Nahitaji developer (Web & App)

Josephat_657

Member
Apr 25, 2021
9
10
Habari.

Naitaji developer anayeweza kutengeneza e-commerce na app.

Kuna project nataka tupige . Kama uko tayar nitumie namba yako ya whatsapp
 
Japo ujasema quality za developer unaemtaka kwa experience yangu kwenye ecommerce ipo ivi lazima ajue ku code na kutengeneza rest api hii itasidia kwenye development ya app hautatumia nguvu njingi ku filter data kwenye website na ku ziweka kwenye app. Pia atakusaidia kufanya integration ya system za payment kama mpesa na mambo ya kadi pia mifumo ya currency exchange unakuta user anataka bei bidhaa ziwe kwenye usd au ils. Pia ajue kutumia git na github. Pai ajue moja kati ya AWS an Azure ya microsoft. Kati ya changamoto ya ecommerce in security fanya ufanyavyo website iwe coded juju ya framework (recommended Django, ruby on rails) backend alafu atapendeza kama front end mtatumia js framework kama react au vue

Lkn ku code ecommerce inabidi uwe na moyo wa uvumilivu aise , sometime una fikiri hadi kichwa unahisi kinapasuka
 
We binadamu nakutaka zamia pm fasta sana, fanya Kama unaogelea hivi
 
Hivi mtu wa design hii inapatikana kiurahisi? Kama yupo kuna jamaa wana mtafuta kwa udi na ubani
 
Tupo tumejaa hata hapa jf wapo wengi tu, shida nikwamba wengi wetu tupo tayari tunafanya kazi. Labda option zilizopo ni weekends and kufanya remotely
 
Back
Top Bottom