Salaam Wakuu,
Naona LATRA imeamua kula sahani moja na Madereva, Safari hii itakuwa kumbakumba nguo kuchanika.
Ipo hivi;
Kuanzia mwezi wa nne 2026, kama wewe ni Dereva na haujajisajili LATRA, Au unenunua vyeti feki, Madereva mnaonunua barua za uhakiki na hamna vyeti, madereva wanaonunua...
Nimetumiwa hii clip ikazidi
Kunishangaza,maana kuna madereva bado hawajifunzi sijui ni ukichaa
Ujuaji mwingi !
Mtu unaona kabisa kuna mafuriko kuna hali ya hatari wewe unapitisha chuma hapo!
Kwa wenzetu uzoefu wangu nnayoonaga mfano snow(barafu)likiwa kali mpk barabara inakuwa kama kioo...
Dereva bajaji kwa mkataba anahitajika
1.Awe anaishi na kufanyia route Kigamboni
2.Awe na mdhamini mwenye makazi ya kudumu
3.Awe na leseni
4.Awe anafanya bolt
5.Awe mchapakazi na mwaminifu
Mawasiliano:0757208745/0617984818
Hello GT..
Nina swali hivi dereva wa Ssebo anaweza kufungulia mashtaka ? Badala ya kumpeleka jamaa hospitali yeye alifanya maombi. Yaani dizaini kama aliharikisha kifo cha jamaa.
Madereva wa bajaji na bodaboda ni moja ya kundi lenye madereva ambao wamekuwa wakilalamikiwa sana kwa kukosa utulivu barabarani.
Wengine huendesha kwa pupa kukimbizana na pesa, wengine kwa fujo kuonekana maridadi mbele ya wenzao, wengine hawazijui kabisa sheria za barabarani wanaingia kwa...
Kuna tetesi kuwa baadhi ya Wabunge wetu huwa wana kawaida ya kuwanyonya madereva wao kwenye suala la mishahara kwa kuwa inapitia kwao Wabunge.
Nashauri kama inawezekana mshahara wa dereva upite moja kwa moja kutoka Bungeni uingie kwenye account ya dereva.
Ipo hivi mshahara na posho ya dereva...
Kesi ya rufaa ya raia wa ufaransa mwenye asili ya Rwanda anayekabiliwa na tuhuma za mauaji ya kimbari imefunguliwa Jumanne katika Mahakama ya Assize ya Paris.
Claude Muhayimana alipatikana na hatia mwaka 2021 kwa kosa la kushiriki katika mauaji ya kimbari na uhalifu dhidi ya binadamu, na...
Kijana dereva wa bodaboda anayefahamika kwa jina la Brown Anthony ameibua gumzo kubwa miongoni mwa wananchi baada ya kufanikiwa kusafiri kutoka jijini Mbeya hadi Dar es Salaam kwa kutumia pikipiki aina ya Boxer 150 HD yenye namba ya usajili MC 473 FKT, ndani ya saa 10, safari iliyoanzia kwenye...
Dereva wa Kampuni ya Usangu ametekwa huko Kongo.
Kwanini Serikali ya Tanzania inakalia kimya hivi vitendo? Kazi kutangaza Bandari ya Dar, lakini Watanzania wakitoa mzigo Dar kupeleka Congo, hawarudi na hakina anaye jali. Je, Makubaliano ya Tanzania na Kongo yapoje kibiashara?
🚘 DEREVA WA KUAMINIKA ANAYEPATIKANA ARUSHA 🚗
Naitwa James, mwenye umri wa miaka 34.
Nina leseni daraja A, B, D na E, na uzoefu wa zaidi ya miaka 10 katika kazi ya udereva wa magari binafsi na ya kibiashara.
✅ Uzoefu wa safari ndefu na mijini
✅ Naweza kwenda mikoa mbali mbali pia
✅ Ujuzi wa...
Hili swala la askari wa barabarani kumpiga faini dereva haliko sawa kwani anakuwa amemhukumu dereva wakati yawezekana mahakamani angeshinda kesi.
Ni vyema sasa mtu afikishwe mahakamani aitwe ajitete kwanza ndipo mahakama itoe adhabu kinyume na hapo ni wizi serikali inafanya kwani makosa mengi...
Wakuu mama mkuu/superior wa Shirika La Wakarmeli Duniani Sista Lilian Kapongo na Wenzake wanne Wafariki Dunia Leo Sasa Tano asubuhi wakielekea airport Kwa safari ya Dar es salaam.
-----
TANZIA:
Waheshimiwa Mapadre, Shemasi na Watawa wote Jimboni,
Kristo,.......
Kwa masikitiko makubwa, muda...
Habarini Wana jamii forum.
Kwa majina naitwa JOSHUA E JAMES, Mimi ni Dereva kwa mda mrefu Sasa nikibezi kwenye upande wa gari ndogo za watu. Nimekua nikifanya KAZI kwenye office mbalimbali kama Dereva wa office kwa Ajira ya kuendesha ma Boss, pia nimekua nikiwaendesha watu Binafsi/ Dereva wa...
Habari Wakuu,
Nipo Dar es salaam
Ni Dereva
Natafuta gari ndogo ya hesabu (bolt) kwa week.
Mwenye nayo tafadhali naomba unitafute nina uhitaji sana.
0766445556
Kwanini mtu hata akiwa upande wa abiria wa gari ili aende upande wa sterling ni lazima ashuke azunguke?
Kwani kuna ugumu gani kukatiza hapo kati ukatua upande wa kuendeshea gari?
Watu wawili wanaodaiwa kuhusika na mauaji ya kijana mmoja, jinsi ya kiume ambaye awali hakutambuliwa huku kiwiliwili chake kikiwa kimetenganishwa na kichwa chake kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali (panga) na kupelekwa kusikojulikana, wameuawa baada ya kushambuliwa na wananchi wenye hasira kali...
Baadhi ya wateuliwa wa nafasi ya Ubunge leo kupitia ccm ni wana familia wa familia maarufu hapa Tanzania.
Ni kama wanasubiria muda waende na madereva wao wa VX LC 300 kwenda kuapishwa Dodoma.
Chama kina wenyewe na wenyewe hawana kelele huku mitandaoni.
DJ naomba kibao cha “Kalayi boeing”...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.