degree

An academic degree is a qualification awarded to students upon successful completion of a course of study in higher education, usually at a college or university. These institutions commonly offer degrees at various levels, usually including bachelor's, master's and doctorates, often alongside other academic certificates and professional degrees. The most common undergraduate degree is the bachelor's degree, although in some countries there are lower level higher education qualifications that are also titled degrees (e.g. associate degrees and foundation degrees).

View More On Wikipedia.org
  1. Vyuo vinavyotoa Online Masters degree

    Wana JF habari za Weekend? Naomba kufaham orodha ya vyuo vya Ulaya, Marekani, Asia etc. vinavyotoa online masters courses hasa kwenye masuala ya social science na kozi zingine za management. Vyuo hivyo viwe vinatambulika na TCU.
  2. Chuo cha Lehigh chabatilisha degree ya heshima iliyompa Trump miaka 30 iliyopita

    Tangazo hilo linakuja siku mbili baada ya Rais Trump kuhamasisha wafuasi wake kuvamia bunge na jinsi watunga sheria walivyoshinikiza kuondoka kwake. Kulingana na gazeti la wanafunzi, kumekuwa na mashinikizo ya kubatilisha shahada ya heshima ya Trump kutoka kwa wafanyakazi, wanafunzi wa sasa na...
  3. Nina shahada ya nursing nimefaulu mtihani wa leseni. Natafuta kazi ya kujiingizia kipato

    Naitwa Paul Sirai Peter ni kijana mbunifu na kwenye jitihada yangu nimalize nilikuwa napima watu pressure masokoni kwa Mia mbili kabla ya kutakiwa kupata kibali hivyo naomba msaada wa kibarua chochote kitachonipa angalau mkate wa Kila siku. 0689052541
  4. Mosomo ya masters degree

    Habari Nina diploma ya ualimu wa masomo ya chemistry na biology nilie ajiriwa na nilipata GPA 4.9 upper first class je Nina weza kusoma masters degree na ni chuo gan hapa Tanzania kinaweza nichuakua naombeni msaada wenu
  5. M

    Ni ipi Scholarship Nzuri Kwa Aliyesoma Degree Ya Human Resource Management.ili kujiendeleza na Masters?

    Naomba kujua taratibu za Scholarship kwa aliyemaliza degree ya HRM. njia za kupata scholarship
  6. L

    Nina degree ya uchumi, naombeni msaada nipate kazi au intern

    Habarini za wakati; Nimemaliza chuo mwaka 2019 na ninadegree ya uchumi (Bachelor degree of science in economics; economic policy and planning) nimejitahidi kutafuta sehemu ya kujitolea, kazi au intern ila imekuwa shida kupata, naombeni msaada wenu kwa yoyote atakayeweza nisaidia kupata kazi au...
  7. Masters zenye soko kwa mtu mwenye BAEd ni zipi?

    Naomba kufahamu kwa mwenye BAEd ni masters degree gani zinafaa zaidi ili kwenda na soko la ajira? GPA 3.5
  8. C

    Wakuu nina degree ya procurement na uzoefu wa mwaka 1 kwenye banking and finance natafuta kazi

    Salamu nyingi kwenu wakuu, Mimi ni kijana mwenye elimu ngazi ya degree na pia Nina uzoefu wa Mwaka 1 kwenye banking and finance. Naomba msaada wenu ili nipate kazi iwe kwenye taasisi, shirika au kampuni au mahali pengine popote iwe kwenye stores, marketing, customer services department au...
  9. Natafuta kazi yoyote nimesoma nursing midwife degree post intern Ila sijapa leseni

    Naitwa Paul s peter nimesoma bsc.nursing midwife intern nimefanya muhimbili sijapata lesen bado. Nina ujuzi wa computer kiasi Nmefundisha tuition Nimechoma chips Nahitaji kazi yoyote naomba Wana jamii mnisaidie Tel 0689052541
  10. Natafuta kazi nina degree ya Ualimu masomo ya Physics na Chemistry

    Habarini wakuu, natafuta kazi ya ualimu masomo ya physics na chemistry nimegraduate mwaka huu nipo mwanza, lakini naweza kufika sehemu yoyote Tanzania. Kwa atakenisaidia kupata sehemu ya kujishikiza siwezi kumuacha patupu. Advance nilisoma PCB na nilipata division 2 point 12... GPA ya Chuo...
  11. E

    TCU kwanini vyuo vyetu havitoa degree za online

    TCU kwanini vyuo vyetu havitoa degree za online. Nina uhitaji mkubwa sana wa kusoma Degree ya Accounting online lakini sijaona chuo chochote kinachotoa kozi hiyo kwa njia ya online Tanzania. Shida iko wapi.
  12. Masaibu ya Masters Degree by Research Tanzania

    Vyuo vyetu vimetangaza masomo ya umahiri kwa 2020/2021 na sifa zinazotakiwa ni hizo hapo chini. Njia moja ya kupata degree hizi ni by research na vigezo vyake nimeviwekea rangi. Utaona ya kuwa wenye vigezo ni wanafunzi wenye ufaulu mzuri wa kuanzia GPA ya 3.5 au wenye experience kubwa upande wa...
  13. Naomba kufahamu jinsi ya kupata AVN kwa mwanafunzi aliyemaliza diploma ili ajiunge na degree

    Inasikitisha sana wakuu
  14. J

    GE2020 Dkt. Magufuli: Mchagueni Jah people kwa sababu hatuchagui digrii, mkiniletea wale wa alama ya "manati" sitawaelewa!

    Dkt. Magufuli amewataka wananchi wa Makambako wamchague Mgombea Ubunge wa CCM Jah people kwa sababu kwenye ubunge hatuchagui degree bali mtu. Dkt. Magufuli amesema Jah people salamu yake ni Kidumu chama cha mapinduzi hivyo wakimleta bungeni wataelewana ila wakimleta yule anayesalimia kwa alama...
  15. U

    Hizi ajira za pale DUCE mwenye degree haruhusiwi?

    Wakuu kuna ajira part time zimetangazwa pale Duce lakini mwisho form six.
  16. J

    Nina shahada ya Ugavi na Manunuzi, natafuta kazi

    Habari zenu wana JamiiForums. Mimi ni kijana wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 26, nimehitimu mwaka jana(2019) shahada ya ugavi na manunuzi. Natafuta kazi au sehemu ya kujitolea, kwa aliyekua na msaada tafadhali share. Asante.
  17. Kuna uwezekano wa kusoma degree tofaut simultaneously?

    Niko chuo mwaka wa pili naingia watatu kumalizia degree yang nimegundua kuwa niko napenda course nyingine tena, and I can’t stop thinking about it, kwa hyo nauliza kama kuna uwezekano wa kuanza course mpya kwa institute nyingine Uku namalizia hii?
  18. Nafasi ya Cheti kwenye Ajira

    Nafasi ya Cheti kwenye Ajira Miaka ya 1980s kurudi nyuma, hali ilivyokuwa ni kwamba serikali ilikuwa ikihitaji watumishi wengi, lakini waliokuwa na sifa ambazo serikali ilikuwa ikizitafuta, walikuwa wachache. Wanafunzi waliokuwa wakihitimu kidato cha nne, walikuwa na fursa za kuajiriwa moja...
  19. Nimuoe yupi kati ya huyu mwenye degree na darasa la saba

    Hi JF members, Mimi ni mvulana nipo mwaka wa mwisho moja ya vyuo vikuu hapa Tz. Nilipokuwa 4m 5 na 6 nilikuwa na mchumba ambaye nilimpenda sana naye alinipenda. Nilipokuwa chuo mwaka wa kwanza akapewa udaku naye akaamua kunipotezea Basi nikamtongoza binti tuliyekuwa naye mwaka wa kwanza, japo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…