dci

Common rail direct fuel injection is a direct fuel injection system built around a high-pressure (over 2,000 bar or 200 MPa or 29,000 psi) fuel rail feeding solenoid valves, as opposed to a low-pressure fuel pump feeding unit injectors (or pump nozzles). High-pressure injection delivers power and fuel consumption benefits over earlier lower pressure fuel injection, by injecting fuel as a larger number of smaller droplets, giving a much higher ratio of surface area to volume. This provides improved vaporization from the surface of the fuel droplets, and so more efficient combining of atmospheric oxygen with vaporized fuel delivering more complete combustion.
Common rail injection is widely used in diesel engines. It is also the basis of gasoline direct injection systems used on petrol engines.

View More On Wikipedia.org
  1. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Mdude Nyangali CHADEMA azuiwa kusafiri nje ya nchi na DCI. DCI kapata wapi mamlaka ya kuzuia mtu asisafiri?

    Hivi huu Ujinga bado upo? Au ndo 4R kwa kiwango cha standard gauge ? my foot !...Kumbe tuna wafungwa wanaotembea? DCI vipi kulikoni? Au una kwazwa sana na watu wenye maoni Huru? Nimetaarifiwa kuwa umeweka zuio mdude Chadema asitoke nje ya Nchi eti? Kwa hiyo anakifungo kwa Mujibu wa Ofisi...
  2. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Wadhifa wa Mwenezi Taifa CCM ni sawa na DPP, IGP au DCI

    Kwa mujibu wa Katiba yetu iliyojaa mapungufu na mapengo mengi ambayo hao jamaa niliowataja wakiamua kukupeleka mchaka mchaka utajuta kuzaliwa Tanzania. DPP au DCI wakiamua kukufutia kesi au kukubambikia kesi ya mchongo wanaweza bila shida yoyote chini ya katiba yetu inayoruhusu watawala kuamua...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wakili aliyeitwa Ofisini kwa DCI Kunyamaza ni Makosa

    Dr Rugemeleza Nshala aliitwa polisi kwenda kuhojiwa, siyo kwa uchunguzi wa kutishiwa kwake, bali kwa yale aliyoyasema kuhusu suala la Bandari. Sasa wala haieleweki kama alikwenda kuhojiwa, na kama alipewa masharti asiseme chochote kuhusu mahojiano hayo? Katika hali ya kawaida, ilitegemewa...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala(PhD) aitwa Polisi kutokana na maoni yake kuhusu bandari

    Barua hiyo ya wito kutoka ofisi ya DCI inamtaka Dkt. Nshala kufika kwa ajili ya mahojiano Ofisi hii inafanya uchunguzi kuhusiana na kauli ulizotoa tarehe 03 Julai 2023 na kisha kusambazwa katika vyombo vya habari na mitandao mbalimbali ya kijamii kuhusiana na mkataba wa uwekezaji katika...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo gani vituo vya polisi? Iundwe tume chini ya DCI Kingai tupewe ukweli. Kila siku ripoti za mauaji

  6. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: DCI Kingai zungumza na watendaji unaowasimamia, hali ya uhalifu imeongezeka sana nchini

    Sijui kama ni Mimi peke yangu ndiye simwelewi DCI Kingai au ni watu wengi? Matukio ya Uhalifu yameongezeka Sana siku za hivi karibuni. Polisi kutunishiana misuli na raia limekuwa Jambo la kawaida lakini kibaya zaidi NI kuongezeka Kwa matukio ya Askari kufanya mauaji Kwa raia kizembe wakati...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mwandishi wa Habari Luqman Maloto kuwashitaki DCI na DPP yasikilizwa, upande wa DCI haujatokea Mahakamani

    Sakata la Mwanahabari Luqman Maloto ambaye amefungua kesi ya jinai No. 5/2023 dhidi ya DCI na DPP katika Mahakama Kuu, Dar es Salaam limeendelea leo Februari 9, 2023 ambapo imefikishwa Mahakamani kwa ajili ya kutajwa. Wakili Hekima Mwasipu anaelezea kilichotokea ikiwemo Mkurugenzi wa Makosa...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Habari Luqman Maloto afungua kesi dhidi ya DCI na DPP kisa Tundu Lissu, Azory Gwanda na Ben Saanane

    Mwanahabari Luqman Maloto, amefungua kesi ya jinai No. 5/2023 dhidi ya DCI na DPP Mahakama Kuu, Dar es Salaam, akiiomba itamke ofisi hizo zimeshindwa kuchunguza matukio yaliyofanywa na wasiojulikana ikiwemo kushambuliwa Tundu Lissu, kupotea Azory Gwanda na Ben Saanane. Chanzo: MwanaHalisi...
  9. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maafisa wa Kitengo kinachodaiwa kuua watu Kenya waomba aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi (DCI) ajumuishwe kwenye kesi

    Maafisa hao 21 watakaoanza kuhojiwa leo na Kitengo cha Mambo ya Ndani (IAU) wamesema walikuwa wakifanya kazi kwa maelekezo ya kiongozi huyo hivyo wanataka naye ahojiwe. Mmoja wa maafisa amesema "Kwa siku mbili tumekuwa tukihojiwa juu ya mambo ambayo hatuelewi. Tunayosikia ni masuala ya Mauaji...
  10. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania DCI Kenya aanza uchunguzi dhidi ya Kitengo Maalumu cha Upelelezi kinachodaiwa kuteka na kuua watu

