Natafuta property developer atakaye endeleza jengo lenye apartment 4

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
18,653
20,989
Habari zenu waungwana, shida yangu kubwa ni kwamba natafuta mtu mwenye kauwezo fulani ili adevelop kwa kurenovate jengo la ghorofa moja lililopo pahala pazuri kweli pana paking kubwa ya kupaki gari kumi mbele, kuna barabara safi ya lami

Jengo likikarabatiwa litawezwaa kuishi familia 4. Karibuni sana kwa ushauri pia, likigeuzwa hostel ndio pesa chafu

SORRY KWA MAANDISHI YA MWENDO KASI MY BRAIN DOESNT WORK PROPERLY
 
Mkuu fafanua vizuri, lipo maeneo gani, kwa kukadiria litagharimu kiasi gani, mrejesho wa pesa kwa anayewekeza unakuwaje, na mkataba ukoje...ikiwezekana na picha ya jengo.

Au andika proposal ukakopee pesa bank, huku hilo jengo likiwa ndio dhamana......
Nb: wanaojenga viwanda na miradi mikubwa utumia hii njia
 
renovation need about 30mil,after renovation each apartment can be rented for not les than 450,000 to 500,000 and i want enter into a long term agreement
 
renovation need about 30mil,after renovation each apartment can be rented for not les than 450,000 to 500,000 and i want enter into a long term agreement
Apartment 4 x 500,000 x 12months = 24,000,000

Renovation = 30,000,000

2 years pesa imerudi unaanza kula faida, right?

Katafuta loan mzee baba, long term contracts zitakutesa..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom