dereva

  1. JamiiForums Tanzania Kuna Video iliyokuwa ikionesha Polisi/traffic wa Inyala, Mbeya wakimshusha kwa nguvu dereva wa lori. Polisi wadai amekufa kwa homa ya mapafu

    Salaam wakuu, Kumekuwa na video mitandaoni ikionesha polisi/traffic wa Inyala, Mbeya wakimshusha kwa nguvu dereva wa lori na kumuangusha chini, na baada ya hapo imeripotiwa dereva huyo amefariki. Tunaomba mamlaka husika itolee majibu sintofahamu hii, na ni nini kinachopelekea matumizi ya nguvu...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Spika, jinsi wabunge wanavyoiba/kufisadi pesa za walipa kodi wanazopewa kama mishahara ya makatibu, wahudumu na dereva wa mbunge

    Mh. Spika simamia ajira za wasaidizi wa Mbunge kuondoa ubinafsi, uchoyo na ufisadi. Wabunge wengi hawalipi mishahara kamili kama inavyotoka bungeni. Watumishi hao ambao ni watatu, Katibu, Dereva na Mhudumu wa ofisi hawapewi mikataba ya kazi na wabunge kinyume na agizo la Bunge. Wasaidizi hao...
  3. JamiiForums Tanzania Madereva wa mijini hasa Dar (kwenye lami) vs madereva wa mikoani (rough road )

    Kuna watu hujiita ni madereva na wapo hapa mjini kweli kwa mjini wanatesa sana na wanaendesha vizuri na control wanayo, Lakini ukija kwenye madereva wa mikoani hasa wale wanaotumia barabara za rough kiukweli wana uzoefu mkubwa mno i mean next level, hii n kutokana na changamoto wanazokutana...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Dereva wa Basi mlilopanda mkiona anaendesha vibaya huku akiwaambia ataongeza Spidi zaidi hadi mkome jueni Maafa yanakuja

    "Katika miaka hii mitano nitakuwa mkali ninyi, kwa sababu sihitaji kupigiwa kura wala sigombei tena Urais. Katika miaka hii watakoma wasaidizi wangu. Ambao hawahitaji kuwa mawaziri au wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya ni afadhali waachie."- Rais Dkt. @MagufuliJP mkoani Kagera. Sasa All - Rounder...
  5. JamiiForums Tanzania Wasomi jifunzeni kwa dada Mwasu, dereva wa bajaji msomi mwenye shahada mbili

    Tofauti na mawazo ya wengi kuwa ukisoma hadi chuo kikuu lazima uajiriwe, Mwasu Mavere ameonyesha upande mwingine wa shilingi, kwamba unaweza kujiajiri na kufanikiwa zaidi. Licha ya kuwa na shahada ya uzamili kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), yeye ameamua kuwa dereva wa pikipiki ya miguu...
  6. JamiiForums Tanzania TRA yampiga faini ya 3,500,000 dereva kisa kapakia tenga 27 za nyanya

    Siku chache zilizopita niliandika kueleza ugandamizwaji unaofanywa na TRA uliomuhusu dereva mmoja wa semi ambae alipigwa faini ya 3,000,000/= kisa kapakia tenga 20 za parachichi na alipoulizwa risiti ya transport hakuwa nayo kwani mzigo ule haukuhusu ofisi,ilikuwa ile kawaida ya madereva...
  7. JamiiForums Tanzania Afisa LATRA aliemtishia dereva lori panga asimamishwa kazi (+video)

    Mamlaka ya Udhibiti usafiri Ardhini LATRA imemsimamisha kazi Afisa wake kutoka Mkoa wa Lindi ambaye video yake imesambaa mtandaoni akimshikia silaha aina ya panga dereva wa lori lenye namba ya usajili T412 DNN kilichotokea tarehe 11/11/2020. Mkurugenzi Mkuu wa LATRA, Gilliard Ngewe amesema sasa...
  8. JamiiForums Tanzania Lindi: Mtumishi wa LATRA amtishia sime dereva wa lori ili ampe leseni

    Emmanuel Manase, Mtumishi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (LATRA) alimtolea sime dereva wa lori akimtaka ampe leseni yake. Tukio hilo limeonekana kuwa na ugomvi mkubwa na baadae mtumishi huyo aliamuru dereva aandikiwe faini ya Tsh. 500,000 ili kumkomoa. Umoja wa Wamiliki wa Mabasi...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva

    Husika na kichwa cha habari hapo juu,heshima zenu wote poleni na majukumu ya hapa na pale. Natafuta gari hesabu /mkataba Uber/Bolt/Ping/ hata kumuendesha mtu binafsi /kampuni napatikana Dar es Salaam vigezo vyote ninavyo pamoja na vyeti vya ufundi. Nitashukuru kama nitasaidiwa 0716-326162...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Udereva Uber, Bolt, Ping nk

    Husika na kichwa cha habari hapo juu,heshima zenu wote poleni na majukumu ya hapa na pale. Natafuta gari hesabu /mkataba Uber/Bolt/Ping/ hata kumuendesha mtu binafsi /kampuni napatikana Dar es Salaam vigezo vyote ninavyo pamoja na vyeti vya ufundi. Nitashukuru kama nitasaidiwa 0716-326162...
  11. JamiiForums Tanzania Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?

    Wanabodi Hili ni bandiko la maswali kwa Tundu Lissu na dereva wake, kufuatia shambulio la Lissu, "Shambulizi la Lissu, wanaomdhania dereva anahusika, sio wajinga!, wana hoja za msingi!" Swali ni Jee Dereva Anahusika? Si maanishi kuwa dereva wa Lissu anahusika, bali mazingira ya tukio...
  12. JamiiForums Tanzania Dereva na konda wanusurika kichapo baada ya kuwanyima abiria raha ya Flyover

    Juzi siku moja baada ya uzinduzi wa barabara ya juu kuna daladala ya kutokea Makumbusho kwenda Buguruni ilileta tafrani baada ya konda kumwambia dereva asipite flyover ili ajazie abiria pale kituo cha mafuta cha Oilcom iliyo pembeni ya flyover. Dereva kama kawaida yao wanatumiaga akili za konda...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Dereva wa Bajaji anahitajka

    Heshima zenu wakuu, natafuta dereva wa Bajaji ambaye amejiunga Uber na Bolt kwa ajili ya biashara ya Bajaji. Awe mkazi wa dar maeneo ya Tabata, Mwenge, Msasani, Mikocheni au Kawe au maeneo ya karibu. Dereva awe na leseni, kitambulisho Cha taifa, barua ya utambulisho na pia awe mchapakazi hasa...
  14. JamiiForums Tanzania Nimewaza Ujinga: Kwanini magari yasigome kuwaka mpaka dereva atakapochomeka leseni yake na funguo kwa pamoja?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Kwanini kusiwe na mfumo ambao utawezesha, licha ya kwamba engine imewashwa kwa funguo, lakini bado gari itagoma kuwaka mpaka utakapochomeka pia leseni yako ya udereva? Yaaani kunakuwa na direct contact baina ya...
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta kampuni ya usafirishaji au dereva wa kusafirisha vitu vya ndani

    Natafuta kampuni au dereva anihamishie vitu kutoka Dar kuelekea Mafinga na vitu vya ndani kitanda kabati etc...kwenye tar 26 au 270 mwezi huu. Kama unainua kampuni au ww ni dereva ni PM contacts zako nkutafute. Aksanteh
  16. P

    JamiiForums Tanzania Dereva wa uber natafu gari ya kazi iwe hesabu au mkataba

    Mimi ni dereva wa uber natafu gari ya kazi iwe hesabu au mkataba pia nina account ya uber na leseni namba yangu ni 0764254637
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta dereva wa magari ya mzigo anayekwenda Kenya Nairobi

    Habari wadau!, natafuta dereva wa magari ya mizigo anayekwenda kenya,ambaye anayeweza kunichukulia mzigo wangu kidogo kutoka nairobi kuleta Tz,anitext +255687234549,tutaelewana.
  18. JamiiForums Tanzania Dodoma: Tundu Lissu afuata gari lake lililoshambuliwa ofisini kwa RPC Muroto. Ashangaa hadi sasa hajahojiwa yeye na Dereva wake

    CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA Mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya CHADEMA, Mh. Tundu Lissu, leo ametembelea Ofisi ya Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma kwa lengo la kuchukua gari lake ambalo limehifadhiwa na Jeshi la Polisi Mkoa huo jaribio la mauaji...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Ratiba ya Tundu Lissu kurudi ni ile ile na tarehe 28 atakwenda msibani

    Hayo yamesewa na Mhe. Mnyika kupitia mtandao wa twitter. Taafika kamili ya chama kwa umma:
  20. JamiiForums Tanzania Angellah Kiwia na dereva wahukumiwa kulipa 800,000/-

    MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu mwandishi wa habari, Angellah Kiwia na dereva Mohamed Rushaka, kulipa faini ya Sh. 800,000 au kwenda jela kutumikia kifungo cha miaka miwili gerezani baada ya kukiri na kutiwa hatiani kwa kosa kujipatia pesa kwa njia ya vitisho. Kadhalika washtakiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…