demokrasia

  1. JamiiForums Tanzania Video: Mambo muhimu aliyofanya Hayati Benjamin Mkapa kuimarisha Demokrasia nchini

    Benjamin William Mkapa akiwa Rais wa Tanzania, aliweka mkazo katika mambo sita (6), yafuatayo; ‬ ‪1. Lengo la demokrasia ni kurejesha nguvu na madaraka kwa wananchi kutoka katika mikono ya watawala.. ‬ ‪2. Demokrasia ya uwakilishi inatakiwa kutupatia viongozi wanaoamua kwa niaba yetu na...
  2. JamiiForums Tanzania Wananchi Tumekuwa Spectators Katika Nchi Yetu – Hii Ni Dhihaka Kubwa Kwa Demokrasia Yetu!

    Kweli tumefika pabaya! Tumepunguzwa hadhi mpaka kura yetu imegeuzwa kuwa kama ritual tu ya kufurahisha watawala, bila thamani ya kweli. Wananchi tumeonekana wajinga, tumetupwa pembeni kana kwamba hatuna akili za kupambanua nani anafaa kutuongoza. Hivi kwanini kura yangu – kura yako – iwe treated...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Wakili mzungu hawezi kutetea demokrasia inayoliliwa na CHADEMA

    Wakati Mwl. Julius K. Nyerere anaongoza mapambano ya kuwaondoa wakoloni nchini, lengo kuu lilikuwa Tanganyika ijitawale na haswa kutimiza ndoto yake ya kuliunganisha bara la Afrika kuwa kitu kimoja ili tuwe na nguvu kiuchumi na kiulinzi dhidi ya nchi za ulaya na kwingineko duniani. Wakoloni...
  4. JamiiForums Tanzania INEC iliundwa ili kuhakikisha chaguzi zetu zinakuwa za Haki, Huru na zakuaminika

    Rais Samia ametunga sheria mbalimbali kuimarisha demokrasia nchini ikiwemo sheria ya tume huru ya uchaguzi ili kuhakikisha chaguzi zinakuwa za haki,huru na za kuaminika. Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 imeitambua demokrasia na haki kama nguzo muhimu na ya msingi katika utekelezaji wa maono...
  5. JamiiForums Tanzania CCM na Ukatili wa Kimfumo: Taifa Linalozama Katika Giza la Haki Kukanyagwa, Raia Kudhalilishwa na Demokrasia Kugeuzwa Kichekesho

    TUMECHOKA! Kwa herufi kubwa kabisa. Tumechoka kunyanyaswa, tumechoka kuonewa, tumechoka kuishi kama watumwa kwenye nchi yetu wenyewe ilhali tunaambiwa tuna Uhuru wa kuishi, kuongea, na kuamua. Kwani ninyi wa CCM, mko made of what? Si ni binadamu kama sisi? Au damu yenu ni dhahabu na yetu ni...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Dira 2050 na demokrasia, haki na uhuru

    Hii ni moja ya Misingi Mitano inayoongoza kwenye Dira 2025. Kila mtu afurahie uhuru, ulinzi wa Maisha yake na haki zote za msingi zilizowekwa kikatiba, zinazosimamiwa na mahakama zilizo huru, zinazozingatia makundi yote ya Jamii wakiwemo wanawake, vijana, watu wenye ulemavu na wazee.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Dira ya 2050 inaanza kwa kujidanganya!!!! eti kuna demokrasia na uhuru wa mahakama!!!!

    Hapa Mbowe kasema ukweli https://youtu.be/lJ_VHuVjKnc?si=MhaK0MDr-HUhBDeW
  8. JamiiForums Tanzania Mbowe: Nimealikwa Dira 2050 kama Mtanzania, nina haki ya kuja, tuache unafiki

  9. JamiiForums Tanzania Dira ya taifa ya maendeleo 2050 bila Haki, Demokrasia na Katiba mpya ni uchafu mtupu

    Haijarishi tutakuwa na mipango ya namna gani au dira ya namna gani, kama mifumo ya nchi yetu itaendelea kuminya haki za watu, kuua Demokrasia na kuwepo kwa katiba hii ya sasa ambayo ni mbovu kupita maelezo, dira ya maendeleo ya taifa ya 2050 itabakia kuwa ni UCHAFU mtupu. Watanzania wa sasa...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Mbowe Aibuka Dodoma Uzinduzi wa Dira ya Taifa ya 2050

    Mwenyekiti mstaafu wa Chadema, Freeman Mbowe aibukia kwenye Uzinduzi wa Dira ya Taifa katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
  11. JamiiForums Tanzania Uchungu wa Polepole kuhusu Haki, Demokrasia na Utawala bora unatoka wapi?

