developer

  1. Nijosnotes

    JamiiForums Tanzania SoC01 Utofauti computer developer vs programmer vs coder [Kiswahili]

    Habari wana JF Leo nina mada fupi juu ya utofauti wa kazi za hawa watu watatu tajwa hapo juu kwenye kichwa cha habari katika sekta ya TEHAMA (Teknolojia ya Habari na Mawasiliano) . Mada hii itachochea wale ambao wanahitaji kuwa na uelewa wa maswala ya TEHEMA na pia kwa wale walio ndani ya...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Nahitaji developer (Web & App)

    Habari. Naitaji developer anayeweza kutengeneza e-commerce na app. Kuna project nataka tupige . Kama uko tayar nitumie namba yako ya whatsapp
  3. Cards Fantasy

    JamiiForums Tanzania Nahitaji App developer au kampuni ya kutengeneza App

    Habari za leo wanafamilia. Nahitaji App developer au company inayodeal na utengenezaji wa Apps. Nna mfadhili anataka kunipa support kwenye app yangu. Mimi ni Muanzilishi wa Kuku Care Tanzania. Tunauza herbs na spices Maalum za kutibu na kukinga magonjwa mbalimbali ya Kuku, kupandisha...
  4. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Renewable Explorer (Rex) – Senior Business Developer Renewables at Total

    Market analysis: Analyze key factors for the development of renewable projects in the market: Electricity market (regulation, price structure) Electricity demand (segmentation, location, growth) Electricity production (mix, emissions, production centers) Grid (age, quality, development...
  5. Mtangoo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The Beem Developer Challenge

    Leo nimepokea Ujumbe wa hii challenge. Binafsi sitapata nafasi ya kushiriki, nikaona ni vyema niwashirikishe wengine watakaokuwa na muda na wangependa kushiri. Naona kuna zawadi ya mpaka 3.5mil TZS. Sio kubwa lakini kwa mwenye muda na Passion fedha hii inatosha hata kununua vitu vichache...
  6. juutech

    JamiiForums Tanzania Junior Software developer Position

    Juutech Solutions is an uprising Tanzanian startup company that is aspiring to do great things. Currently, the company is looking for an ambitious junior developer to fill one post. Please see details below. Position: Junior Software Developer Qualifications: 1. Diploma or Bachelor degree in...
  7. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Katika harakati zangu za harusi nimepata idea ya App

    Ni katika wakati ambao nilikuwa nawaza ni kwa namna gani nitaweza kukusanya michango ya ahadi kutoka kwa marafiki zangu walio mbali au nje ya nchi kwa njia rahisi kwa shughuli hiyo na ndipo nikapata wazo la kutengeneza web App ambayo itakuwa ikifanya management ya weeding and kitchen party...
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mtu wa kuniongoza Kwenye Front End (Web Developer)

    Niaje Wadau? Nilikua Natafta Mtu anaejua Web Development Fresh Ani Guide ili niweze kuielewa fresh Nimeisha nunua course ya HTML & CSS Ya Brad Traversy Kwaiyo Nahitaji Mtu ambae yuko fresh awe ana niguide
  9. joma53

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnaonaje kuhusu hili developer?

    Hope mko poa! Me nimewaza kitu kimoja. (I'm not sure if someone else has already talking about that before). kwamba kwa Nini software and Apps developer wa Tz tukutane na kujoin together. then tuunde company ya ku build na kudevelop several types of softwares... maybe one-day tutaongezeka...
  10. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Regional LIMS Software Developer Manager at CIHEB

    Background The CIHEB 201 Regional Software Team is a specialized software development team with an international staff of 14 and growing. This dedicated group of software developers and computer scientists apply their expertise in building applications, architecting systems, and engaging users...
  11. NgimbaErick

    JamiiForums Tanzania Professional Wordpress Website Designing Service

    Hello, je umeanzisha Kampuni au Biashara mpya na unatamani kuwa na website itakayobeba kampuni au biashara yako? au unayo Kampuni au Biashara muda mrefu tu, lakini umekuwa ukitamani kuwa na Website ili kukuza unachofanya? Basi, naomba kusema kuwa nafasi ndio hii sasa, ya kubadilisha Biashara...
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania App developer wa Tanzania kuweni serious basi

    ninalazimika kuanzisha huu Uzi baada ya kupoteza muda wangu kudownload App ya dogo mmoja wa kitanzania inaitwa ILAPESA nikili dogo kaja na wazo zuri lakini namna alivyoharakisha kutengeneza app yake inawafanya walioidownload waache kuitumia au waifute kabisa kama nilivyofanya mimi App iko...
  13. mathsjery

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku hizi kila mtu anataka kuwa developer, yaani any form of developer! kwanini unajisumbua?

    Haswa kwa wanaume, ila wanawake mnajielewa sana pongezi kwenu. Basi siku za hivi karibuni kila mtu anataka kuwa developer, oh! si dhambi, lakini inagharimu muda, pesa na nguvu. Mtu anashida flani inayohitaji developer basi anajifanya mjanja mjanja huku anataka solution bila kughalimia...
  14. Noswerd malila

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Developer software engineers idea

    Habari ya muda huu wakuu Leo nimekuja na wazo ambalo tunaweza kulibadili na likaleta matokeo mazuri ambayo yatakuwa na matunda basi kama wewe ni Web Designer au developer ni PM tuweze kuelekezana
  15. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Software Developer Officer at Zanzibar Insurance Corporation

    Overview Zanzibar Insurance Corporation was established on the 20th June, 1969 under the Public Enterprises Decree of 1966 legal Notice no. 11 of 1969. It is now operating under the Public Investment Act No.4 of 2002. The Corporation is a Parastatal Organization owned by the Revolutionary...
  16. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Software Developer Officer at Zanzibar Insurance Corporation

    Zanzibar Insurance Corporation was established on the 20th June, 1969 under the Public Enterprises Decree of 1966 legal Notice no.11 of 1969. It is now operating under the Public Investment Act No.4 of 2002. The Corporation is a Parastatal Organization owned by the Revolutionary Government of...
  17. SECRET AGENT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Developers na wenye nia ya kujifunza changamkieni hii kitu (google Africa Developer Scholarship 2020)

    Grow with Google, Andela and Pluralsight have partnered to provide a new program to support software developers in Africa on Android, Google Cloud and Mobile Web skills development tracks. The aim of this program is to continuously engage with aspiring and existing developers to help them become...
  18. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Natafuta property developer atakaye endeleza jengo lenye apartment 4

    Habari zenu waungwana, shida yangu kubwa ni kwamba natafuta mtu mwenye kauwezo fulani ili adevelop kwa kurenovate jengo la ghorofa moja lililopo pahala pazuri kweli pana paking kubwa ya kupaki gari kumi mbele, kuna barabara safi ya lami Jengo likikarabatiwa litawezwaa kuishi familia 4. Karibuni...
  19. Aizi Azma

    JamiiForums Tanzania Nahitaji App developer

    Habari wanajukwaa, Nahitaji App developer ambae ana uwezo wa kutengeneza simple, functional news app. Kama wewe ndiye ninaemtafuta basi nicheki DM. Naomba kuwasilisha.
  20. Samedi Amba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Developer anayefanya sybmission ya kwenye playstore na appstore anahitajika

    Habari wanajamvi, Kuna wadau nimekutana nao hapa Ionic Woocommerce - Themes-Coder Wanafanya kazi nzuri sana. Sasa kuna mteja alitaka kusubmit app yake, na hana ios/playstore credentials. Sasa kama unaweza kusaidia katika hili, tuonane inbobo. Asanteni, na jumapili njema
Back
Top Bottom