demokrasia

  1. JamiiForums Tanzania Dodoma: Pamoja na katazo la Kiongozi wao, Wabunge kadhaa wa CHADEMA wakiwemo Silinde na Lijualikali wahudhuria bungeni

    Wabunge wawili wa Chadema, David Silende (Momba) na Peter Lijualikali (Kilombero) wamehudhuria bungeni leo licha ya chama chao kuwataka wabunge wake kutohudhuria vikao vya Bunge ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona Mbunge wa Kilombero (Chadema), Peter Lijualikali, Hivi karibuni...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Demokrasia: Maana, misingi yake na faida kwa jamii

    Hivi Tanzania tuna misingi ya demokrasia? Tangu kuingia mfumo wa vyama vingi Tanzania hadi sasa kumekuweko kweli na mazingira huru ya harakati za vyama vya kisiasa? kama kama kweli kwa nini upinzani umeshindwa kuitoa CCM? ======== Demokrasia (kutoka neno la Kigiriki δημοκρατία, dēmokratía...
  3. JamiiForums Tanzania CHADEMA yasitisha mikutano yote ya hadhara iliyopangwa kuanza Aprili 4 kutokana na tishio la Corona

    Muda huu mh. Mbowe anaongea na waandishi wa habari kuhusu ugonjwa wa corona Updates Kama chama mwenyekiti ametangaza kusitisha shughuli za mikutano hapo April waliotangaza kuianza baada ya muda kutokana na katazo batili la mh. Rais
  4. F

    JamiiForums Tanzania Video: Obama aiponda demokrasia yetu

    Ushindi wa 90% huku watu wakiwa wamezibwa midomo? Asema ni mchezo wa kuigiza.
  5. JamiiForums Tanzania Ni wazi sasa kuwa demokrasia inapigwa vita Tanzania

    “Mnazunguka huko duniani, mnaenda ulaya mnacheka cheka mnapewa na vitiketi vya uwongo unakuja hapa mnakuja kukuta maendeleo ya nchi, baadhi ya mataifa mengi yaliyokuwa yakiendelea yameuawa na neno Demokrasia,”- RC, Paul Makonda.
  6. JamiiForums Tanzania Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

    Serikali ya Marekani imemzuia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuingi nchini humo kutokana na kuhusika kwake kwenye uvunjifu wa Haki za Binadamu unaohusisha kunyima haki ya kuishi, uhuru na ulinzi wa watu. Katika uongozi wake, Makonda ameonesha uonevu kwa wapinzani, kuminya uhuru wa...
  7. JamiiForums Tanzania Bunge la Senate lapongeza zuio la Paul Makonda kuingia Marekani. Lasema huo ni mwanzo wa kuwawajibisha walioua demokrasia ya Tanzania

    Siongei sana
  8. JamiiForums Tanzania Utafiti kuhusu mitandao ya kijamii na demokrasia

    Salama wakuu, Wakuu wana JF, Tunafanya utafiti kuhusu Mchango wa mitandao ya kijamii kwenye demokrasia Tanzania. Lengo la utafiti huu ni kutafuta taarifa zitakazojibu maswali mbalimbali kuhusu uhusiano wa mitandao ya kijamii na demokrasia. Maswali yanayohitaji kupatiwa majibu ni pamoja na...
  9. JamiiForums Tanzania ACT - WAZALENDO kuanza ziara nje ya nchi ili kuihami demokrasia ya Tanzania

    Viongozi wa ziara hiyo inayoanza mara moja ni Zitto Kabwe na Nassor Mazrui , ambao wamepanga kuonana na watanzania walio nje ya nchi pamoja Mabeberu ili kuzuia ukandamizaji wa demokrasia nchini Tanzania ambao umefikia kiwango cha kutisha . Watanzania wote makini wako tayari kuthamini mchango wa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Bashiru Ally sio mwanasiasa ni mnunuzi na mkomunisti asiyependa demokrasia

    Yaani wakati wa kinana kidogo ulikuwa unaona kabisa kuna sera za kukampeni na wabunge na wagombea wengine walikuwa wanashindana na kishinda na kushidwa. Sasa huyu Profesa ambaye hajui, hapendi na wala si mwana siasa sera yake ni kupambana na viongozi wa uchaguzi kuzuia wagombea, kuingiza wakuu...
  11. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Salamu za sikukuu ya Noeli na Mwaka Mpya kwa wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)

    Kwa viongozi, wanachama na wafuasi wa Chama chetu na Watanzania wote kwa ujumla, PEOPLE'S Naomba nianze kwa kuwapa salamu za msimu huu wa Sikukuu ya Noeli na kuwatakia kila lenye kheri katika Mwaka Mpya unaokuja. Pili, naomba kuwapongeza kwa kukamilisha Uchaguzi Mkuu wa Chama chetu katika...
  12. JamiiForums Tanzania Katika taifa la 'Kidemokrasia' na lenye 'Hazina Kubwa' ya Viongozi, kuna ulazima gani wa Kiongozi wa taifa hilo kuongezewa muda wa madaraka?

