demokrasia

  1. JamiiForums Tanzania SoC01 Simulizi: Misingi ya Demokrasia

    "Ni hatari mno kuukabidhi uongozi wa kitu nyeti kama nchi mikononi mwa mtu mwenye uchu, ujivuni na ubinafsi unaoweza kumfanya aamini yeye anapaswa kuwa juu ya kila kitu bila kujali misingi na taratibu tulizojiwekea. Kwani hili ni taifa linalopaswa kuongozwa kwa misingi ya DEMOKRASIA". Kwa! Kwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Uongozi Bora na Uwajibikaji wa Kidemokrasia

    UONGOZI BORA NA UWAJIBIKAJI WA KIDEMOKRASIA Kwa maana ya jumla, demokrasia ni nguvu ya wengi katika kufanya maamuzi yanayohusu umma na kuweka usawa wa kisiasa katika matumizi ya nguvu hiyo (International IDEA 2008). Demokrasia ni lazima iwape wananchi uwezo wa kujieleza na kuwasilisha hoja...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya Tanzania na namna ya kuyatatua

    Mapungufu yanayopatikana Tanzania na jinsi ya kuyasuluhisha ni kama ifuatavyo:- Sekta ya Afya Kwenye sekta ya afya kina baadhi ya sehemu serikali imefanikiwa ila kwa asilimia kubwa kina mapungufu mfano hospitali nyingi na zahanati zina upungugu wa madaktari, manesi, sawa na upungufu wa vitanda...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi wanategemea Demokrasia iwapatie maisha bora

    Wananchi wanaunga mkono demokrasia si kwa sababu ni kitu muhimu kwa chenyewe, bali pia wanatarajia demokrasia iwapatie maisha bora ya kijamii, kisiasa na kiuchumi. Hili lilionekana wazi sana wakati wa maandamano ya mapinduzi nchi za Uarabuni mwaka 2011, pale watu wengi walipomwagika mitaani na...
  5. JamiiForums Tanzania Demokrasia haiwafai watu aina ya Mdude Nyagali

    DEMOKRASIA HAIWAFAI WATU AINA YA MDUDE CHADEMA Kwa Mkono wa, Robert Heriel Mwaka juzi niliandika makala moja iliyokuwa ikimuonya na kumrekebisha Mwanaharakati na mwana chama wa Chadema, Ndugu Mdude Chadema kuwa ukosoaji wake haufai kwani anatumia lugha chafu zilizochanganyika na matusi...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Demokrasia ilishindwa kuleta maendeleo China?

    Bila shaka majibu yatapatikana hapa, Unadhani ni kwa nini Wengi huamini maendeleo makubwa hutokana na Ustawi mkubwa Democrasia Kama ni ukweli, Ni kwa nini sasa Democrasia ilishindwa kuleta maendeleo China? Mwingine atauliza, ni lini China imewahi kuwa na Demokrasia na hata ikaamua kuivunja...
  7. JamiiForums Tanzania Demokrasia: Mwanya wa Kwanza wa Rais Samia

    Demokrasia kungojea uchumi ni kosa la karne kutamkwa na kinywa cha mheshimiwa Mama. Ni mshituko mkubwa kwa wapenda demokrasia mchini na Duniani kote. Kwa muonekano wa sura iliyojawa na busara Tele ya mama yetu kipenzi, hakuna aliyetarajia kusikia alololitamka juu ya Katiba na mikutano ya...
  8. JamiiForums Tanzania CCM kuwalegezea CHADEMA ili ionekane tuna misingi ya Demokrasia ni kukengeuka

    Narudia kusema kama kuna Chama ambacho hakifai hapa Tanzania basi ni CHADEMA. Kimejaa wanasiasa wanafiki na wasaka matumbo. Leo hii Chadema wanalegezewa na CCM ili ionekane Mama Samia ni mpenda haki na Demokrasia? Huu ni unafiki wa hali ya juu. Tumesahau harakati zao za chini ya kapeti...
  9. JamiiForums Tanzania Wanaosema Rais Samia mpaka 2030 wanajua maana ya demokrasia? Je, somo la Awamu ya Tano halikueleweka?

    Wakuu wameanza tena, Wanasema mama mpaka 2030 na atakayempinga atakiona. Najaribu kuwaza hawa watu tunaposema "Kila amtegemeae mwanadamu amelaaniwa" hawaelewi? Awamu ya Tano walianza hivihivi, wakamtia kibri JPM wakakufuru na mwisho laana ikawa juu yao. Ameanza Kigwangala, jana tukamsikia tena...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia amesema hataki mabango, Je hii ndiyo demokrasia?

