mkadiriajimajenzi
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 549
- 613
Ni takribani mwaka mmoja sasa tangu mradi huu wa NSSF upigwe stop, tayari ulishagharimu mapesa mengi mpaka hapo ulipofika lakini umeishia kuhifadhi panya, nyoka na kenge, Nini hatma yake? Lini utakuwa resumed au ndo mpaka uchunguzi ukamilike?