    Salamu! Katika taifa linalo jinasibu kuwa ni la 'Kidemokrasia' na pia lenye 'Hazina Kubwa' ya viongozi (wa kila rika na jinsia), kuna ulazima ama umuhimu gani kwa kiongozi wa taifa hilo kuongezewa ukomo wa muda wa kukaa madarakani? Nafahamu kuna watakaosema kuwa "kama wananchi wanahitaji...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Dr. Lwaitama: Sera pacha ya Demokrasia na Maendeleo

    December 11, 2019 Dar-Es-Salaam, Tanzania Mada : Sera pacha ya Maendeleo ya Watu na Maendeleo ya Vitu Dr. Azaveli Lwaitama akizungumza na wazee wa CHADEMA ameainisha jinsi sera pacha ya Demokrasia na Maendeleo inavyoshika kasi ushawishi miongoni mwa watu-huru. Sera hii pacha ina kwenda...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Rais leta maridhiano ya Kitaifa, sisi CHADEMA tuko tayari

    Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amemtaka Rais Magufuli kuleta maridhiano ya kitaifa na kwamba yeye na chama chake wamenyoosha mkono wa mapatano. Ifuatayo ni Hotuba Fupi ya Kiongozi Mkuu wa Upinzani nchini Tanzania Freeman Aikael Mbowe mbele ya Watanzania katika kuadhimisha miaka 58 ya...
  15. JamiiForums Tanzania Demokrasia ya vyama vya upinzani nchini vingi kama sio vyote inatia shaka na ukakasi

    Demokrasia ya vyama vyetu vya upinzani hapa kwetu inatia mashaka sana maana vyote vimekuwa vinahubiri yale wasiotenda wala kuyafanya katika vyama vyao. Vingine tena vimekuwa sio tena vyama vya upinzani bali vyama vya kiharakati maana wameshindwa kutofautisha ule mstari unawagawa kati yao...
  16. JamiiForums Tanzania Mzee Frederick Tluway Sumaye ajiondoa CHADEMA. Asema mambo yamembadilikia CHADEMA baada ya kuchukua fomu kugombea Uenyekiti Taifa

    Frederick Sumaye ameita waandishi wa habari leo Jumatano Desemba 4, 2019. Sumaye ameitisha mkutano huo siku chache baada ya kushindwa uchaguzi wa uenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani. Licha ya kuwa mgombea pekee, alipigiwa kura 48 za hapana kati ya kura 76. Kulingana na taratibu za chama hicho...
  17. JamiiForums Tanzania Nadharia ya demokrasia ndani ya CHADEMA na ukomo wa kipindi cha Uenyekiti

    Ni kiherehere changu tu kujiuliza swali la kimsingi kabisa la demokrasia ndani ya CHADEMA. Mimi si mwanachama wa chama hiki cha upinzani lakini ndio chama rasmi kinachoongoza kambi ya upinzani bungeni. Sasa hivi CHADEMA wamo katika mchakato wa uchaguzi ndani ya chama na kati ya vinyang'anyiro...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Kwa uhalifu wa demokrasia unaofanywa na CCM, bado kinastahili kuitwa chama cha siasa?

    Sote tumeshuhudia uvuruga wa demokrasia unaoendelea nchini chini ya usimamizi wa CCM. CCM imesimika sheria za kiimla na za kidikteta ambazo hata wakoloni hawakutunga sheria za kihalifu za kiwango kikubwa kiasi hiki. Sote tumeona kwa macho na tumesikia kwa masikio katibu mkuu wa CCM akiikana...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi ahudhuria hafla ya uzinduzi ripoti ya BBI nchini Kenya inayopendekeza uwepo wa cheo cha Waziri Mkuu na Kiongozi wa Upinzani Bungeni

    Waziri wa mambo ya nje Prof. Kabudi amehudhuria hafla ya uzinduzi wa ripoti ya Building Bridge Initiatives (BBI) nchini Kenya ambayo imehudhuriwa na viongozi wote wakuu wa Jamhuri ya Kenya. Miongoni mwa mapendekezo ya BBI ni haya: 1. Uwepo wa cheo cha Waziri mkuu ambaye ni lazima awe Mbunge wa...
  20. JamiiForums Tanzania Nzega: Rais Magufuli asema Demokrasia imeimarika sana nchini ndio maana wengine walijitoa kwenye uchaguzi, wengine wakashinda na kushindwa

    Aman iwe juu yenu wakuu, Rais Magufuli akiwa njiani Wilaya ya Nzega kuelekea Shinyanga amewahutubia wananchi wa Wilaya ya Nzega na kuwapongeza viongozi wote walioshinda katika Uchaguzi wa Serikari za Mitaa. Aidha, katika hotuba hiyo Raisi Magufuli akigusia kuhusu Uchaguzi wa Serikali za mitaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…