1/
Baada ya uchaguzi wa Oktoba 29 uliogubikwa na damu, hofu na tuhuma nzito za kukosa haki, Tanzania imejikuta ikipoteza imani ya mataifa na mashirika mengi ya kimataifa. Matokeo yake? Misaada na ushirikiano wa kifedha kusimamishwa au kupunguzwa.
2/
Badala ya serikali kuwa wazi kwa wananchi...
Ni Lazima Watanzania Wajue, nini maana ya HAZINA ya Dhahabu, umuhimu wake hasa katika Usalama wa NCHI kwa kuzingatia SIASA na Mabadiliko ya Kisera ya Dunia.
HAZINA ya Dhahabu, haitakiwi kamwe Kuuzwa kwa ajili ya Miundo mbinu, Huu ni ZAIDI YA USENGEE !!
Kwa akili ya Samia na Genge lake maana...
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni zikidai kuwa ina mpango wa kuuza sehemu ya hifadhi yake ya dhahabu kwa ajili ya kufadhili miradi ya kimkakati ya serikali.
Akizungumza mkoani Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Idara ya Masoko ya Fedha wa BoT, Emmanuel Akaro...
Baada ya MO29, Wanaharakati na CHADEMA walisisitiza kwamba lazima haki ipatikane na kuwe na uwajibikaji kutokana na matukio yote yaliyotokea kabla, wakati na baada ya uchaguzi.
Kampeni zikaanza ikiwemo za kukusanya vielelezo, kupinga tume feki ya Chande na kupeleka vielelezo vya kufungua...
1. Kuuza dhahabu yote is a bad move, kwa sababu mataifa yoye makubwa sasa hivi yananunua dhahabu kwa kasi kubwa kwa sababu ya kupotea thamani kwa fiat currency (pesa za karatasi). US ambae ni kiranja mkuu kila siku tunamuona Trump anahangaika kuiokoa dollar kwa sababu maji yamefika shingoni...
Je dalali ni nani?
Je atawekwa wazi?
Atakula bei gani?
Je kiwango atakacholipwa kitawekwa hadharani?
Nani katoa connection?
Atakula bei gani?
Je itauzwa kwa bei ya soko?
Je hakutakuwa na michezo ya upigaji? Kwenye bei, kwenye ujazo, kwenye idadi kwenye gharama za mauzo?
Hili ni dili la...
Migodi mingi imebakiza mashimo uwezi kuamini
Dhahabu ya Akiba inauzwa kwa Ajili ya miradi ya Maendeleo
Je UMESHINDWA KUFUNGUA MKANDA kwa kupunguza matumizi ya serikarini?!
Ukienda kila kwenye account ya social media ya vichwa wa CHADEMA wanajifanya kuchambua athari za nchi kuuza dhahabu.
Ukiwauliza maswali madogo madogo tu hawana majibu.
. Hawajui Tanzania tuna reserve ya dhahabu kiasi gani.
.Hawajui malengo ya Tanzania kuhifadhi dhahabu ni yapi.
.Hawajui kuwa...
Katika uchumi wa dunia akiba ya dhahabu ya nchi (National Gold Reserves) inatazamwa kama ngao ya mwisho ya uhuru wa kiuchumi. Taarifa kuwa nchi yangu Tanzania inapanga kuuza sehemu ya hazina yake ya dhahabu ili kufadhili miradi ya miundombinu imenistua sana.
Ni jambo linalopaswa kutafakariwa...
Uamuzi wa kuuza sehemu ya hazina ya dhahabu ya Tanzania si mpango wa kiuchumi. Ni tamko la kushindwa kwa dola. Ni kukiri wazi kwamba serikali imeshindwa kuendesha nchi kwa uadilifu, imeshindwa kudhibiti wizi, na sasa imeamua kuuza urithi wa taifa ili kuendeleza mfumo wa ulaji wa wachache...
1.Ghana
2.Mali
3.Burkinafaso
4.South Africa
5.Sudan
6.Guinea
7.Cote D'Ivoire
8.Tanzania
9.Zimbabwe
10.DRC
My Take
Tanzania ndio Nchi imenufaika na Utajiri wake wa dhahabu kuliko zingine hapo Juu
Soma zaidi hapa Africa’s top 10 gold-producing nations as prices hit record high - Businessday NG...
"Kupata hati ya kiwanja iwe kama kutafuta Tanzanite au Dhahabu nchi hi? Yaani mtu ambaye amekuja kuomba hati amefuata taratibu na kutimiza vigezo vyote vinavyotakiwa inakuwaje inamchukua miaka miwili kupata hati yake?" - Naibu Waziri wa Ardhi, Kaspar Mmuya...
Mkudha: Rais wa CAF asema Burna Boy alizuiwa katika uwanja wa ndege wa Morocco kwa sababu ya thamani ya vito vyake vya dhahabu
Rais wa CAF, Patrice Motsepe, anasema Burna Boy alizuiwa kwa muda mfupi katika uwanja wa ndege wa Morocco baada ya maafisa kuhoji kiasi cha vito vya dhahabu alichokuwa...
Wadau wa JamiiForums,
Nimekaa nimefikiri, nimegundua kuwa Waafrika, na hasa sisi Wabongo, tuna ugonjwa mmoja hatari sana: Ulemavu wa Fikra. Tunajisifia tuna rasilimali, tuna dhahabu, tuna almasi, tuna tanzanite, tuna mbuga... lakini bado tunapishana kwenye korido za benki za mabeberu kuomba...
Ripôti mpya iliotolewa na shirika SWISSAID imeonesha kuwa nchi ya sudan Kusini huzalisha tani 5 ya dhahabu kila mwaka, lakini hakuna dhahabu inayorekodiwa au kusafirishwa kwa njia halali, hii ikiashiria namna serikali imeshindwa kusimamia uchimbaji wa madini licha ya kuwepo kwa kanuni, hali...
Mtanzania Alphonce Felix Simbu ameshika nafasi ya kwanza na kushinda Medali ya Dhahabu katika mbio za Marathoni Kilometa 42.195 upande wa Wanaume katika mashindano ya Dunia ya World Athletics Championships 2025 akimshinda Mjerumani Amanal Petros.
Simbu ametumia Saa 2:09:48 akipishana na Petros...
Mfululizo wa Makala zangu za SIKU HAZIRUDI NYUMA.
Hapa namaanisha kile kikosi Shababy kabisa cha Cameroon. Mguu wa shingo mguu wa Roho.
“golden generation” ya Cameroon iliyotikisa dunia kwenye Kombe la Dunia 1990 (Italia) wakati wa Roger Milla na wenzake. Hicho ndicho kikosi kinachokumbukwa...
Kuna muda Huwa naona Bora GEITA ingekuwa ya wachaga si wasukuma huenda ingekuwa MBALI sana. Burkinafaso fujo zote Mali ,Ghana, afrika kisini kwa mbali fujo zote ni DHAHABU njoo nyumbani GEITA ujionee umaskini miundombinu Dunia dah.
Maana hao jamaa wanauelewa ila nyumbani huko ni ccm tu hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.