    Hivi karibuni ndugu Polepole baada ya kujiuzuru ubalozi ame-trend sana na kujipatia maujiko (umaarufu) kuwa ni mpigania haki, demokrasia na utawala Bora. Swali la kujiuliza ni kweli Polepole ana uchungu na mpigania haki, demokrasia na utawala Bora???. Hebu tujiulize maswali mengine haya tena...
  12. JamiiForums Tanzania Mjadala halisi wa wabunge la Ulaya kuhusu demokrasia za Afrika

    Hapa unaweza kujionea mwanzo mwisho wa kilichodiliwa jana kuhusu demokrasia za nchi zetu. https://www.youtube.com/live/UKi9Fg-SmT8?si=kWlHqF6ElFu-bIDb
  13. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wangu UTV Azam media- juu dhana ya viongozi wengi Afrika kusalia madarakani kwa muda mrefu kwa kofia ya demokrasia na namna

    https://youtu.be/DfwL5QaP64Q?si=VfdAw3erDx0hThYP Uchambuzi wangu UTV Azam media- morning trumpet juu dhana ya viongozi wengi Afrika kusalia madarakani kwa muda mrefu kwa kofia ya demokrasia na namna wanavyo itumia kofia hiyo vibaya ili kujitajirisha...
  14. JamiiForums Tanzania Polepole kaonyesha kivitendo maana ya Demokrasia: Usipokubaliana na Kiongozi wako, unajiuzulu!

    Balozi Polepole kaonyesha kivitendo maana halisi ya Demokrasia. Hakutaka kuwa mtu mnafiki, kucheka usoni lakini hukubaliani na yanayotokea hadharani kisiasa. Kaonyesha kuwa UCHAWA NI DHAMBI ya nafsi. Kujiuzulu kwake Polepole kutamjengea heshima in the long run. Bila kuonyesha sababu zake za...
  15. JamiiForums Tanzania Mfumo wa Uteuzi wa Wabunge ndani ya CCM unatoa changamoto kubwa, Rushwa na hauna haki katika kujenga demokrasia ya kweli nchini Tanzania

    Katika mfumo wa siasa za Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kina nafasi muhimu katika mchakato wa uteuzi wa wabunge. Mfumo huu unatoa picha ya jinsi siasa za nchi zinavyoweza kuathiriwa na muundo wa chama, hasa katika muktadha wa uwakilishi wa wananchi. Katika mchakato huu, kamati za siasa za...
  16. JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari Kimataifa: Balozi wa Tanzania nchini Cuba kajiuzulu kuonyesha Kupingana na Uminywaji wa Haki na Demokrasia Nchini humo!

    Wakuu, Kama Kuna Jambo Polepole kalifanyia Taifa hili, na Atabakia kwenye Historia ya Watu Muhimu nchini, ni Hilo la yeye kujiuzulu. Sasa hapa ieleweke, Tatizo sio yeye kujiuzulu, NI TITLE YAKE 'BALOZI' ...yaan BALOZI alochaguliwa na Rais, kajiuzulu. Vyombo vya Habari Kimataifa, Mashirika ya...
  17. JamiiForums Tanzania Watu watano waliohusika pakubwa zaidi kumsaidia Magufuli kuharibu demokrasia ya Tanzania

    Utazunguka kokote ila hawa ndio walikuwa mstari wa mbele na jiwe muda wote kuturudisha kwenye chama kimoja. 1. Bashiru Ally 2. Polepole 3. Ndugai 4. Makonda 5. Afande Sirro Historia ya Tanzania mpya itakapoandikwa hawa watano hawatakosekana kama sehemu ya wawezeshaji wakuu wa utawala wa giza wa...
  18. A

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA mjifunze demokrasia hii ya CCM upatikanaji wa wagombea

    Nimepitia baadhi ya majina yaliyopitishwa na CCM hakika chama kimeonesha ukomavu wa kidemokrasia wa hali ya juu na ya kupigiwa chapuo na kila mpenda demokrasia awaye yoyote. Chama kimekomaa na ndio dhana kubwa kuwa CCM ni chama kikubwa ndani ya TZ Pamoja na nje ya bara la Africa na duniani...
  19. JamiiForums Tanzania Pamoja na Mazuri yake Hayati Magufuli ndiye aliyepanda Mbegu Mbaya sana ya kuua Demokrasia Nchini

    GT. Haya tunayoyana sasa ni mwendelezo wa ukandmaizaji uliopitiliza kuanzia awamu ya tano iliyoamini katika chama kimoja. Kwenye demokrasia Kikwete hatuwezi kumlaumu sana japo ufisadi ulimshinda. Uhuni unaotendeka sasa hivi ni matokeo ya 2020 aliyopanda Hayati Magufuli.. No reforms no election.
  20. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Witara akimwaga machozi baada ya kuliwa kichwa na wajumbe

    Waitara analia. Magufuli hayupo Wajumbe wamemla kichwa tayari
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…