakakosa njia nyingine ya kudeal na violent demonistration mbali na kutumia marisasi?

Nakuonaga sana unatetea sana huu utawala dhalimu, ila kuna muda ujaribu kuwa na ubinadamu mbwa wewe
 
Wengine tuliwaonya na kuwaambia msiamini yale maneno ya sijui kina Tesha na Mange. Nilisema sana hadi wengine wakawa wananitukana.

Nimeamini mwanamke siyo mtu wa kumsikiliza. Huyo Mange bado anaendelea kufanya makosa yale yale ya kupokea maneno ya watu na kupost kama ndiyo ukweli bila kutafakari kwa undani huo ukweli. Watu wa propaganda nao wanapita humo humo maana wameshamsoma.
 
Back
Top Bottom