    Kuna maneno yanayosemekana yametamkwa na mkuu wa nchi ya kwamba yeye hataki kuona wananchi wamebeba mabango. Swali langu ni kwanini hataki wananchi wafikishe ujumbe kwa njia ya mabango? Je wote wataweza kumuuliza maswali na kupata dukuduku na kero zao? Mabango ni haki ya wananchi kueleza...
  11. JamiiForums Tanzania Ilichofanya TAMISEMI ndio demokrasia ya kweli kwa sasa, Shukran Ummi Mwalimu na mama Samia

    Dah!! Haya mambo tumeyazoea kuona kwenye nchi kama Marekani, Uingereza n.k Kitendo alichofanya huyu dogo Josephat kama ungekuwa utawala wa mwendazake sasa ungekuta wazazi wanamtafuta huyu kijana. Kwanza angepotezwa kwa kuidhalilisha serikali bila kusikilizwa hoja zake,angepigwa na kuvunjwa...
  12. JamiiForums Tanzania Uhuru, haki na demokrasia katika Awamu ya Sita

    Awamu ya Tano ililaumiwa sana kuhusu kuminya Uhuru, Haki na Demokrasia. Katika kurejesha imani kuhusu "Haki", Rais wa Awamu ya Sita, Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa akikemea watendaji wa Taasisi za kusimamia haki ili kuleta ufanisi. Matokeo yake kumekuwa na mabadiliko ya viongozi kwenye Taasisi...
  13. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe akabidhiwa zawadi ya Ng'ombe na Wazee wa Mwanza kama Shukrani ya Kutambua mchango wake kwa mapambano ya Demokrasia ya Tanzania

    Zawadi hii yenye maana nzito sana amekabidhiwa Mwamba Mbowe na Wazee wa Kata ya Igombe wakati wa Kikao cha ndani cha Operesheni Haki kwa majimbo ya Nyamagana na Ilemela. Kwa niaba yangu na familia yangu nachukua nafasi hii kuwashukuru Wazee wa Mwanza kwa zawadi hii kwa Mwamba Mbowe ikiwa ni...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia ni Mtiifu wa Haki, Demokrasia na Mwanamapinduzi wa sera za uchumi wa watu

    Salaam Wana JF, Siku chache zijazo Rais Wetu Mpendwa Samia Suluhu Hassan atatimiza siku 100 madarakani, Kwa takribani siku 71 sasa, ambazo ameshika hatamu kama Rais wa nchi yetu tumeweza kuona mageuzi makubwa ya kimkakati, Kisera na kimfumo kutoka kwenye falsafa za uongozi wa mwendazake JPM...
  15. JamiiForums Tanzania Demokrasia na uhuru wa vyama vya siasa una raha yake

    Kusema ukweli demokrasia na uhuru wa vyama vya siasa kufanya kazi zake kwa uhuru kuna raha yake. Mama Samia rais wetu, wewe tayari ni rais huna cha kupoteza, huhitaji teuzi wala ajira yeyote. Ajira uliyonayo ni ya juu kabisa, hakuna ajira zaidi ya urais hivyo huna cha kupoteza wala kuogopa...
  16. J

    JamiiForums Tanzania CCM ingeruhusu demokrasia kwenye nafasi ya Mwenyekiti taifa ili marais wastaafu waweze kugombea pia!

    Ni swala la demokrasia tu. Marais wanastaafu wakiwa bado na nguvu mfano Dr Shein na JK. Hata mh Karume,mh Sumaye na mh Pinda hata yule Vuai Nahodha wa Zanzibar bado wako fiti. CCM ingebadili utamaduni wake ili kutoa fursa kwa wastaafu kuendelea kasaidia kukiongoza chama, hii inawezekana...
  17. J

    JamiiForums Tanzania John Mnyika: Bawacha haijaundwa kwa ajili ya kupeleka wabunge wa viti maalumu bali kuchochea mageuzi ya Demokrasia

    Katibu mkuu wa Chadema mh J J Mnyika amesema Bawacha haijaundwa kwa ajili ya kuchagua wanawake wa kuwapeleka bungeni kwa viti maalumu bali ni kichocheo cha demokrasia nchini. Mnyika amesema wanawake ni jeshi kubwa hivyo wanao wajibu wa kupigania katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi. Pia...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mbowe anashambuliwa kama mpira wa kona, huku Ndugai kule Sabaya? Au Freeman ni mti wenye matunda?

    Nijuavyo kwa sasa Mbowe amebakia kuwa mwenyekiti wa CHADEMA tu hana vyeo vingine nje ya chama chake. Kama ni kupoteza ubunge hata mwenyekiti wa NCCR Mageuzi mh Mbatia amepoteza, boss wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amepoteza sasa kwanini kwa Mbowe inakuwa nongwa? Yohana nauliza kwanini Freeman...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hivi ndivyo anavyotekeleza Kauli Mbiu ya Uhuru, Haki, Demokrasia na Maendeleo ya watu.

    Asalaam Aleykum Wasomaji wa JFs. Kwanza nitoe pongezi za awali kwa Mh Samia Suluhu kwa namna alivyoanza kuongoza nchi yetu ambayo kwa namna moja ama nyingine ilikuwa unapoteza mwelekeo chini ya mtangulizi wake hayati Baba Dr John Josefu Magufuli. Nasema pongezi za awali kwa kuwa ameonesha...
  20. JamiiForums Tanzania Haki na Demokrasia havitakuja Tanzania kwa Rais kuwapa vyeo Serikalini Viongozi wa Upinzani

    Jana nimemsikia Rais Samia Suluhu Hassan akidai kuwa ataanza kuteua nafasi za uongozi bila ya kuangalia vyama.Hilo halina ukakasi kwa mujibu wa sheria zetu ila kwangu mimi naamini kuwa hizo ni mbinu za kijanja janja za kurudisha utulivu wa kisiasa nchini baada ya ule uchafuzi wa wazi aliofanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…