    Ni baada ya Rais William Ruto hivi karibuni kusema Maafisa wa (SSU) wanahusika na mauaji na kupotea kwa watu katika mazingira ya kutatanisha. Wamewekwa chini ya ulinzi na kuhojiwa kwa saa 48 wakituhumiwa na kupotea kwa Zulfiqar Ahmad Khan na Mohamed Zaid Sami Kidwai, wafanyabiashara wa Kihindi...
  11. dubu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tusaidie, Uteuzi wa DCI Kingai, Watanzania tunaenda kuzikwa wazima wazima

    Shikamoo Rais Samia Huyu Kingai anaenda kutumaliza, visasi vingi na atahakikisha wabaye wake wanakipata cha mtemakuni. Kingai haijui hata PGO, atakuwaje Mkurugenzi wa Upelelezi? Twafwa. Kesi dhidi ya Mbowe ya Ugaidi, nilitegemea imfumbue macho Rais ili ajue waliomzunguka. Naamini rais...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Je, majukumu ya DCI ni yapi? Asiyeijua PGO awezaje kuwa DCI?

    Baada ya kusikia uteuzi wa Ramadhan Kingai kuwa DCI, Akichukua nafasi ya Wambura , ambaye amepandishwa na kuwa IGP, watu wengi wamehoji UADILIFU wa Mamlaka ya uteuzi. Wananchi kuhoji uteuzi huu si jambo la kushangaza, hii ni kwa sababu DCI ni Mtumishi wa umma , uteuzi wake unaweza kushangiliwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania DCI Kingai anza na Januari Makamba

    DCI mpya Kingai fungua file la uchunguzi dhidi ya tuhuma zinazomkabili Waziri Januari Makamba za kuvunja Sheria za nchi . Fuatilia Kashfa inayoendelea sasa ya kati yake na Kampuni Kubwa ya kuuza gesi ya Taifa gas
  14. seedfarm

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Afande Ramadhani Kingai kuwa DCI (Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai). Je, Rais Samia amepotoshwa?

    Kwanini kama Taifa tunarudia makosa ya kuteua watu wenye makando kando kama Afande Ramadhani Kingai? Huyu mtu kwa sasa anafahamika na kila Raia kwa matendo yake yaliyojidhihirisha pale Mahakamani wakati wa kesi ya Mbowe Je, tunasubiri afanye ukatili na unyama wa kiasi gani kwenye hili Taifa...
  15. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Ushelisheli imeiomba kitengo cha polisi cha DCI hapa Kenya kuisaidia kwenye uchunguzi wa kesi ya uhalifu walioshindwa kuitegua

    Kitengo cha polisi ya DCI cha Kenya kinaheshimika sana. Serikali ya Ushelisheli imekimbilia Kenya na kuomba msaada wa Directorate of Criminal Investigation (DCI) kuchunguza kesi iliyowashinda kutegua. https://www.kenyans.co.ke/news/75794-seychelles-govt-hires-dci-solve-complex-
  16. HPAUL

    JamiiForums Tanzania DCI Boaz vipi, Mbona amekimbia kesi ya Mbowe?

    Leo upande wa mashtaka umefunga ghafla kesi ya ugaidi inayowahusu washtakiwa wanne akiwemo Freeman Mbowe. Katika hali ya kushangaza shahidi muhimu ambaye akitajwa karibu kila siku na mashahidi wa upande wa serikali DCI Boaz hajaitwa mahakamani kutoa ushahidi. Ikumbukwe huyu ndiye aliyepokea...
  17. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Urio kuendelea kutoa ushahidi Januari 31, 2022

    Habari Wakuu, Leo tena shahidi wa 12 Denis Urio anaendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki: Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na...
  18. evangelical

    JamiiForums Tanzania Ukiukwaji wa maadili (unethical conduct) na professionalism kati ya DCI Boaz na Luteni Urio kwenye kesi ya Mbowe na wenzake

    Katika ushaidi wa jana Urio alieleza kwamba Mbowe alimuomba amtafutie askari waliofukuzwa ili awatumie kufanya vitendo vya kuvuruga amani ya nchi, kama kukata miti mikubwa kuchoma masoko na vituo vya mafuta na kudhuru viongozi. Kwa maelezo yake LT Urio alisema kwa uzalendo wake kwa nchi aliamua...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini askari wa chini JWTZ awasiliane na DCI?

    Ni suala la kufikirisha kidogo, na kutokana na desturi za kijeshi, lazima mwanajeshi a report kwa Command yake. Kwanini Dennis Urio aliruka kutoka command ya Jeshi yenye Military Intelligence ambao wana mawasiliano mazuri na TISS na Polisi yeye akaenda moja kwa moja kwa DCI? Ni kwanini...
  20. comte

    JamiiForums Tanzania Lema bhana kamchagulia RJMT, DCI, DPP, IGP filamu ya kuangali kumbe anawasema mh. Kibatala na wenzake kuwa hawana uwezo wa kumtetea Mbowe

    Godbless E.J. Lema @godbless_lema Mh Rais SSH,nakuomba sana kama unaweza tafuta muda wewe pamoja na familia yako mtazame hii movie. Pia DPP , DCI , IGP , DG TISS , CJ na Jaji Kiongozi ukitazama nao itakuwa vyema zaidi. Inaitwa ... " JUST MERCY "
Back
Top Bottom