Nina shahada ya Ugavi na Manunuzi, natafuta kazi

Jobseeker2020

New Member
Sep 7, 2020
1
0
Habari zenu wana JamiiForums.

Mimi ni kijana wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 26, nimehitimu mwaka jana(2019) shahada ya ugavi na manunuzi.

Natafuta kazi au sehemu ya kujitolea, kwa aliyekua na msaada tafadhali share.

Asante.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom